Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We si ulikuwa unabisha si umemuona kocha wako
Bado ni kocha mzuri kwa wachezaji tulionao kuliko Pochettino, hoja yangu ilikuwa kipindi cha mpito angalau 2 to 3 years asipoonyesha dalili za kucontent ligi na UCL awekwe mzoefu, timu itakuwa imeshakomaa
Dizerbi ameprove kuinua viango vya young tallents
 
Chelsea imetoa ofa ya mil £51 kwa CB wa wa Sporting Lisbon Ousmane Diomande (20yrs)

1709894567019.png
 
Roma wanawachezaji wazuri ukicompare na Brighton

Roma hii na ile roma ya mourinho ni roma mbili tofauti hii ya de rossi imeimprove sanaa tangu wamfukuze Mourinho
Huyo kocha mbinu hana na ndio maana msimu huu team nyingi zimemjulia wanampiga wanavyotaka
 
Yes tulikuwa na mid nzuri Kante, Kovacic, Jog ndio maana tulibeba makombe makubwa Ulaya.

Na Saul & Zakaria walikuja kwa mkopo sio permanent.

Sajili Permanent zilizofanyika baada ya Tuchel ndio ovyo sana, zimerudisha nyuma kikosi badala ya kukiboresha kwenda mbele.
Kante/kova walikuwa washaanza choka. Tulihataj kuanza kufanya succession mapema tu haya hao wote ndani ya mism 3 wote wameondoka

Angalia Madrid wanavyofanya wanasajil sio tu kwa leo bal kwa kesho
Leo washakuwa tayar na warith wa Kroos,Modric japo bado wapo na Casemiro hata kabla haajaondoka tayar mrith wake alikuwa ashapatikana

Unasajil wachezaj unawaingiza kwenye team bila pressure yoyote

Sasa sisi tunasubir mpka flani aondoke ndio tusajil madhara yake ndio yale tunasema pressure sijui ya team ni kubwa hapo mchezaji ashaanza kuboronga
 
Yes tulikuwa na mid nzuri Kante, Kovacic, Jog ndio maana tulibeba makombe makubwa Ulaya.

Na Saul & Zakaria walikuja kwa mkopo sio permanent.

Sajili Permanent zilizofanyika baada ya Tuchel ndio ovyo sana, zimerudisha nyuma kikosi badala ya kukiboresha kwenda mbele.
Mnamjadili TT sio kocha mzuri kama mnavyomremba, aliikuta Chelsea iko vizuri
  1. Mendy alikuwa kwenye form
  2. Kante alikuwa hot
  3. James na Chilwell hawakuwa na majeruhi sana kama wakati huu
  4. Mason Mount, Kovacic, Jorginho wote walikuwa kwenye prime
Ila sajili alizizifanya kabla ya kufukuzwa ilikuwa mbovu sana
Halafu TT sio kocha wa long term plan ni kama akina MOU tu
Alitembea darajani na ngekewa sana na msichanganye ngekewa na utaalamu
TT hakuwa na utaalamu wowote, hakuwa na pattern of playing, aliweka mbinu mbinu zake ambazo kwa wakati huo zilifanya kazi zikawasisismua mashabiki wakampenda
Angeendelea kukaa hata kwa mmiliki mpole sana angetimuliwa tu
 
Huyo kocha mbinu hana na ndio maana msimu huu team nyingi zimemjulia wanampiga wanavyotaka
Wamepoteza wachezaji wengi muhimu, angekuwa Poche ndio anaifundisha Brighton ingeshashuka daraja hata kabla ya mechi kuisha
 
Wamepoteza wachezaji wengi muhimu, angekuwa Poche ndio anaifundisha Brighton ingeshashuka daraja hata kabla ya mechi kuisha
Issue sio tu anapoteza kwasababu kapotelewa na wachezaji wake muhimu unaona kabisa amezidiwa kimbinu na bahati mbaya habadiliki team nyingi zinapocheza Brighton wanavyofanya hawapress mbele kwasababu wanajua Brighton ni wazuri kwenye build up wanawaacha mpaka wafike katikati ya uwanja ndipo wanawapress cos hata shape yao ya uzuiaji inakuwa haipo vizuri na inakuwa rahisi kwao kufungwa.
 
Chelsea ni ya 2 kwenye ligi kwa kuwa na squad wenye wachezaji wafupi
Ina wastani wa urefu wa 178 cm
Timu ya kwanza kwa kuwa na wachezaji wafupi ni Brighton yenye wastani wa urefu wa cm 177

Wametuambukiza ufupi hao

Tatizo la ufupi ni vigumu kuwin mipira ya duel
Ni vigumu pia kucheza set pieces kama Kona, Free kick na mpira wa kurusha
1709915142111.png
 
Baada ya TT wamepita makocha wangapi? Wameonyesha hiyo pattern? Wamebeba angalau Carabao cup?

Hicho kitu kinaitwa pattern nakichukia sana, unacheza mpira mzuri Possesion laki 7 halafu hakuna ushindi/makombe, cheza mpira wa kimbinu shinda mechi zako nyanyua makombe.

Mpira mzuri waachie Aser8 wanaosindikiza wanaume kila msimu
Umekosea
PEP anayo pattern ambayo siipendi kwa sababu ina side ways passes na backward passes nyingi lakini ameimudu na inaleta matokeo mazuri
Pattern ya Klopp mnaijua, yeye mbele kwa mbele, direct football, mpira ndani ya sekunde moja iko kwenye final third ya mpinzani. Naipenda hiyo pattern ya Klopp

Kuhusu makocha waliokuja Chelsea hakuna hata mmoja kwa sababu akina Boehly wameamua kuwaleta ma puppet zao

Kumrudisha TT Chelsea ni kujitakia kaburi tu la kujifia huko na kusahau timu kwenda mbele]
Alipokuwa anafukuzwa alianza kukosa mawasiliano na wachezaji na matokeo yalikuiwa ni mabovu sana

Uzuri wa TT uko pale tu kwenye mbinu ambayo makocha wengi wanakosa ila mbinu pekee haiwezi kusaidia timu kuwa sustanable kwenye kufanya vizuri.

Natamani tumpate kocha mwenye mbinu kama za TT na Pattern ya uchezaji kama ya Klopp
 
Ni kweli kwa miaka mingi THE BLUES tumekuwa na utamaduni huo wa kutokufanya replacement ya mchezaji mapema huwa inatucost sana.

Ila tukubali TODDY amechezea sana pesa kwenye usajili, kulikuwa hakuna haja ya kusajili lundo la wachezaji kwa wakati mmoja mpaka wengine wamemwagikia

Angesajili taratibu na kimkakati THE BLUES isingekuwa ya ovyo hivi. Hata makocha wasingepata kazi kubwa ya kuorganise wachezaji wapya wengi.

Tukubali tuu vision na maamuzi ya ovyo ya TODDY yameicost sana THE BLUES kila idara.

Kwa kweli sasa hivi anatakiwa atulize sana akili aboreshe kikosi sio kuendelea kukiharibu zaidi na tutampima kwa usajili wa kocha mpya na sajili nyingine za wachezaji.
Baadhi ya wachezaj hawakutaka kuendelea kuwepo

Ilikuwa either usign new contract o uondoke
 
Ni kweli kwa miaka mingi THE BLUES tumekuwa na utamaduni huo wa kutokufanya replacement ya mchezaji mapema huwa inatucost sana.

Ila tukubali TODDY amechezea sana pesa kwenye usajili, kulikuwa hakuna haja ya kusajili lundo la wachezaji kwa wakati mmoja mpaka wengine wamemwagikia

Angesajili taratibu na kimkakati THE BLUES isingekuwa ya ovyo hivi. Hata makocha wasingepata kazi kubwa ya kuorganise wachezaji wapya wengi.

Tukubali tuu vision na maamuzi ya ovyo ya TODDY yameicost sana THE BLUES kila idara.

Kwa kweli sasa hivi anatakiwa atulize sana akili aboreshe kikosi sio kuendelea kukiharibu zaidi na tutampima kwa usajili wa kocha mpya na sajili nyingine za wachezaji.
Todd mnamlalamikia bure ni vile labda alikuwa yuko mstari wa mbele kwenye kikundi chale. Mkumbuke 60% anamiliki Eghbali n Feleciano (Clearlake)

Anyway Wamiliki wapya wamekosea hapo ila Wamekosea zaidi kwenye kuamua aina ya kocha

Unaweza sajil wachezaj wazuri ila mwalim akawa sio sahihi

Iliwahi kutokea wakat wa Scolari,Di Mateo,Andres Villas Boas,
 
Muangalie hii clip japo ni ya mda ya Arteta
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1709891518025.mp4
    3.1 MB
Kai Havertz ni mfano halisi wa jinsi tulivyokuwa na makocha mabumunda humu Chelsea
Kuanzia atoke Antonio Conte hatujawahi kupata kocha mwenye akili ya mpira, waliopita wote ni waigizaji tu
 
Kai Havertz ni mfano halisi wa jinsi tulivyokuwa na makocha mabumunda humu Chelsea
Kuanzia atoke Antonio Conte hatujawahi kupata kocha mwenye akili ya mpira, waliopita wote ni waigizaji tu
We jamaa sometimes unaujinga who is kai? Umeshiba makande me nikadhani unamzungumzia mchezaji wa maana kumbe eti kai
 
Wakat Roman ndio tuliweza shinda makombe ila naamini tungeweza shinda makombe zaidi kama tungekaa na Mourinho or Ancelloti kwa mda tungeshinda zaidi ya hayo tulioshinda

2012- usajili wa Mata
2013-Usajili wa Hazard,Oscar
2014-Usajili wa Willian na Schurle winter Matic n Salah

Mata Oscar Hazard hawa waliaathiriwa na timua timua ya makocha walikuwa na kila kitu cha kutawala premier league yani wangekuwa chini ya Pep wangekuwa bora zaidi ya vile walivyokuwa
 
Tukubaliane tu Poch na hii squad ni mismatch

1.Angalieni aina ya wachezaj tulionao tangu wametoka huko ni wachezaji wanamna gani

2. Angalien Poch ni kocha wanamna gani anapendelea nini tangu huko alipotoka

3.Je kwa kuangalia wachezaji tulionao mnahisi Poch ni mtu sahihi?
“our players will shine much more in a system that so heavily prioritises technicality.
Irrespective of quality no one can deny about almost every player we’ve signed is their technical-base.”
 
Kai ni bogasi, ni vile zile kondoo zinamsifia ili kuficha kuwa tuliwapiga na kitu kizito. Kai huwa anawakaba wale vilaza sema hawajui tu.
Nenda kokote kaulize Kai na Mudryk nani bogasi...utapata jibu zuri sana🤠🤠
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom