Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mumskilize Kyle Walker hapa wakat yuko spurs chini ya Pochetino na wakat yuko City
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1709975002456.mp4
    960.4 KB
Maamuzi ya TODDY ndio sio sahihi kwenye kuajiri wakurugenzi na makocha wenye uwezo duni.

Roman alikuwa master class kwenye maamuzi sahihi kwa Wakati sahihi
Makosa ya wamiliki sio kubwa kivile, major blunders zao mimi naona ni
  1. kumuajiri kocha wa kwanza na huyu wa pili. Hawakuzingatia vigezo vya ushindani.
  2. Kuweka policy za kijinga ya kuasajili U23 tu
Ajira zingine sio issue sana
 
1709994094163.png
 
Mudryk angekua bogasi angewatupia goli la kifundi kama lile. Kubalini tu Kai ni mtumish hewa, anawategea wenzake. Ni kondoo pekee ndio atapinga hili.
Baada ya kutupia mlishinda ngapi ile mechi ndugu zetu🤠🤠🤠...ndo uone kama nyny ni wafanya Fujo sio wacheza bolu
 
Poche na wachezaji waliopo ni pipa na mfuniko.

Sitashangaa kocha mpya akasajili wachezaji wapya sio chini ya 5 kuboresha kikosi.
Hapana

Inahitaji kujua unawachezaji wanamna gani then tafuta kocha wa hivyo ndio maana wengi wanamtaka De Zerbi kwa sababu ni perfect match na hii team mwingine ni Enrique wapo wengi tu wanaoendqna na wachezaji tulionao
 
Hivi mbona watu hawajadili impact ya kocha wa Napoli (Luciano Spalletti) msimu uliopita
Kasepa tu na timu ikarudi to default.
 
Hatutaki project uchwara na kitapeli ya wachezaji wadogo, hatutaki kocha mdogo De Zerbi, hatutaki kukuza vipaji na kuuza kwa faida.

Tunataka wachezaji mutured word class, tunataka kocha mkubwa, tunataka makombe.

Over £1B transfer expenditure tunasajili ujinga ujinga tuu, tuachane na huo upuuzi wa project ya kindergarten, turudi kwenye misingi ya kibingwa.
Hakuna matured wc anaeweza kuja futa hayo mawazo

Makocha wakubwa wote waliopo team kubwa hakuna anaeweza kuja kwetu futa hayo mawazo

Sasa hiv kuna makocha wanaochipukia kama wakina Inzagh etc ila kumpata. Kocha mkubwa futa hayo mawazo
 
Hivi mbona watu hawajadili impact ya kocha wa Napoli (Luciano Spalletti) msimu uliopita
Kasepa tu na timu ikarudi to default.
Watu humu wanashindwa elewa impact ya kocha anaendana na wachezaj
 
Kocha apewe muda, msimu huu usihesabike bure, huwezi kubadilisha timu nzima.afu ukategemea matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom