Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,937
- 27,199
Kama ni kweli Pochetino ataondoka basi mrithi wake awe Hans Flick akiwa mwingine tofauti na huyu mwamba tutaendeleza vilio humu wala hatutaenda popote.
Mkuu me siku zote sijawah sema tunashida ya wachezaji tofauti ya wewe na Cash Money😂😂😂
🤣🤣🤣
Najua lugha tunayoongea ni moja ila inapindishwa tu maana. Kidogo kidogo tunaelewana
BTW hongereni wote kwa ushindi japo hatuja hama nafasi.
Na inasikitisha sana kwa kweli wakati ubovu wa kocha unaonekana wazi kabisaMkuu me siku zote sijawah sema tunashida ya wachezaji tofauti ya wewe na Cash Money
Huwa nasema tunawqchezaji wazuri ila wamekosa mwalim wa kuwaongoza na kuwaimprove
Nyie ndio mnaoamini tunawachezaj wa hovyo
Post na goal la palmerJana Mudryk kwenye goli lake dhidi ya Newcastle (goli lililotupa point zote 3) , uchezaji wake umefanana klwa karibu na ule uchezaji aliouonyesha dhidi ya Liverpool kwenye debut yake.
Napenda magoli yanayopatikana kwa style ile, iaburudisha sana
Na pia Jackson alicheza vizuri sana kwa kukaa na kuserereka na mpira hadi akampasia Gallagher aliyetaka kuremba kabla hajanyang'anywa na Mudryk na kufanya kama vile Hazard alivyokuwa anafanya
View attachment 2932424
Hii pass aliyopiga Enzo kwa Palmer ndio kitu tunakililia muda mrefu sana. Tunakosa watu wa hivi wanaoweza kupiga pass za mwisho vizuri
Arteta ni Pochetino wa kispanyola.Arteta mtoe kwenye hii list
Msimshushie Arteta heshimaArteta ni Pochetino wa kispanyola.