Ni kweli mkuu unavyosema ila hilo lengo alilopewa Poche ni la kinafiki kwa sababu mistakes zimefanyika nyingi sana kwenye kuunda/kutengeneza timu mpya. Mistakes za kisera, kifalsafa, kiuongozi, kisajili.
Ndio maana wameshindwa kumfukuza Poche pamoja nakuingiza timu gerezani kifungo cha nafasi ya 11. Kumfukuza Poche kwa sasa ni another mistake kwao.
Katika kitu matajiri wanaomba Mungu ni Poche aitoe timu gerezani kifungo cha nafasi ya 11 kupanda nafasi za juu ili kujustify maamuzi yao kiutendaji, kifalsafa, kimaono yalikuwa sahihi katika kujenga timu.
Na kweli Poche akimaliza nafasi za juu juu hatafukuzwa bali matajiri watajikita zaidi kwenye kufanya maamuzi sahihi kwa sajili za wachezaji (kuuza, mkopo na kununua).