Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnyinge mnyonge haki yake mumpe. Kiukweli ambacho huwa sielewi watu wa hii forum. Sasa hivi lawama kwa Poch lakini hakuna anayesema kuhusu zile nafasi za wazi tulizopoteza.

Poch anatoa comment kuonyesha yuko nyuma ya wachezaji so ameamua kubeba lawama zote. Watu wako hapa kum mock. Zaidi ya nafasi 6 tungeweza kupata uongozi mzuri.

Tusisubiri siku tushinde ndio tuanze maneno ya kinafiki. Leo tumecheza vizuri wachezaji ndio wametuangusha japo pia wamepambana sana.
Tunaweza kuwa tumecheza vizuri ila why awaambie wachezaj wajiandae kwa penalt against hawa watoto wa liverpool

Badala awashawishi wahakikishe wanapata goal ndani ya dakika hizo unawaambia warudi nyuma ni ujinga wa hali ya juu
 
Hakuna sehemu kawaambia wajiandae kwa penalty
 
Hakuna sehemu kawaambia wajiandae kwa penalty
Unataka kusema wachezaj ndio walioamua kucheza vile kwenye extratime??????

Wachezaj wanaweza kuwa na makosa yao kwq chance tulizopata ila mentality ya kocha kwenye Extratime ilikuwa awful.
 
Attachments

  • IMG_2068.jpeg
    IMG_2068.jpeg
    203.2 KB · Views: 5
Klopp jana kawaonesha unaweza ukawa na watoto na bado ukafanya vizuri

Alan Hansen miaka 1995 alimwambia Sir Alex you cant win anything with Kid. Baada ya utd kufa 3-1 dhid ya Villa
Hapo ni baada ya SAF kuwapandisha Neville Brother,Beckham,Scholes,But and the rest ikawa history

Nyie mnaoendeleq kujificha kwenye kivuli sijui cha Experience endeleeni kujificha hapo hapo

With a right kocha tusingekuwa hapa tulipo,
Mkubali mkatae Poch sio kocha sahihi hii sio kwa mech kadhaa bali ni kwa mechi zote
 
Unataka kusema wachezaj ndio walioamua kucheza vile kwenye extratime??????

Wachezaj wanaweza kuwa na makosa yao kwq chance tulizopata ila mentality ya kocha kwenye Extratime ilikuwa awful.
Siwezi kusema ila kocha aliongelea mentality ya wachezaji kulingana na mchezo ulivyoendelea hasa kwenye dakika 15 za mwisho. Tusipindishe hapo

Lakini pia kocha anaweza kuamua kulingana na temper ya mchezo ilivyo akaona bora waende kwenye penalty. Lakini kuamua huko haizuii timu kufunga goli kwakua kocha kasema tukaze tufike kwenye penalty
 
Hakuna siku tutaenda mbele kwa mentality kama hizi. Hatuko kwenye kipindi cha Roman Abramovich tulishatoka huko ila kuna watu bado wapo huko. Unaona kabisa kocha anajitahidi kufanya kila kitu lakini kwakua binadamu tumeambwa hatukamilika hawakosekani wanaojua kuona mistakes tu.

Yan kila msimu tutakua tunaanza upya na tutabaki kujiuliza mchawi ni nani.
 
Kama unahisi Poch ni right coach, Good for You.

Poch hata akae misim 5 hapa hatoshinda kombe lolote lile kwa mbinu zake.

Squad tulio nayo na Poch ni vitu viwili tofauti hawaendani hata akae misim 5 ni yale yale
Hakuna hata mchezaji hata mmoja atakaedevelop mbele ya Poch
 
Liverpool ya leo 👇

1) No Alison (injury)
2) No Matip (injury)
3) No TAA (injury)
4) No Szobo (injury)
5) No Jones (injury)
6) No Salah (injury)
7) No Nunez (injury)
8) No Jota (injury)

Yani Timu Wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza hawakucheza na bado umeshindwa kubeba haka Kamickey Mouse Cup?

Huwa unapata wapi ujasiri wa kujiona una Timu?

👇View attachment 2916223
Game ngapi tumecheza na liver na hao wote walikuwepo Matokeo yalikuaje? Chelsea hata acheze dhidi ya nani ana shida kuu ya kuscore
 
Kama unahisi Poch ni right coach, Good for You.

Poch hata akae misim 5 hapa hatoshinda kombe lolote lile kwa mbinu zake.

Squad tulio nayo na Poch ni vitu viwili tofauti hawaendani hata akae misim 5 ni yale yale
Hakuna hata mchezaji hata mmoja atakaedevelop mbele ya Poch
Huyo jamaa ni mlevi, unapoteza muda.
 
Hakuna siku tutaenda mbele kwa mentality kama hizi. Hatuko kwenye kipindi cha Roman Abramovich tulishatoka huko ila kuna watu bado wapo huko. Unaona kabisa kocha anajitahidi kufanya kila kitu lakini kwakua binadamu tumeambwa hatukamilika hawakosekani wanaojua kuona mistakes tu.

Yan kila msimu tutakua tunaanza upya na tutabaki kujiuliza mchawi ni nani.
hizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom