juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Poleni sana The Blues
Hata hivyo tuwapongeze wachezaji na kocha wamejitahidi
Mimi sina lawama kwa wachezaji au kocha
Ila safari bado ni ndefu sana ili kuja kupata timu iliyotulia na inayoweza kushindania makombe
Pamoja na kwamba Pochettino
Lawama zipo mkuu hasa hasa kwenye Extra Time hakuna chochote tulichocheza yani nikama tulikiwa tunajilinda na kusubir counter au twende penaltPoleni sana The Blues
Hata hivyo tuwapongeze wachezaji na kocha wamejitahidi
Mimi sina lawama kwa wachezaji au kocha
Ila safari bado ni ndefu sana ili kuja kupata timu iliyotulia na inayoweza kushindania makombe
Pamoja na kwamba Pochettino anajitahidi ila bado nasema sio kocha wa kutupeleka kwenye nchi ya AHADI
Bado hujasema kenge wewe!Hawa watoto chenga sana ,hii mechi ilikuwa ya kushinda mapema sana
Chances tulizokosa ni nyingi mno kuliko walizotengeneza Liverpool
Ujinga huu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Mkuuu hakuna kujificha kwenye kichaka eti majeruhi hapana Chelsea ina wachezaji wa bovu sana kuna wakati naona hata poche ni mwalimu mzuri tu ila wachezaji ndio wa hovyo sana tena sanaWeka na majeruhi wa Chelsea
Kwangu mpe poche nampa created kabisa ila wachezaji hauna ntka taka hata hivyo poche anajitahid ssa mwalimu akufundishe ukifika goline funga hivyWale wazee wa kujificha kwenye kivuli cha Experience sijui mtaendelea kujificha kwenye hicho hicho kivuli cha Experience
Under 21 ya liver imetutoa jasho🤣🤣🤣 na tukapigwa juu
Mfano hao watoto wa Klop wa miaka 18 na 19 waliingia na bado wakatimiza wajibu waliopewa“Kuna kocha unaona anacheza na vitoto vya shule lakini unaona nini wanajaribu kufanya uwanjani , the core principles of their game ipo vile vile , Kocha hajasiliti anachoamini in the name of " Positive results " alikuwa tayari kufungwa in his own way . Then kuna wengine sasa 😀😀”
By George Ambangile
Poche hawezi hata mkimpa hii timu katika ubora waoMkuuu hakuna kujificha kwenye kichaka eti majeruhi hapana Chelsea ina wachezaji wa bovu sana kuna wakati naona hata poche ni mwalimu mzuri tu ila wachezaji ndio wa hovyo sana tena sana