2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Alikuwa gustoSidhani, Gusto hachezi hivyo, may be unasema mpira baada ya hiyo blunder. Ngoja nitafuatilia. Ila leo Gallagher hayuko mchezoni kabisa
Alikuwa gustoSidhani, Gusto hachezi hivyo, may be unasema mpira baada ya hiyo blunder. Ngoja nitafuatilia. Ila leo Gallagher hayuko mchezoni kabisa
Mkuu naona wewe bado unahisi shida ni wachezajiDah BlueCo wamecheza rafu sana kwenye usajili wa wachezaji.
Tunatakiwa tuuze wachezaji wengi kikosi kibaki na wachezaji wachache manageable.
Usajili ufanyike kimkakati na sio kujaza lundo la wachezaji tena
Huyu mudryk ni mzuri ni vile tu yuko chini ya poch ila angekuwa chini ya Arteta,Pep or Klop angekuwa ashaimproveGoli la Mudryk linazidi kuwaumiza Arsenal
Tunahitaji kushinda kiporo chetu dhid ya Spurs then tunaweza kuwa wa 8Ushindi wa leo hautatupandisha popote
Dhidi ya Spurs hatuwezi labda itokee kama mechi ya kwanza au huyu mlevi wetu aje na style ya kuwa counteract Spurs kwa style yao ya one touch forward passingFT.3-2
Tunahitaji kushinda kiporo chetu then huenda tukawa wa 8
Kai Havertz equalled his best ever goal scoring season (8) at Chelsea after only 7 months at Arsenal. He has also adapted to versatile roles under Mikel.
Chelsea ruin players, Arsenal save them!!
View attachment 2931821
Arteta mtoe kwenye hii listHuyu mudryk ni mzuri ni vile tu yuko chini ya poch ila angekuwa chini ya Arteta,Pep or Klop angekuwa ashaimprove
😂😂😂Mkuu naona wewe bado unahisi shida ni wachezaji
Wachezaji wako vizuri tu ni mda tu utaongea
🤣🤣🤣Kuna baadhi ya wachezaji wamekosa tu mwalim wa kuwaguide vizuri
Najua lugha tunayoongea ni moja ila inapindishwa tu maana. Kidogo kidogo tunaelewanaHuyu galagher lait angejaliwa kuwa na akili kwenye miguu za kuuchezea mpira. Angekuwa mzuri sana
Kuna muda unamuona kabisa anakosa ufundi kwenye mguu
Arteta ni mzuri, hacheki na hawa watoto wa jinsi hiiArteta mtoe kwenye hii list