Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Daah inauma aseeh
Kwani mmeshinda?aunani kafungwa
TV yangu inanidanganya?Congratulations haijaingia kwenye penalties kwa kweli Chelsea imekufa tayari imebaki jina hadi today game easy kama hii mmefungwa?Liverpool wamezidiwa dakika za mwishoni
Wachezaji wao muhimu walichoka wakatolewa
Hawa makinda walioingia tushindwe tu wenyewe
Ningetamani hili gemu lisiingie kwenye matuta
Dua zako zimejibiwaLiverpool wamezidiwa dakika za mwishoni
Wachezaji wao muhimu walichoka wakatolewa
Hawa makinda walioingia tushindwe tu wenyewe
Ningetamani hili gemu lisiingie kwenye matuta
Nakuja kubeba ndoo mbele yako na hauta amini. Mnataka kuleta mazoea sasa.
Ila ndugu umepotea sana
Leo Chelsea tunaenda kumaliza unyonge kwa hawa majogoo. Na hawataamini
Hata mimi ningeshangaa kama ungeshindwa kubeba kwa Chelsea hiiLiverpool ya leo 👇
1) No Alison (injury)
2) No Matip (injury)
3) No TAA (injury)
4) No Szobo (injury)
5) No Jones (injury)
6) No Salah (injury)
7) No Nunez (injury)
8) No Jota (injury)
Yani Timu Wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza hawakucheza na bado umeshindwa kubeba haka Kamickey Mouse Cup?
Huwa unapata wapi ujasiri wa kujiona una Timu?
👇View attachment 2916223
Congratulations haijaingia kwenye penalties kwa kweli Chelsea imekufa tayari imebaki jina hadi today game easy kama hii mmefungwa?
Weka na majeruhi wa ChelseaLiverpool ya leo 👇