Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

No offense, but you have an average thinking mind.
nikushauri tu acha ulevi wa pombe zisizopimwa. Utakuja kunishukuru badae.

Unatuletea mada zako za kilevi hapa, we kwa akili zako timamu unaona kuna kocha mule, chelsea imecheza na vitoto vy vinavyovaa pampas then unasema walijitahid?? Kwa kuomba muda uishe waende penalties au?

Uachage kunywa matap tap ili uongee vitu vyenye maana mbele za watu.
 
hizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
Nadhani hujatafakari kabla ya kuandika hii comment yako. Sarri wakati anakuja Chelsea alikua hajashinda kombe lolote akiwa kocha. Lakini silaha yake kumbwa ilikua kina Hazard, Kante, Jorginho n.k
 
hizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
Huyo mnywa ulanzi atakusumbua akili.
 
Kaisedo anakaba, Enzo anachezesha timu

Wameishia kua wapiga nyeto tu 😂😂😂

Enzo akiweza kuruka hivi akishuka chini kama hajavunja kiuno basi mgongo umekatika pingiri zake
20240225_161306.jpg
 
Kwanza mnalialia nini kombe lenyewe la mbuzi sisi tumeshinda jana usiku huo huo tukasahu
Hujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.

Kosi la bilion 1000 likapak basi dhidi ya vitoto ili kungoja matuta. Nyie nyie kuna makocha ni wehu.
 
Kocha gani anayefundisha wachezaji wakifika golini wapige visigino? Tumetengeza clear chances ngap na bado tukashindwa kuzitumia?

Hebu tuache haya mambo ya kukumbatia wachezaji tuseme tu jana wametufelisha wao kwa asilimia kubwa.
Kama ningekuwa Pochettino sitawahi kucheka au kuwalinda wachezaji wanaokosa nafasi za rahisi kama hizi. Nitawakemea tu na kuwaacha benchi kwa baadhi ya michezo nyingi tu ili wajifunze
Tofauti sasa yeye anacheka nao tu na kuwatetea kwenye media

Tunakubali sio failure zote tumlaumu Poche, lakini yeye ndie boss, sisi mashabiki tunamtazama yeye arekebishe kama kashindwa asepe, kwani lugha gani ngumu hapo, au sisi mashabiki ndio tukawachape hao watoto viboko? hapana

Mfano miaka miwili iliyopita tu Mudryk alikuwa na mchezaji bora wa Ukraine. Alikuwa anakiwasha sana kule Shakhtar Donetsk. Yuko wapi sasa hivi.


 
Unataka kusema wachezaj ndio walioamua kucheza vile kwenye extratime??????

Wachezaj wanaweza kuwa na makosa yao kwq chance tulizopata ila mentality ya kocha kwenye Extratime ilikuwa awful.
Hata hizo chances walizokosa, baadaye akikutana nao anawachekea chekea na kuwalinda, Stupid kocha. PEP na Arteta vitu kama hizo anawatukana kabisa wachezaji huwezi kusikia sehemu akiwatetea au kuwalinda wajinga kama hao
 
Kama unahisi Poch ni right coach, Good for You.

Poch hata akae misim 5 hapa hatoshinda kombe lolote lile kwa mbinu zake.

Squad tulio nayo na Poch ni vitu viwili tofauti hawaendani hata akae misim 5 ni yale yale
Hakuna hata mchezaji hata mmoja atakaedevelop mbele ya Poch
Mashabiki wote wa mediocre team wanakuwa na mentality kama hizi za kumtetea kocha hata kama hafai ni mbovu
Sisi tulikujaga Chelsea kwa ajili ya kupata raha ya kushinda na kubeba makombe
Na hii ndio inatofautisha mashabiki wa timu kubwa na wale wa mediocre team
 
hizi ni akili za kipuuzi jamaa yangu, huyu poch alishawahi kushinda kombe lolote la maana huko alikokuwa??? jana angekuwepo kocha yeyote mwenye kombe lolote tungeshinda jana, hamna kocha hapa.
Usiende mbali, angekuwa Mou ile game jana kwa namna yeyote asingekubali kushindwa
Tatizo la Pochettino watu hawamjui, yule ni wa kabila la kule pwani sitataja kwa sababu nisiwe mbaguzi hapa ila wale jamaa wa pwani wakisha kuwa na zile minazi mirefu basi wanaridhika na maisha hata juhudi za maendleo hawana tena
Huyu pochettinmo ukimfuatilia zaidi anatoka huko pwani kule Argentina na kwao wanapanda minazi tu
 
Lakini nina uhakika iwe chini ya Pochettino au kocha mwingine, hizi kosakosa zitaanza kulipa siku moja na itakapoanza kulipa itakuwa endelevu kwa misimu mingi.

 

Chelsea fc ya TODDY ni Project UCHWARA na KITAPELI.
A coacher who lost league one with Messi, Mbape, Neymar, Verati ndio mmemchukua ili aje awapatie makombe na kina Kukulea na Wacko Jacko
Fukuzeni hiyo Kenge haraka sana kabla haijawashusha daraja.
Pochettino ni kama Arteta tu sio makocha wa makombe ata ipite miaka 10, sana sana mtaambulia kupigapiga chenga, akibahatisha mnaweza kuambulia vikombe viwili vitatu vya Carabao, FA na ngao ya jamii.
Kama vipi tupeni pesa tuwapatie professional coach Professor Sir Erick Ten Hag ila kama hamna pesa ya maana tunaweza kuwapeni hata kwa mkopo, mkishindwa tafuteni hata kocha yoyote wenye Rasta halafu mtakuja kunishukuru baadae
 

Attachments

  • tapatalk_1353227165_720x711.jpeg
    tapatalk_1353227165_720x711.jpeg
    182.5 KB · Views: 8
Hujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.

Kosi la bilion 1000 likapak basi dhidi ya vitoto ili kungoja matuta. Nyie nyie kuna makocha ni wehu.
Huwa network inakata kichwani kwako halafu inarudi...Mudryk mtu sana yule🤠🤠🤠...jipangeni msimu ujao wachezaji watakuwa wameshazoeana na mtaanza ku click....shida yenu mmezoea vya harakaharaka ambavyo kwa Sasa ni vigumu kuvipata....hyo Era imeshapita
 
Huwa network inakata kichwani kwako halafu inarudi...Mudryk mtu sana yule🤠🤠🤠...jipangeni msimu ujao wachezaji watakuwa wameshazoeana na mtaanza ku click....shida yenu mmezoea vya harakaharaka ambavyo kwa Sasa ni vigumu kuvipata....hyo Era imeshapita
Sawq mkuu watu sio kwamba tunaharaka bali ni ile improvement difference ya msim uliopita na huu ni ipi???

Area ipi tumeimprove na Area ipi tumekuwa solid??

Je pale plan A inapokwama Plan B/C ni ipi?

Saww Wamiliki na Sporting Director wanamakosa

Je Poch ni mtu sahihi? Kukabiliana n Arsenal,City,Liverpool, United ya msim ujao????

Jiulize why against low block team tunatesekan sana msim huu.

Inshort utampa Kocha mda pale mwelekeo unapokuwepo ila kama hakuna mwelekeo ni kazi bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom