Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pochettino says Chelsea played for pens: “The team felt maybe penalties would be good for us”

Southern Highland lembu Cash Money Forever
Mashabiki wamekasirika baada ya hayo maneno, kuan waliosema yeye na mke wake walikuwa wanajianda kumtetea Pochettino huko nje ila baada ya hiyo kauli akasema potelea pote, Poche hafai analeta ile mentality ya Spurs ya kutobeba makombe kwa visingizio vya hapa na pale
1708889865097.png
 
Mashabiki wamekasirika sana sio kwa kufungwa bali hiyo kaluli yake kwamba walijiandaa kwa penalties ndio maana wachezaji waliacha kucheza
Halafu kuna wapendwa hapa watasema wachezaji ndio wabovu, kumbe walipewa maelekezo ya kujiandaa kwa matuta. Mbinu za huyu mzigo ni mzigo kwa timu. Aondoke tu kiangazi hatumtaki

1708890173758.png
 
Chino wanaman fc final 6 mfululizo mnachezea kichapo , si bora muanzishe band ya rege na mlivyo timu nzima mna rasta mtapiga sana hela
Mpira umewashinda mmekua chakula ya timu za uingereza
 
2019 League Cup
2020 FA Cup
2021 FA Cup
2022 League Cup
2022 FA Cup
2024 League Cup
20240225_213243.jpeg
 
Mnyinge mnyonge haki yake mumpe. Kiukweli ambacho huwa sielewi watu wa hii forum. Sasa hivi lawama kwa Poch lakini hakuna anayesema kuhusu zile nafasi za wazi tulizopoteza.

Poch anatoa comment kuonyesha yuko nyuma ya wachezaji so ameamua kubeba lawama zote. Watu wako hapa kum mock. Zaidi ya nafasi 6 tungeweza kupata uongozi mzuri.

Tusisubiri siku tushinde ndio tuanze maneno ya kinafiki. Leo tumecheza vizuri wachezaji ndio wametuangusha japo pia wamepambana sana.
 
We lazima huwaga ni mlevi flani hivi.
 
Yote hayo ni kazi ya kocha
Wewe unajua mtaala ambao kocha anatakiwa kutumia kuwafanya wachezaji wawe capable
Yeye anaitwa Head coach na ana wasaidizi kila idara
Wanatuletea genge la wahuni utafikiri hakuwaanda wacheze mechi
Tactically Poche ni mdogo sana, Klopp kamuacha mbali sana
Kamuingiza watoto ili asisingizie squad ya umri mdogo na bado P{oche akazidiwa akili
Tukubali ili Chelsea angalau irudi kwenye heshima yake angalau ndani ya miaka mitatu, tutamuitaji kocha aliyethibitika na ikibidi aje kupewa mamlaka kamili ya wachezaji kuanzia usajili na mauzo
 
Chelsea walikosa jumla ya nafasi tano kubwa kwenye fainali ya Carabao Cup,
Leeds pekee (6 vs Salford) na Coventry (6 vs AFC Wimbledon) ndio waliokosa zaidi katika mechi moja ya Carabao Cup msimu huu.
 
Mauricio Pochettino alalamikia waamuzi wa mechi ya Chelsea na Liverpool mwezi uliopita. Awataka kesho wasirudie hivyo kama zawadi ya kumpa Klopp anapoaga Liverpool.

ana wasiwasi kuwa maafisa wa FA watakaochezesha mtanange wa Chelsea na Liverpool kesho watachukuliwa na upepo wa SENDOFF (yaani KUAGA) ya Jurgen Klopp baada ya baadhi ya maamuzi yaliyofanywa Anfield mwezi uliopita kuipendelea Liverpool.
Amesema labda kuna watu wanaotaka kusheherekea na Klopp anapoaga
"Nadhani tulipocheza dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Anfield nadhani maamuzi mengi sana...
hakuna uamuzi hata mmoja muhimu ulikuwa upande kwetu. Penalti mbili hazikutolewa. Duels, 50-50s, mara zote upendeleo ulitolewa kwa rangi nyingine (yaani nyekundu) - mara zote nyekundu. Nataka kuwa kutendewa kwa haki."
"Walikuwa bora kuliko sisi [Anfield], bila shaka. Lakini uamuzi wa kwanza baada ya dakika tano ulikuwa penalti ya wazi. Kipindi cha pili ilikuwa penalti, Nkunku. Sisi ni Chelsea na tunahitaji kushindana na zana sawa." [telegraph]

Kwa maoni yangu niko na Poche kwa 80%
Mkwara kabla ya mechi ni muhimu
Japo hatukucheza vizuri ila waamuzi walitoa maamuzi ya upendeleo kwa Liverpool na ikijirudia tena kesho itaharibu hiyo fainali

View attachment 2914505
 
Mashabiki wamekasirika sana sio kwa kufungwa bali hiyo kaluli yake kwamba walijiandaa kwa penalties ndio maana wachezaji waliacha kucheza
Halafu kuna wapendwa hapa watasema wachezaji ndio wabovu, kumbe walipewa maelekezo ya kujiandaa kwa matuta. Mbinu za huyu mzigo ni mzigo kwa timu. Aondoke tu kiangazi hatumtaki

View attachment 2916429
Acha makasiriko wanafunzi nao ni viraza
 
Mnyinge mnyonge haki yake mumpe. Kiukweli ambacho huwa sielewi watu wa hii forum. Sasa hivi lawama kwa Poch lakini hakuna anayesema kuhusu zile nafasi za wazi tulizopoteza.

Poch anatoa comment kuonyesha yuko nyuma ya wachezaji so ameamua kubeba lawama zote. Watu wako hapa kum mock. Zaidi ya nafasi 6 tungeweza kupata uongozi mzuri.

Tusisubiri siku tushinde ndio tuanze maneno ya kinafiki. Leo tumecheza vizuri wachezaji ndio wametuangusha japo pia wamepambana sana.
Kweli ndio maana nasema kuna wakati mwalimu hana lawama zaidi ya wachezaji wake
 
Weka na majeruhi wa Chelsea

Ni wewe ndiye unapaswa kutoa Taarifa za kikosi chako cha Chelsea.

Mimi nimekuekea Wachezaji 8 wa uhakika wanaocheza kikosi cha kwanza cha LiverpoolFC ambao ni Majeruhi.

Na wewe niwekee Idadi ya Wachezaji wa Chelsea wanaocheza kwa uhakika kikosi cha kwanza ambao ni Majeruhi.
 
We lazima huwaga ni mlevi flani hivi.
Uko sahihi mdogo wangu. Mimi ni mlevi wa mpira, nimeucheza mpaka ngazi ya mkoa na ni mshabiki haswa wa Chelsea. Nakusgauri na wewe katibu huo ugonjwa wa mental health.

Usini attack mimi, jibu hoja yangu.
 
Yote hayo ni kazi ya kocha
Wewe unajua mtaala ambao kocha anatakiwa kutumia kuwafanya wachezaji wawe capable
Yeye anaitwa Head coach na ana wasaidizi kila idara
Wanatuletea genge la wahuni utafikiri hakuwaanda wacheze mechi
Tactically Poche ni mdogo sana, Klopp kamuacha mbali sana
Kamuingiza watoto ili asisingizie squad ya umri mdogo na bado P{oche akazidiwa akili
Tukubali ili Chelsea angalau irudi kwenye heshima yake angalau ndani ya miaka mitatu, tutamuitaji kocha aliyethibitika na ikibidi aje kupewa mamlaka kamili ya wachezaji kuanzia usajili na mauzo
Kocha gani anayefundisha wachezaji wakifika golini wapige visigino? Tumetengeza clear chances ngap na bado tukashindwa kuzitumia?

Hebu tuache haya mambo ya kukumbatia wachezaji tuseme tu jana wametufelisha wao kwa asilimia kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom