Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii Brentford iko kwenye weakest point yake na tumeshidwa kuwafuga
Tunasubiri akina Newcastle, Arsenal, Westham, Astoinvilla tuwafunge ili tufunzu ligi za ulaya kweli?
Hawa tutawakamia tu siku hiyo kama kawa michezaji itavuja jasho kama wameambiwa wakipoteza tu wanakufa.
 
Pole ndugu. Leo kachezesha formation mliyopigia kelele lakini naona bado mnafumba macho. Poch kweli hatufai
Sijawah sema tucheze hiyo formation, Formation sio inayocheza mpira,
1st half tumecheza mpira 2nd half kimetokea nini hilo ndio swali

Mkuu kama unahisi formation ndio shida basi hongera
swali langu lilikuwa rahisi tu naona unataka tuanze kubishana
 
Pochettino: "One point is important for the team, in six days we have had three games and therefore it is massive."

😂😂😂😂ncheke zangu mie
 
Sijasema formation inacheza mpira ila kumewahi kuwa na malalamiko kadhaa kwa nini anang'ang'ana na formation jana kabadilisha lakini almanusura tupoteze points zote 3.

Mimi huwa nasimama na ukweli ambao nyie mnaufumbia macho kwa kuuelekeza upande mmoja tu. Yes Poch ana upungufu wake lakini tusisahau na uzembe wa wachezaji hiki ndicho mimi huwa nasema. Mchezaji anapata open chance anafika golini anaremba, mqra anakimbia akifika kwenye 18 anapiga kisigino, pass hazipigei kwa usahihi hayo yote hayasemwi anakuja kusemwa Poch eti walipoenda dressing room sijui kawaambia nini hawachezi vizuri 2nd half 😅😅

Sipendi kubishana napenda kumuelewesha mtu, ila inapotokea unazungumza jambo moja kwa kurudia rudia inachosha na ni kwa sababu tayari huyo analo la kwake keshashika.
 
Kwa lugha ya kiswahili amesema katika siku 6 tumecheza mechi 3. Waliocheza mpira watamuelewa hapa kwa situation hiyo timu inakua na tension kubwa, fatigue, wakati mwingine hata concentration inaweza kupotea na huo ndio uhalisia kupata point hata 1 katika situation kama hiyo si haba. Yan kila kauli kwenu mnaichukulia negative.

Jamani msiweke chuki kila mahali hebu tafakari kwanza. Sina hakika kama hata mpira wa mtaani mmecheza nyie.
 
J2 Carabao Cup
J5 Fa Cup
J1 premier

Hii sio mara ya kwanza mkuu kucheza kwa team yetu. Na bado team ilikuwa inapata matokeo
Team kubwa zinapitia hii situation

Vipi katika wakat tunacheza mara 1 kwa wiki matokeo yalikuwaje?

Kuna wakat tulikuwa tunacheza j4 carabao jmosi league j4 uefa jmos league na hizi excuse hukuwah kuziskia

Wakat wa ueropa j4/j5 mna carabao cup j1/j2 mna game ya league Halaf Alhamis mnagame ya Ueropa halaf j2 mnagame ya league

Liver kacheza hivyo nabado kapata matokeo

Kama kocha anamentality ya hivyo basi tunasafar ndefu akiendelee kuwa yeye
 
Sijasema formation inacheza mpira ila kumewahi kuwa na malalamiko kadhaa kwa nini anang'ang'ana na formation jana kabadilisha lakini almanusura tupoteze points zote 3.

Mimi huwa nasimama na ukweli ambao nyie mnaufumbia macho kwa kuuelekeza upande mmoja tu. Yes Poch ana upungufu wake lakini tusisahau na uzembe wa wachezaji hiki ndicho mimi huwa nasema. Mchezaji anapata open chance anafika golini anaremba, mqra anakimbia akifika kwenye 18 anapiga kisigino, pass hazipigei kwa usahihi hayo yote hayasemwi anakuja kusemwa Poch eti walipoenda dressing room sijui kawaambia nini hawachezi vizuri 2nd half 😅😅

Sipendi kubishana napenda kumuelewesha mtu, ila inapotokea unazungumza jambo moja kwa kurudia rudia inachosha na ni kwa sababu tayari huyo analo la kwake keshashika.
Mkuu naona unahangaika swali langu huwa hujalijibu kipi kinafanya kusiwe na muendelezo mzuri 2nd half???

Kukosa chance ni swala lingine hilo. Ila why 2nd half tunacheza hovyo na simara mora almost 90% ya mech zote tulizocheza tunahangaika sana 2nd half ni kama kuku aliyekatwa kichwa
 
nikushauri tu acha ulevi wa pombe zisizopimwa. Utakuja kunishukuru badae.

Unatuletea mada zako za kilevi hapa, we kwa akili zako timamu unaona kuna kocha mule, chelsea imecheza na vitoto vy vinavyovaa pampas then unasema walijitahid?? Kwa kuomba muda uishe waende penalties au?

Uachage kunywa matap tap ili uongee vitu vyenye maana mbele za watu.
Chelsea kwa chelsea mnagombana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.

Kosi la bilion 1000 likapak basi dhidi ya vitoto ili kungoja matuta. Nyie nyie kuna makocha ni wehu.
Hahahaaaaa nimecheka kifala
 
Kama ningekuwa Pochettino sitawahi kucheka au kuwalinda wachezaji wanaokosa nafasi za rahisi kama hizi. Nitawakemea tu na kuwaacha benchi kwa baadhi ya michezo nyingi tu ili wajifunze
Tofauti sasa yeye anacheka nao tu na kuwatetea kwenye media

Tunakubali sio failure zote tumlaumu Poche, lakini yeye ndie boss, sisi mashabiki tunamtazama yeye arekebishe kama kashindwa asepe, kwani lugha gani ngumu hapo, au sisi mashabiki ndio tukawachape hao watoto viboko? hapana

Mfano miaka miwili iliyopita tu Mudryk alikuwa na mchezaji bora wa Ukraine. Alikuwa anakiwasha sana kule Shakhtar Donetsk. Yuko wapi sasa hivi.

View attachment 2917819
View attachment 2917820
Poch kaja kuua vipaji badala ya kuviendeleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]A coacher who lost league one with Messi, Mbape, Neymar, Verati ndio mmemchukua ili aje awapatie makombe na kina Kukulea na Wacko Jacko[emoji16][emoji16][emoji16]
Fukuzeni hiyo Kenge haraka sana kabla haijawashusha daraja.
Pochettino ni kama Arteta tu sio makocha wa makombe ata ipite miaka 10, sana sana mtaambulia kupigapiga chenga, akibahatisha mnaweza kuambulia vikombe viwili vitatu vya Carabao, FA na ngao ya jamii.
Kama vipi tupeni pesa tuwapatie professional coach Professor Sir Erick Ten Hag ila kama hamna pesa ya maana tunaweza kuwapeni hata kwa mkopo, mkishindwa tafuteni hata kocha yoyote wenye Rasta halafu mtakuja kunishukuru baadae[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unawapotosha wenzio
 
Mkuu mm nnavyoiangalia Chelsea naona kabisa kuna muelekeo mzuri sana...hvi wanavyocheza hii style wanahutaji Clinical finishers tu na mabeki wenye roho mbaya basi...fukuza Sterling...fukuza Mudryk yule mmepigwa...fukuza Jackson...halafu tafuta mbadala wa hao watatu....hakyanani hamtajuta...Gallagher naye muonesheni mlango wa kutoka...anawachelewesha....ila style ya uchezaji mko perfect kabisa....mpk Sasa sijaona timu kubwa mlokutana nayo ikawa outplay kabisa...labda ile game ya Liver Anfield...kwhyo mwanga upo kabisa...Arsenal, Chelsea Man City msimu ujao ndo zitafukuzana pale juu...Manunu na Liverkuku sioni wakifanya lolote msimu ujao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et Liverkuku hawata fanya lolote msimu ujao yaani vishabiki vya Arsenyani bhana [emoji2][emoji2]. Alafu Great Finisher pale Chelsea si tumekubaliana ni Jackson? [emoji2][emoji2]
 
Pole ndugu. Leo kachezesha formation mliyopigia kelele lakini naona bado mnafumba macho. Poch kweli hatufai
Formation haikuwa na matatizo ndg. Hao vijana wamepewa malekezo yaliyobadili uchezaji kipindi cha pili
Sub za hao waliochoka ilitakiwa ifanyike haraka
Tumezamishwa na kocha mpaka mpigiwe wimbo au ngoma ipi muelewa yanayoendelea kwa huyu kocha?

Kimsingi Chelsea kutangulia kupata goli la kuongoza kipindi cha kwanza ni hatari sana kwa sababu kocha anaingia uwanjani kwa mara nyingine na amelekezo ya kuzamisha jahazi, Brentford walikuwa timu ambayo ilishiwa imani, walikuwa waoga na tulimiliki kila idara. Ila style aliyokuja nayo Kocha kipindi cha pili iliwafanya waamini wanaweza kurudi mchezoni. Hili suala ni la kocha sio la wachezaji.

Enzo kachoka ilioneka hata mechi za nyuma, kocha alitakiwa alishughulikie hili
Gallagher naye hakuwa mzima, uwezo wake wa kupress umepungua sana kwa sababu ya uchovu, hili kocha alitakiwa alijue na kulichukulia hatua muafaka
Chilwell hakuwa mzuri, nadhani alipewa maelekezo ya kupanda eneo lake likageuka uchochoro wa kupitisha mashambulizi

Kwenye benchi yuko Casadei aliyekatishwa mkopo wake uliokuwa unaenda vizuri, hatumiki hadi sasa
Mudryk aliyecheza vizuri mechi dhidi ya Leeds United kawekwa benchi na kuwaacha wachovu wacheze

Kipi kimefichwa hapa?
 
Sijawah sema tucheze hiyo formation, Formation sio inayocheza mpira,
1st half tumecheza mpira 2nd half kimetokea nini hilo ndio swali

Mkuu kama unahisi formation ndio shida basi hongera
swali langu lilikuwa rahisi tu naona unataka tuanze kubishana
Hata hiyo formation ya 3-5-2 yenyewe haikuwa na shida
Na aliyekluwa anashinikiza hiyo formation ni mpendwa mwenzake wanaomtetea kocha na kuwasingizia wachezaji

Formation inabadilika kulingana na aina ya wachezaji wanaomudu hiyo formation
4-2-3-1 haijawahi kuwa na shida yeyote
The problem is Pochettino, hana clue na dynamics za mpira wa miguu, anaenda kwa kukariri tu huyo fisadi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et Liverkuku hawata fanya lolote msimu ujao yaani vishabiki vya Arsenyani bhana [emoji2][emoji2]. Alafu Great Finisher pale Chelsea si tumekubaliana ni Jackson? [emoji2][emoji2]
Liver wanaenda kwa nguvu ya Klopp tu...wakipata kideri kidogo wanakuwa patupu...mfano mzuri jana...ukiwakaba wasipate counter huwa hawana kitu...nimewaangalia msimu wte huu...Sasa mwakani watafute mbadala wa Salah vinginevyo kocha mpya atapata tabu...VVD ndo anamalizia muda wake....Chelsea ni Mwalimu aweke tactics vzuri tu na awe na kikosi kamili....Wana watu wengi majeruhi nje ambao ni potential starters....City we all know Wana watu wa maana hata De Bruyne akiwa nje na vilevile uwepo wa Guardiola....Manunu ni kikundi cha wafanya vurugu hawana impact..timu mchezaji wa maana eti ni Rashford na Bruno mzee wa kulia...hawatakaa wa compete mpk wabadili timu nzima yaani mpk wafagiaji ....ndo maana nikasema nilosema
 
Formation haikuwa na matatizo ndg. Hao vijana wamepewa malekezo yaliyobadili uchezaji kipindi cha pili
Sub za hao waliochoka ilitakiwa ifanyike haraka
Tumezamishwa na kocha mpaka mpigiwe wimbo au ngoma ipi muelewa yanayoendelea kwa huyu kocha?

Kimsingi Chelsea kutangulia kupata goli la kuongoza kipindi cha kwanza ni hatari sana kwa sababu kocha anaingia uwanjani kwa mara nyingine na amelekezo ya kuzamisha jahazi, Brentford walikuwa timu ambayo ilishiwa imani, walikuwa waoga na tulimiliki kila idara. Ila style aliyokuja nayo Kocha kipindi cha pili iliwafanya waamini wanaweza kurudi mchezoni. Hili suala ni la kocha sio la wachezaji.

Enzo kachoka ilioneka hata mechi za nyuma, kocha alitakiwa alishughulikie hili
Gallagher naye hakuwa mzima, uwezo wake wa kupress umepungua sana kwa sababu ya uchovu, hili kocha alitakiwa alijue na kulichukulia hatua muafaka
Chilwell hakuwa mzuri, nadhani alipewa maelekezo ya kupanda eneo lake likageuka uchochoro wa kupitisha mashambulizi

Kwenye benchi yuko Casadei aliyekatishwa mkopo wake uliokuwa unaenda vizuri, hatumiki hadi sasa
Mudryk aliyecheza vizuri mechi dhidi ya Leeds United kawekwa benchi na kuwaacha wachovu wacheze

Kipi kimefichwa hapa?
Hiv huyu angekuwa wakat tunacheza uefa situngekuwa tuko kwenye relegation battle

Yani mtu kakatisha mkopo wa Casedei halaf analalamika wachezaj wamechoka huku kuna mchezaj uliyemleta yuko bench halaf unalalamika
 
J2 Carabao Cup
J5 Fa Cup
J1 premier

Hii sio mara ya kwanza mkuu kucheza kwa team yetu. Na bado team ilikuwa inapata matokeo
Team kubwa zinapitia hii situation

Vipi katika wakat tunacheza mara 1 kwa wiki matokeo yalikuwaje?

Kuna wakat tulikuwa tunacheza j4 carabao jmosi league j4 uefa jmos league na hizi excuse hukuwah kuziskia

Wakat wa ueropa j4/j5 mna carabao cup j1/j2 mna game ya league Halaf Alhamis mnagame ya Ueropa halaf j2 mnagame ya league

Liver kacheza hivyo nabado kapata matokeo

Kama kocha anamentality ya hivyo basi tunasafar ndefu akiendelee kuwa yeye
Ndugu kama iliwahi kutokea ivyo haimanishi ndio iko sawa. Elewa mantiki yake tusikae kubishania kitu ambacho point iko wazi.
 
Mkuu naona unahangaika swali langu huwa hujalijibu kipi kinafanya kusiwe na muendelezo mzuri 2nd half???

Kukosa chance ni swala lingine hilo. Ila why 2nd half tunacheza hovyo na simara mora almost 90% ya mech zote tulizocheza tunahangaika sana 2nd half ni kama kuku aliyekatwa kichwa
Ndugu sababu ziko nyingi lakini kwa mantiki yako nataka nikwambie timu kucheza tofauti na kipindi cha kwanza hasa huwa ni issue ya fitness. Wachezaji kuchoka sana kwa iyo kama timu haikupata matokeo 1st half basi ni ngumu kutoboa 2nd half.
 
Chelsea kwa chelsea mnagombana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chelsea ni kikundi cha wahuni flani hivi cha wala ganja.
Mimi mpaka dakika hii sijaona tofauti yoyote kati Harry Potter na Cappuchino.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom