Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji117] Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
 
Ninyi mnaomtetea Kocha a kuwashambulia wachezaji, haya sasa amewasaliti, kawaagiza muache kuwalaumu na kuwatukana wachezaji. Mumlaumu yeye, anaweza kuhimili yote.

Pochettino: "Nadhani uchezaji umekuwa mzuri sana, nimefurahishwa sana na uchezaji. Ikiwa [mashabiki] wanataka kusikiliza, sawa. Kama sivyo, nifanye nini? Wataendelea kuzomea. Ninatoa. kilicho bora kwa timu hii.

Lakini hatuwezi kuwalaumu mashabiki. Ujumbe wangu ni: Sawa, wanahitaji kuonyesha kuchanganyikiwa kwao - kupitia nani? Napendelea mimi kuliko wachezaji. Napendelea hiyo, mimi ni imara. Nina hakika kwamba baada ya muda tutabadilisha mtazamo."

"Sitaki mashabiki kujaribu kuwalaumu wachezaji. Wachezaji wanahitaji kuungwa mkono na mashabiki na, kusema kweli, napendelea nipate lawama na kuwaacha wachezaji wawe huru uwanjani. sijali. Nina nguvu, nina miaka 52 sasa. [standard]

-----------------------------------------------------------------------

Pochettino: "I think the performances have been very good, I’m so happy with the performances. If they [fans] want to listen, perfect. If not, what can I do? They’ll keep booing. I’m giving my best to this team.But we cannot blame the fans. My message is: Okay, they need to show their frustration - through who? I prefer to me rather than to the team. I prefer that, I am strong. I am sure that in time we will change the perception."

“I don’t want the fans trying to blame the players. Players need to feel backed by the fans and, to be honest, I prefer that I get the blame and let the players be free on the pitch. I don’t care. I am strong, I am 52 now.” [standard]

1709513173265.png
 
Ndugu sababu ziko nyingi lakini kwa mantiki yako nataka nikwambie timu kucheza tofauti na kipindi cha kwanza hasa huwa ni issue ya fitness. Wachezaji kuchoka sana kwa iyo kama timu haikupata matokeo 1st half basi ni ngumu kutoboa 2nd half.
Kwamba wachezaj hawana fitness kuanzia msim umeanza ????
So unataka kusema tena wachezaj wetu wanaweza cheza kwa dakika 45 tu zikizidi hapo ni majanga?
 
Ukiniuliza kati ya Poch na Potter yupi aliyepaswa kupewa mda angalau nitakwambia ni Potter

Naamini endapo Potter angeanza na team kuanzia pre season angeleta mabadiliko makubwa msim huu tusingekuwa hapa tulipo

Msim uishe Poch aondoke twende kwa Amorin/Arne Slot/De Zerbi heshima irudi
 
Kwamba wachezaj hawana fitness kuanzia msim umeanza ????
So unataka kusema tena wachezaj wetu wanaweza cheza kwa dakika 45 tu zikizidi hapo ni majanga?
Daah mdugu mbona uko slow sana. Nimekwambia sababu ziko nyingi lakini mostly huwa ni kukosa fitness ukiniambia msimu mzima unataka kunilisha maneno yako. Maana sidhani eti kila mechi hiyo hali imetokea. Yan mechi chache we unasema msimu mzima.
 
Poch ni kocha muoga sana ii ilionekana kwanzia kushndwa kumuamini petrovic na maatsen hata kwenye mech za carabao mpaka alivokuja kuumia sanchez akakosa cha kufanya.alafu ndo aliletwa kuja kukuza vipaji vya awa madogo ila mpaka sasa ni uwezo binafsi wa mchezaji m1mmoja
Screenshot_20240229-223112.jpg
 
Daah mdugu mbona uko slow sana. Nimekwambia sababu ziko nyingi lakini mostly huwa ni kukosa fitness ukiniambia msimu mzima unataka kunilisha maneno yako. Maana sidhani eti kila mechi hiyo hali imetokea. Yan mechi chache we unasema msimu mzima.
Fatilia mkuuu tangu ligi imeanza. Uangalie mechi ngapi tumecheza vizuri vipindi vyote uone

Hii hapa ni table. Ya 1st half vs 2nd half
 

Attachments

  • IMG_2121.jpeg
    IMG_2121.jpeg
    103.4 KB · Views: 11
  • IMG_2120.jpeg
    IMG_2120.jpeg
    99.9 KB · Views: 17
Kama poch akifukuzwa tusipompata kocha wa inter au wa bilbao ni bora tumvumilie2 saivi tunatakiwa tupate kocha sio awa interim wa kuja kufanyia majaribio
Huyo kocha wa Inter ana wachezaji ndii maana unamuona hivi sasa. Huyo wa Bilbao kakaa misimu kadhaa lakini perfomance yake ndio iko ivyo sometime anapanda sometimes anashuka. Alikua Barcelona atleast alijitahidi ila bado alikua na wachezaji kama kina Messi na Bousquet, Pique. Hata akija kwenye hii timu bado atahitaji muda kwa hawa wachezaji waliopo
 
Kama unafatilia mpira utaelewa.

Wote hao ni bora kuliko na niwazuri kuliko Poch mashavu
Nafuatilia mpira sana, hata Potter alikua vizuri BHA nini kilimkuta alipokuja Chelsea?

Sarri ball pamoja na beautiful ball yake lakini nini kilimkuta?
 
Fatilia mkuuu tangu ligi imeanza. Uangalie mechi ngapi tumecheza vizuri vipindi vyote uone

Hii hapa ni table. Ya 1st half vs 2nd half
Then niambie wewe tatizo ni nini japo nimeshakwambia sababu ziko nyingi na moja wapo inaweza kuwa fitness. Usianze story za yule mwenzako eti wakienda dressing room wanaambiwa wacheze tofauti na 1st half
 
Then niambie wewe tatizo ni nini japo nimeshakwambia sababu ziko nyingi na moja wapo inaweza kuwa fitness. Usianze story za yule mwenzako eti wakienda dressing room wanaambiwa wacheze tofauti na 1st half
Hujui mpira wewe. Acha kuwachosha watu.
 
Inashangaza jinsi Poch anakaribia kujenga simulizi ya u-mimi dhidi ya mashabiki badala ya kujaribu kuwavuta mashabiki upande wake. Unakumbuka matokeo yalipoanza kudorora chini ya Jose Mourinho msimu wa 2015/16? alisema nini kujibu flustration za mashabiki?
Alisema hivi:
"Mashabiki sio wajinga. Wao si wajinga”

Yeye Pochettino kwa upande wake anataka kuwa adui na mashabiki kwa kile anachosema kuwa mkweli kwamba wachezaji wanacheza vizuri, wakati mashabiki wao wanaona timu haichezi vizuri 🤷‍♂️ hana imani yoyote na mashabiki.

Ukishapoteza mawasiliano na mashabiki, muda wako wa kubaki unahesabika, ndicho kinachoendalea kumkuta Pochettino na kandarasi yake ya kuifundisha Chelsea

1709582024322.png
 
Simon Jordan:
"Brighton wana uwezo wa kumbadilisha mchezaji wa pauni milioni 5 kuwa wa pauni milioni 100 na Chelsea wana uwezo wa kumbadilisha mchezaji wa pauni milioni 100 kuwa wa pauni milioni 5."
(@talkSPORT)

Huu ni utani wa mwaka

1709585478049.png
 
BREAKING:
Kusudio la Chelsea la kusubiri hadi mwisho wa msimu kabla ya kutathmini utendaji wa Pochettino haijazuia klabu hiyo kuwaweka kwenye orodha Rúben Amorim na Roberto De Zerbi kama warithi watarajiwa wa Pochettino endapo klabu itaona ni vyema kukatiza mktaba wake ambao ulitarajiwa kuisha muda wake June 30, 2025.
[@JacobSteinberg]

1709589496862.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom