Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki siku zote huwa wanakupa mda wanaangalia na mwelekeo wa team + wewe kocha unavyoelezea.

If hao wanaokuja akija akamaliza ndani ya top 4 unahis mashabiki hawatomuunga mkono.

Mashabiki wa chelsea wewe ukishinda tu watataja jina lako mwanzo mwisho na banner watakuewekea ila matokeo yakiwa mabaya na ukawa mtu wa excuse utawaona hawafai

mashabiki siku zote huwa wanahitaj kocha anaefeel jinsi wanavyohisi wewe ndio maana Tuchel,Mourinho hawa wote wanaendelea kutajwa

kwa sababu walionesha kuwa upande wa mashabiki pale hali ilipokoluwa haiendi sawa

Angalia Game vs Spurs wakat wa Tuchel lile vibe kati ya Tuchel na mashabiki na Tuchel vs Conte
Mazingira yaufanyaji kazi yanaanzia kwenye uongozi kwanza je kwa aina ya management yetu ni rafiki kwa hawa makocha wachanga?
 
Hata aje kocha gani kwa aina ya wachezaji tulionao anahitaji si chini ya msimu mmoja ku cope formation yake kulingana na wachezaji waliopo. Mind you hapo nimefanya consideration ya majeruhi waliopo na wajao pamoja kufanya sajili zake mwenyewe.

Hakuna uchawi hapo huwa iko ivyo always. Otherwise ukute wacheza pro wako wengi.
Progress inaangaliwa jinsi mnavyocheza ndani ya msim mzima

Je kuna improvement yoyote huwez sema msim huu tumalize 10-12 halaf useme msim unaokuja chin ya kocha mwingine tukamaliza ndani ya top 4 au hata ndani ya top 5 useme kocha ni mbaya hapana n vice versa

Tuombe tu uzima na afya njema kuna makocha wanaimpact kwenye team haraka
Eg. Xabi alonso wakat anaichukua leverkusen ilikuwa ya pili kutoka mwishoni ila alivyowabadilisha mpaka wakafika nusu fainal ueropa huku kwenye league wakimaliza nafas ya 6 na msim huu ndio msim wake wa kwanza full ameanza nao tangu pre season hao wako wanaongoza league

Hiyo ndio imapact tunayoizungumzia kama kocha ni mzuri lazima ataleta matokeo chanya kwenye team
 
Mazingira yaufanyaji kazi yanaanzia kwenye uongozi kwanza je kwa aina ya management yetu ni rafiki kwa hawa makocha wachanga?
Ndio maana kuna makubaliano kwa mfano wakat wa Roman makocha wengi walijua kabisa pale nahitaji kudeliver nisipodeliver sina kazi

Mfano mwingine ni Nagelsman yeye alikataa kwa sabab za muundo mzima wa uongozi,recruitment etc ila Poch yeye akakubali

Sijui unanielewa nachojaribu kukisema so de zerbi o amorim o inzaghi yeyote yule atakaeona swala zima la uongozi liko vizuri atakubali na ambae atahisi haliendani na yeye atakaaa
 
Mazingira yao yakufanya kazi yanafanana na team yetu hilo umeliangalia
Huenda mazingira ya kwetu yakawa mazuri kuliko hata ya huko wanapotoka

Ni vile tu hivi sasa hatupat matokeo ndio mnaona labda mazingira yetu ni mabaya ila amini kwamba Poch angekutana na hali ile ya aliyokutana nayo Potter january wallah tungekuwa worse kuliko hata Potter mwenyewe

Sasa hiv ni kama hali imetulia tu kwenye maswala ya uongozi

Unajua kabisa sahiv wanaongoza shughul za team ni Lawrance Stewart na Paul Winstanley Ni tofaut na mwanzoni.

Mazingira ya sasahiv ni kama yashatulia kwenye swala la uongozi
 
Kundi la mashabiki wa RC Strasbourg imewataka Clearlake, wakiongozwa na Behdad Eghbali, kubadili sera yao ya usajili wa U23 au kuiacha klabu yao.

1709760574747.png
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cappuccino ni bonge la kocha aaminiwe na apewe misimu 5 ndio mumjudge humu, kwanza Cappuccino ni bonge la handsome kuliko kocha yoyote kwenye Epl hivyo analeta ushawishi kwa mashabiki wengi wa kike kujiunga na chelsea[emoji16][emoji16][emoji16]
Toddy Boehly hio timu ni ya kwako na umeinunua kwa pesa zako mwenyewe, hakuna hata kenge mmoja humu aliekuongezea hata mia wakati unanunua timu, hivyo hakuna kenge yoyote mwenye mamlaka ya kukupangia chochote, wakiendelea kukuletea kidomodomo mrudishe Lampard au Harry Potter, kwanza kenge za humu hata uzifanyie kitu gani hazina shukrani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao makocha vijana mazingira ya kufanya kazi THE BLUES yatakuwa magumu kwa sababu ya presha kubwa kutoka kwa mashabiki sumu.
Mashabiki wa Chelsea ni wazuri sana, wamezoe timu ifanye vizuri
Mimi nimefuatilia sana maoni ya mashabiki wengi wa Chelsea. Hakuna hata shabiki mmoja anayetazamia Chelsea ibebe makombe makubwa angaklau kwa msimu mmoja au miwili
Wanachotaka mashabiki ni kuwepo progress, na hiyo progress ihusishe Chelsea kuweza kushiriki hata angalau Conference League
Sasa tunapoona timu inadorora tu kwenye 10-12 na hakuna dalili ya kuboreka kwa timu ndio maana wanakuja juu
Sasa hapa nitashangaa sana humu ndani kuna mashabiki wameridhika kabisa na hii hali
 
New injuries

Levi Colwill - Toe Injury - Ruled Out
Ben Chilwell - Knee Injury - Ruled Out
Conor Gallagher - Illness - Doubtful

Watakosa mechi dhidi ya Newcastle
1709829327679.png
 
Pochettino anaweza kumpa dakika kadhaa kinda wa miaka 17 anayeitwa Ishé Samuels-Smith kucheza kwenye LB au LCB kwa sababu ya majeruhi ya akina Chilwell na Colwill,

1709829661792.png
 
BlueCo 22, kampuni ambayo Clearlake Capital na Todd Boehly walinunua Chelsea na Strasbourg, imetangaza hasara ya £653m kwa kipindi cha Machi 2 2022 hadi Juni 30 2023. Pia wametangaza Chelsea imepata hasara ya £90.1m kwa kipindi cha hadi Juni 30 2023
Na hizi hasara zitaendelea hadi tuone cha mtema kuni kama Chelsea itaendelea kwenye nafasi ya 12

1709830075808.png
 
Roberto Dizerbi hataweza kuja Chelsea kwa sababu yeye ana vipaumbele zingine ambazo ni nje ya Chelsea
Ruben Amorim kwa sasa sio mlengwa wa Chelsea. Wanaweza kufikiria Hansi Flick na Lopetegui kwa nafasi ya ukocha.
 
Safi sana twende na:-

Hans Flick
Conte
Morinyo
Negsliman
Tuchel

Lopetegui - Akae pembeni
Behdad Eghbali kipekee atahitajika kubadilisha msimamo wake kuhusu Thomas Tuchel na kubadilika kifikra na kimfumo ili kukidhi mahitaji ktk mtindo wa Tuchel. Haifikiriwi kuwa hili litatokea. (kupitia @JacobsBen)

Forget about Tuchel, Eghbali hamtaki kabisa

Kuhusu MOU ondoa hilo
Kuhusu N egsliman - yeye alishindwqa kabisa kwenye usaili kwa sababu haamini juu ya mchakato
 
Pochettino anaweza kumpa dakika kadhaa kinda wa miaka 17 anayeitwa Ishé Samuels-Smith kucheza kwenye LB au LCB kwa sababu ya majeruhi ya akina Chilwell na Colwill,

View attachment 2927332
Poch hawezi fanya hivyo ni muoga sana

hawez fanya anachofanya Klopp kukiwa na majeruhi

We tegemea LB Gusto RB Gilchrist o Disasi o Chalobah😂😂😂 kwa akili za Pochetino
 
Tuchel amebeba makombe makubwa THE BLUES ndani ya miezi 3, TT anaifahamu THE BLUES na anajua THE BLUES inataka makombe ni club ya makombe.

Kwa vyovyote vile akirudi lazima atapambana kuendelea kubeba makombe na bahati nzuri mashabiki wengi THE BLUES wanampenda TT watampa support kubwa.

Cha muhimu akirudi management wamsikilize, wampe anachotaka na wasimuingilie kwenye majukumu yake.

TT aje aendelee alipoishia kuliko kuleta kocha mpya aanze upya, mazingira mapya, kila siku itakuwa timu ya kujengwa upya.

Matajiri walambe tuu matapishi yao THE BLUES inamuhitaji Tuchel kwa sasaView attachment 2927788
Hapo kwenye kumskiliza anachotaka hapana bali tu aseme anataka mchezaj wanamna gani

Talent ID ya tuchel ni zero, sajili zake zote huwa za hovyo

Tuchel anafaa kufanya kazi akiwa na sporting director o technical director mzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom