Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee kila msimu mnajikuta bado mpo phase 1 kama Arsenyeto.
Ila binafsi naamini Chelsea atabeba Epl kabla ya Arsenyau, kikubwa tafuteni kwanza kocha mwenye rasta au dread kisha mtakuja kunishukuru baadae.
Inaonekana una hofu na sisi kuliko Hawa wazee wa reggae...biashara yetu ipo palepale tukikutana na nyny
 
[emoji117] Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et Liverkuku hawata fanya lolote msimu ujao yaani vishabiki vya Arsenyani bhana [emoji2][emoji2]. Alafu Great Finisher pale Chelsea si tumekubaliana ni Jackson? [emoji2][emoji2]
Klopp anasepa na utawala wenu. Mnageuka Chelsea ya lampard kesho kutwa tu hapo. Yaani very soon.
 
Basi makombe tusahau
Heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na Pochetino kama hatuwez mpata Amorin

De zerbi kamshinda Pochetino kiufundi baadhi ya wachezaj waliokuwa chini yake walifanya vizuri mudryk,caicedo,colwil

Sehem pekee anayonitia mashaka ni swala la defence tu ila mengineyo yuko vizuri labda ni kwa sababu yuko team ndogo ila wachezaj wetu tulionao wanaendana sana na uchezaji wa De Zerbi

Ni heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na na Pochetino
 
De Zerbi kocha mdogo hawezi kuhimili presha ya mashabiki sumu wa THE BLUES
 
Kama ilivyo kwa wachezaji hata makocha pia kuna baadhi yao ni wa timu ndogo kwa maana ya kutaka muda kuweza kufit in formation yake kwa wachezaji, kuhandle pressure, kuwin dressing room, lakini pia kusajili wachezaji wake. Sasa wengi wetu kwa ufinyu wa maarifa namna mambo yanavyoenda tunahisi kocha akifanya vizuri timu fulani tunahisi basi hata akienda timu fulani itakua rahisi😂

Tujikumbushe David Moyes na Everton yake walikua moto kweli lakini alipoenda Man Utd mambo yalikwenda hovyo ndani ya msimu mmoja akatolewa, Steven Gerald alipokua Rangers mpaka akabeba ubingwa lakini alipoenda Aston villa mambo yalimwendea kombo akatolewa, Potter yule na Brighton yake alipikuja Chelsea kila mtu akabaki anashangaa.

Wanaochagua makocha wanaangalia mambo mengi sio kirahisi rahisi tu kama tunavyoandika hapa.
 
Kitu cha kujua lazima ujue unawachezaj wa namna gani na wanaendana na style ipi ya uchezaji na kocha yupo anayetumia hiyo style

So appointment ya poch haikufaa kutokea kwa sababu ya aina ya wachezaji tulio nao

Kuna baadhi ya makocha wanaweza adapt Kutokakan na wachezaji waliopo

Kama kocha ni mzuri matokeo huwa yanaonekana hata kwa zile zile resource alizozikuta
Msim huu mmemaliza 10 then msim ujao mnaendelea kucheza nafasi hiyo hiyo
You can not change squad nzima

Kwa Mfano
Amorim kawapa Sporting ubingwa ndani ya msim wake wa 1 tangu ajiunge baada ya miaka 19 mbele ya porto n benfica na tangia hapo anaenda toe to toe na hao
Sporting wameuza wachezaji ila walienda Championship wakamchukua Gykores anafunga kila kukicha
 
De Zerbi kocha mdogo hawezi kuhimili presha ya mashabiki sumu wa THE BLUES
Hakuna kocha wa team mkubwa unaeweza mtoq sasa mpira ushabadilika sahiv

Wapo makocha wanakuja vizuri hawa vijana
De Zerbi ni vile labda amekosa team yenye hela mule kuna kocha kuna makocha impact yao inaonekana ndani ya muda mfupi tu alivyoikuta brighton na ya sasa hiv nitofauti ni kocha anaebadilika kutokana na mchezo unavyoenda
Amorin ni mzuri
Alonso ni mzuri
Inzaghj ni mzuri
 
Kitu cha kujua lazima ujue unawachezaj wa namna gani na wanaendana na style ipi ya uchezaji na kocha yupo anayetumia hiyo style

So appointment ya poch haikufaa kutokea kwa sababu ya aina ya wachezaji tulio nao

Kuna baadhi ya makocha wanaweza adapt Kutokakan na wachezaji waliopo
Hata aje kocha gani kwa aina ya wachezaji tulionao anahitaji si chini ya msimu mmoja ku cope formation yake kulingana na wachezaji waliopo. Mind you hapo nimefanya consideration ya majeruhi waliopo na wajao pamoja kufanya sajili zake mwenyewe.

Hakuna uchawi hapo huwa iko ivyo always. Otherwise ukute wacheza pro wako wengi.
 
Kama ilivyo kwa wachezaji hata makocha pia kuna baadhi yao ni wa timu ndogo kwa maana ya kutaka muda kuweza kufit in formation yake kwa wachezaji, kuhandle pressure, kuwin dressing room, lakini pia kusajili wachezaji wake. Sasa wengi wetu kwa ufinyu wa maarifa namna mambo yanavyoenda tunahisi kocha akifanya vizuri timu fulani tunahisi basi hata akienda timu fulani itakua rahisi😂

Tujikumbushe David Moyes na Everton yake walikua moto kweli lakini alipoenda Man Utd mambo yalikwenda hovyo ndani ya msimu mmoja akatolewa, Steven Gerald alipokua Rangers mpaka akabeba ubingwa lakini alipoenda Aston villa mambo yalimwendea kombo akatolewa, Potter yule na Brighton yake alipikuja Chelsea kila mtu akabaki anashangaa.

Wanaochagua makocha wanaangalia mambo mengi sio kirahisi rahisi tu kama tunavyoandika hapa.
Duh
Arteta yeye lini kaanza kuwa wa timu kubwa
Xavi Alonso na yeye je
Hawa wa timu kubwa wengi wameshachuja, hawako tena kwenye ulingo
Nyakati zinabadilika ndugu, DiZerbi ni kocha mchanga, anafundisha soka la kisasa. Sisemi akija atapata mafanikio ila huwezi kulinganisha na Pochettino ambaye ni style ya Potter wa Argentina
 
Hata aje kocha gani kwa aina ya wachezaji tulionao anahitaji si chini ya msimu mmoja ku cope formation yake kulingana na wachezaji waliopo. Mind you hapo nimefanya consideration ya majeruhi waliopo na wajao pamoja kufanya sajili zake mwenyewe.

Hakuna uchawi hapo huwa iko ivyo always. Otherwise ukute wacheza pro wako wengi.
Katika mabishani yetu tupishana mambo mengi na tunakubaliana mambo kadhaa pia
Kiuhalisia hii timu haijaiva bado kushindana na timu zilizokomaa kama City, Liverpool a Arsenal
Lakini pia sio timu ya kubakia kwenye namba 10 na hapo ndio maana Pochettino anachukiwa
Mpe hii timu kocha mzuri kwanza atahakikisha timu inakuwepo top 4 (hii nio mafanikio ambayo Poche hataweza hata akipewa misimu mitano)
Pili hii timu sio ya kuhindwa makombe madogo, ushahidi tumeweza fika Carabao final na Mungu akijalia hata FA tutafika mbali ila Poche hayuko serious. Tunahitaji kocha ambaye yuko serious

Tujiulize julian nagelsmann aliwaambia nini akina Todd hadi wakamkataa!
Hayo masharti aliyowapa ndio tatizo la Chelsea na kocha yeyote atakayefanikiwa Chelsea awe a udhubutu wa julian nagelsmann kuhusu hii squad na maboresho yake
Akija kocha akanunuliwa striker wa miaka 20 akakubali kichwa kichwa tu basi atakuwa naye ni puppet tu na hatakuwa tofauti na akina Potter au Poche
 
Duh
Arteta yeye lini kaanza kuwa wa timu kubwa
Xavi Alonso na yeye je
Hawa wa timu kubwa wengi wameshachuja, hawako tena kwenye ulingo
Nyakati zinabadilika ndugu, DiZerbi ni kocha mchanga, anafundisha soka la kisasa. Sisemi akija atapata mafanikio ila huwezi kulinganisha na Pochettino ambaye ni style ya Potter wa Argentina
MAandishi yangu hayakumaanisha makocha wote nilimaanisha baadhikama hao niliowatolea mfano. Kwahiyo kwa case kama hizo za Arteta na Alonso kufanya vizuri ndio upande ambao sikumaanisha.
 
Heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na Pochetino kama hatuwez mpata Amorin

De zerbi kamshinda Pochetino kiufundi baadhi ya wachezaj waliokuwa chini yake walifanya vizuri mudryk,caicedo,colwil

Sehem pekee anayonitia mashaka ni swala la defence tu ila mengineyo yuko vizuri labda ni kwa sababu yuko team ndogo ila wachezaj wetu tulionao wanaendana sana na uchezaji wa De Zerbi

Ni heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na na Pochetino
Chelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.
 
MAandishi yangu hayakumaanisha makocha wote nilimaanisha baadhikama hao niliowatolea mfano. Kwahiyo kwa case kama hizo za Arteta na Alonso kufanya vizuri ndio upande ambao sikumaanisha.
Tukubaliane tu kwamba soka linaenda likibadilika, unawaweza ukawahukumu makocha kama akina MOU lakini kwa hawa vijana ambao bado hawajabeba makombe hatuwezi kuwahukumu
Unona tu Dizerbi, Alonso, Amorim ni makocha wa style inayofanana, ni basi tu Dizerbi ametokea kutokea kipindi cha akina PEP, KLOPP na wengineo ila naamini hata kama Dizerbi hataenda mbali na Chelsea ila uhakika ni kwamba hatarudi nyuma na kuwadidimiza wachezaji viwango kama anavyofanya Pochettino. Dizerbi atainua viwango na kuiweka Chelsea sehemu ambayo akija kocha mwingine atakuwa na kazi rahisi ya kubeba makombe au hata tukiamua kumvumilia Dizerbi ataanza kubeba makombe na Chelsea angalau in 3 seasons ila Poche hata tukimvumilia tutasubiri sana na tuwe kama Arsenal au Liverpool waliosub iri miaka 30
 
Chelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.
Unamuonaje Dizerbi, mtoto wa mjini yule
 
Chelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.
Kama kocha wa team ndogo anademand matokeo na anaweka pressure hadi kwa marefa
Angalia kocha anapokuwa kwenye touchline halaf njoo kwa poch uone yupi anayewela pressure na yupi anafaaa kufundisha team mkubwa na yupi anafaa kufundisha team ndogo

Kingine kwa sasa huwezi pata kocha mzoefu makocha wote wazoefu wapo kwenye vilabu

Huyo poch sianauzoefu kipi amefanya mpaka sasa

Arteta ni Arsenal ni team yake ya kwqnza angalia alichoarchiev
Xabi Alonso msim wake wa 2 huu kama sijakosea ila angalia kipi amefanya
Ruben Amorim angalia alichokifanya
Muangalie Simeone Inzaghi ametokea Lazia angalia anachokifanya

Unahisi sahiv tunauwezo wa kwenda kumtoa Don Carlo Madrid

Sahiv makocha wengi wazuri badi vijana
 
Hakuna kocha wa team mkubwa unaeweza mtoq sasa mpira ushabadilika sahiv

Wapo makocha wanakuja vizuri hawa vijana
De Zerbi ni vile labda amekosa team yenye hela mule kuna kocha kuna makocha impact yao inaonekana ndani ya muda mfupi tu alivyoikuta brighton na ya sasa hiv nitofauti ni kocha anaebadilika kutokana na mchezo unavyoenda
Amorin ni mzuri
Alonso ni mzuri
Inzaghj ni mzuri
Hao makocha vijana mazingira ya kufanya kazi THE BLUES yatakuwa magumu kwa sababu ya presha kubwa kutoka kwa mashabiki sumu.
 
Mashabiki siku zote huwa wanakupa mda wanaangalia na mwelekeo wa team + wewe kocha unavyoelezea.

If hao wanaokuja akija akamaliza ndani ya top 4 unahis mashabiki hawatomuunga mkono.

Mashabiki wa chelsea wewe ukishinda tu watataja jina lako mwanzo mwisho na banner watakuewekea ila matokeo yakiwa mabaya na ukawa mtu wa excuse utawaona hawafai

mashabiki siku zote huwa wanahitaj kocha anaefeel jinsi wanavyohisi wewe ndio maana Tuchel,Mourinho hawa wote wanaendelea kutajwa

kwa sababu walionesha kuwa upande wa mashabiki pale hali ilipokoluwa haiendi sawa

Angalia Game vs Spurs wakat wa Tuchel lile vibe kati ya Tuchel na mashabiki na Tuchel vs Conte
 
Kama kocha wa team ndogo anademand matokeo na anaweka pressure hadi kwa marefa
Angalia kocha anapokuwa kwenye touchline halaf njoo kwa poch uone yupi anayewela pressure na yupi anafaaa kufundisha team mkubwa na yupi anafaa kufundisha team ndogo

Kingine kwa sasa huwezi pata kocha mzoefu makocha wote wazoefu wapo kwenye vilabu

Huyo poch sianauzoefu kipi amefanya mpaka sasa

Arteta ni Arsenal ni team yake ya kwqnza angalia alichoarchiev
Xabi Alonso msim wake wa 2 huu kama sijakosea ila angalia kipi amefanya
Ruben Amorim angalia alichokifanya
Muangalie Simeone Inzaghi ametokea Lazia angalia anachokifanya

Unahisi sahiv tunauwezo wa kwenda kumtoa Don Carlo Madrid

Sahiv makocha wengi wazuri badi vijana
Mazingira yao yakufanya kazi yanafanana na team yetu hilo umeliangalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom