Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,267
Ndg umesema leo kuwa wachezaji hawafuati maelekezo ya kocha, what is the different, unabisha hadi unajibishia mwenyeweMsiwe mnabishana kushindana muwe mnaelewa kwanza ndio. Hiyo notion unayoisema aliisema mwenzako kwamba wachezaji wanajiamulia wenyewe bila kufuata maagizo ya kocha hapo ndipo mimi nikaanza kumbishia. Nashangaa mmejikusanya kunishambulia kama vile mimi ndio nimeiamzisha.
Kaeni mjadiliane muumalize huo mgogoro.
Hiyo burudai ikikosekana ni chuki kama kuna kocha kakaa pale anazuia hiyo burudani. Tulizoea kubeba makombe, hii hali ya kusuburi miaka 30 kama Liverpool na Arsenal hatuiowezi wanaoweza ni wale The Blues wa before 2005Mashabiki wa THE BLUES tuna matatizo sana, timu ikifanya vizuri inakoselewa, timu ikifungwa inakoselewa (CHUKI CHUKI KWA KILA KITU).
Mpira ni burudani, ushabiki ni burudani hakuna haja ya ushabiki wa CHUKI na uchambuzi wa CHUKI. Mpira ni furaha
Ndio maana binafsi nachambua mpira kiburudani, natoa comments za burudani, utani wa hapa na pale sote tufurahi maisha yasonge mbele.
Ndio wote tunafahamu nyakati ngumu THE BLUES tunapitia sio kigezo cha kueneza CHUKI miongoni mwetu na timu yetu.
Mashabiki watoto wa dot-com hamtaki tabu kabisa [emoji23]Hiyo burudai ikikosekana ni chuki kama kuna kocha kakaa pale anazuia hiyo burudani. Tulizoea kubeba makombe, hii hali ya kusuburi miaka 30 kama Liverpool na Arsenal hatuiowezi wanaoweza ni wale The Blues wa before 2005
Kuwa tu mkweli kuwa Ostaz Lembu ana matatizo sana😂😂Mashabiki wa THE BLUES tuna matatizo sana, timu ikifanya vizuri inakoselewa, timu ikifungwa inakoselewa (CHUKI CHUKI KWA KILA KITU).
Mpira ni burudani, ushabiki ni burudani hakuna haja ya ushabiki wa CHUKI na uchambuzi wa CHUKI. Mpira ni furaha
Ndio maana binafsi nachambua mpira kiburudani, natoa comments za burudani, utani wa hapa na pale sote tufurahi maisha yasonge mbele.
Ndio wote tunafahamu nyakati ngumu THE BLUES tunapitia sio kigezo cha kueneza CHUKI miongoni mwetu na timu yetu.
CHUKI haisaidii kwa sasa, nyakati zimebadilika ile THE BLUES ya makombe haipo tena nyakati hizi. Hili nenda nalo kichwani.Hiyo burudai ikikosekana ni chuki kama kuna kocha kakaa pale anazuia hiyo burudani. Tulizoea kubeba makombe, hii hali ya kusuburi miaka 30 kama Liverpool na Arsenal hatuiowezi wanaoweza ni wale The Blues wa before 2005
Wanadhani CITY kuchukua EPL back to back ni jambo la mchezo, Liver na ubora wake wote chini ya Klop amechukua EPL 1 tuu, sembuse hii THE BLUES inayotimua timua makocha na kuleta makocha vilaza na wachezaji mazagazaga.Timu ina stress
Hata ikishinda haina furaha
Akiyanani
Aliyewaroga alishakufa
Wanadhani CITY kuchukua EPL back to back ni jambo la mchezo, Liver na ubora wake wote chini ya Klop amechukua EPL 1 tuu, sembuse hii THE BLUES inayotimua timua makocha na kuleta makocha vilaza na wachezaji mazagazaga.
THE BLUES Tuacheni utani tujipange.
Am too old for this. Kwamba ninakusingizia hukuwahi kusema hivyo?
Mashabiki wenzangu wa THE BLUES hawana uvumilivu na hawaeleweki.Mnataka kocha aje na kuanza kubeba tu vikombe
Hamna uvumilivu kabisa wa kumpa mtu muda
Mlijikoroga tu mlivyomfukuza TT
Yule ndo alikuwa kocha sasa anayewafaa.
POchetino lazima atafukuzwa tu ni swala la muda. Ila tukubali tukatae baadhi ya wachezaji nao ni janga
Mkuu kwenye hili swala nadhani hatujaelewana mlengo wetu. Hakuna sehemu nilisema Poche ni perfect 100% ana mapungufu yake lakini ambacho mimi nawakatalia mnaaamini Poch peke yake ndio tatizo, hapo ndio tunapopishana tu. Tuna wachezaji average na hawana mapenzi na timu ndio wanatufelisha pakubwa. Lakini mwisho wa siku kocha ndio atatupiwa lawama tu.
Kuhusu sababu za kocha kutimuliwa miaka yote ndio hizohizo kwenye club zote. Tuchel watasema hakuelewana na mabosi lakini ilianza kusemwa namna ya uchezaji na mifumo imebadilika.
Sub alizofanya ndio zimeenda kubadilisha muundo au unahis wachezaj huwa wanaweka muundo wao wenyewe kama maelezo ha Kocha
Nilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandikaNdg umesema leo kuwa wachezaji hawafuati maelekezo ya kocha, what is the different, unabisha hadi unajibishia mwenyewe
Nilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandika
Point yangu ilikua inamaanisha wakati mwingine coach analaumiwa kwa makosa ya wachezaji
Kwamba unataka kusema wachezaj ndio wanaoamua kucheza hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kama wanaamua kucheza hivyo basi mpaka sasa hiv poch asingekuwepo hapo maana wachezaj hawamtaki mpaka wanaamua kucheza watakavyo.
If wachezaji wangekuwa wanacheza wanavyotaka basi hata second half wasingebadilika mkuu
SAsa ninaposema wakati mwingine wachezaji nao wanachangia muwe waelewa. Sina hakika kama Poch anafundisha kumiliki mpira kwa asilimia 79 halafu awafundishe na kupiga off target.
Kipochi mitano ✊ tena😂Mashabiki wenzangu wa THE BLUES hawana uvumilivu na hawaeleweki.
TT kabeba makombe makubwa ndani ya miezi 3 still alikuwa anapondwa hapa hatare.
Sasa tumepata kiboko yetu anaitwa TODDY, hata tuponde, tutukane, tususe, TODDY anamwambia Poche kibarua chako kiko salama piga kazi kocha wangu na nikikufukuza nawaletea kocha kutoka MLS nataka timu iwe na swaga za kimarekani