Hakuna Fan base ambayo team inafanya vibaya wakawa wanafurahia Hakuna[emoji117] Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Una uhakika Toddy ataleta kocha bora kuliko Potter na Poche?Hakuna Fan base ambayo team inafanya vibaya wakawa wanafurahia Hakuna
Wachezaj mnawaonea tu, Wote tunajua shida iko wapi ni vile tu tunakaza vichwa.
Natumai Manager atakae kuja atakuwa ni mtu sahihi atakaendana na hawa wachezaji na awe mtu wa mabadiliko
Natumai manager atakae kuja atathibitisha shida ilikuwa nini kocha au wachezaj
Kocha anaekuja inabidi tuwe makini sana Kwenye kumtafuta
70%-90% ego yao haitatoa nafasi wamlete kocha mwenye msimamo, wataishia kumleta puppet waoUna uhakika Toddy ataleta kocha bora kuliko Potter na Poche?
Wakishindwa hapo mjiandae kwa point deduction na hali mbaya bila European Football mjiandae na Ban na kukatwa point.Una uhakika Toddy ataleta kocha bora kuliko Potter na Poche?
Financial Fair Play bila European Football tutakuwa na hali mbaya ndio maana kwa msim huu poch aliwekewa European football tufuzu.Ban ipi kwa kosa gani?
Kukatwa point kwa kosa lipi?
Ila asiwe wa BrightonHakuna Fan base ambayo team inafanya vibaya wakawa wanafurahia Hakuna
Wachezaj mnawaonea tu, Wote tunajua shida iko wapi ni vile tu tunakaza vichwa.
Natumai Manager atakae kuja atakuwa ni mtu sahihi atakaendana na hawa wachezaji na awe mtu wa mabadiliko
Natumai manager atakae kuja atathibitisha shida ilikuwa nini kocha au wachezaj
Kocha anaekuja inabidi tuwe makini sana Kwenye kumtafuta
Hapo kuna hela za attendance +Tunauza wachezaji na wengine tunawatoa kwa mkopo kubalance vitabu.
Cucurela
Sterling
Gallagher
Matseen
Keppa
Chalobah
Wengine kibao wapo kwa mikopo vilabu vingine tutawauza huko moja kwa moja
Mbona itapatikana pesa nyingi kuliko kufuzu UEFA.
Winner - €20m
Runner-up - €15.5m
Semifinalists - €12.5m
Quarterfinalists - €10.6m
Round of 16 - €9.6m
Group-stage wins - €2.8m
Group-stage draws - €930k
Reaching group stage - €15.64m
Me naona De Zerbi ni mzuri kuliko PochetinoIla asiwe wa Brighton
Ili mahesabu ya balance ni lazima Chelsea ifanye vizuriBan ya nini?
Kukatwa point kwa sababu zipi?
Kufaulu ligi kubwa ina matokeo ya jumla, bado tutauza wachezaji, watapanda viwango, TV rights na biashara zingine zitachangamkaTunauza wachezaji na wengine tunawatoa kwa mkopo kubalance vitabu.
Cucurela
Sterling
Gallagher
Matseen
Keppa
Chalobah
Wengine kibao wapo kwa mikopo vilabu vingine tutawauza huko moja kwa moja
Mbona itapatikana pesa nyingi kuliko kufuzu UEFA.
Winner - €20m
Runner-up - €15.5m
Semifinalists - €12.5m
Quarterfinalists - €10.6m
Round of 16 - €9.6m
Group-stage wins - €2.8m
Group-stage draws - €930k
Reaching group stage - €15.64m
Uzuri wa Dizerbi ni kwanza wachezaji wengi walikuwa naye na walifanya vizuriMe naona De Zerbi ni mzuri kuliko Pochetino
Basi makombe tusahauMe naona De Zerbi ni mzuri kuliko Pochetino
Amorin hapo ndio kocha. Huyu De Zerbi tutakuja kujilaumu tenaMachapuo yanayopewa kipaumbele kuja kumrithi Pochetino msim ujao
1. Ruben Amorim
2. De Zerbi
Ndugu kuhusu swala la makombe sahau kwa sasa. Hii project bado mbichi sana maana hesabu kila msimu lazima tuanze upyaBasi makombe tusahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee kila msimu mnajikuta bado mpo phase 1 kama Arsenyeto.Ndugu kuhusu swala la makombe sahau kwa sasa. Hii ptoject bado mbichi sana maana hesabu kila msimu lazima tuanze upya