IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,754
- 7,129
Nkunku tayari uko Injury mpya
Mkuu mm nnavyoiangalia Chelsea naona kabisa kuna muelekeo mzuri sana...hvi wanavyocheza hii style wanahutaji Clinical finishers tu na mabeki wenye roho mbaya basi...fukuza Sterling...fukuza Mudryk yule mmepigwa...fukuza Jackson...halafu tafuta mbadala wa hao watatu....hakyanani hamtajuta...Gallagher naye muonesheni mlango wa kutoka...anawachelewesha....ila style ya uchezaji mko perfect kabisa....mpk Sasa sijaona timu kubwa mlokutana nayo ikawa outplay kabisa...labda ile game ya Liver Anfield...kwhyo mwanga upo kabisa...Arsenal, Chelsea Man City msimu ujao ndo zitafukuzana pale juu...Manunu na Liverkuku sioni wakifanya lolote msimu ujaoSawq mkuu watu sio kwamba tunaharaka bali ni ile improvement difference ya msim uliopita na huu ni ipi???
Area ipi tumeimprove na Area ipi tumekuwa solid??
Je pale plan A inapokwama Plan B/C ni ipi?
Saww Wamiliki na Sporting Director wanamakosa
Je Poch ni mtu sahihi? Kukabiliana n Arsenal,City,Liverpool, United ya msim ujao????
Jiulize why against low block team tunatesekan sana msim huu.
Inshort utampa Kocha mda pale mwelekeo unapokuwepo ila kama hakuna mwelekeo ni kazi bure.
Kijana muddy tumemnunua kwa ajili ya kazi moja tu basii, kuwafunga kondoo.Huwa network inakata kichwani kwako halafu inarudi...Mudryk mtu sana yule🤠🤠🤠...jipangeni msimu ujao wachezaji watakuwa wameshazoeana na mtaanza ku click....shida yenu mmezoea vya harakaharaka ambavyo kwa Sasa ni vigumu kuvipata....hyo Era imeshapita
mZimu wa mudryk hautokaa ukawaacha salama.Mkuu mm nnavyoiangalia Chelsea naona kabisa kuna muelekeo mzuri sana...hvi wanavyocheza hii style wanahutaji Clinical finishers tu na mabeki wenye roho mbaya basi...fukuza Sterling...fukuza Mudryk yule mmepigwa...fukuza Jackson...halafu tafuta mbadala wa hao watatu....hakyanani hamtajuta...Gallagher naye muonesheni mlango wa kutoka...anawachelewesha....ila style ya uchezaji mko perfect kabisa....mpk Sasa sijaona timu kubwa mlokutana nayo ikawa outplay kabisa...labda ile game ya Liver Anfield...kwhyo mwanga upo kabisa...Arsenal, Chelsea Man City msimu ujao ndo zitafukuzana pale juu...Manunu na Liverkuku sioni wakifanya lolote msimu ujao
🤣🤣🤣🤣...alitufunga halafu mkaenda wapi...si mnakunjana mashati na kina Brighton huko chinimZimu wa mudryk hautokaa ukawaacha salama.
Halafu mwisho wa msimu mimi na wewe wote tunatoka kapa.😂😂😂🤣🤣🤣🤣...alitufunga halafu mkaenda wapi...si mnakunjana mashati na kina Brighton huko chini
Nani kakuambia hayo🤠🤠...ngoja msimu uishe halafu tuje hapa tuulizaneHalafu mwisho wa msimu mimi na wewe wote tunatoka kapa.😂😂😂
Nadhani hujatafakari kabla ya kuandika hii comment yako. Sarri wakati anakuja Chelsea alikua hajashinda kombe lolote akiwa kocha. Lakini silaha yake kumbwa ilikua kina Hazard, Kante, Jorginho n.k
Chelsea fc chini ya TODDY ni Project UCHWARA na KITAPELI.Mkuu inabidi tuishi nao tu ivyoivyoKweli sikuhizi watoto wamekosa nidhamu yani wanakutukana mpaka wewe Mkongwe hapa kisa tu wameanza kuipenda Chelsea ya Thomas Tuchel iliyobeba UCL?