Yule kocha hamna kitu. PSG na Spurs hazikua na U25 wala average playersDah ,Chelsea Wana matatizo mengi
Wanakosa maturity players
Wanasajili vitoto vya U25 vingi
Wana average players wengi kama Caicedo,Enzo wanahitaji maturity kubwa , lasivyo watazidiwa uwezo hata na kina Rose Barkley
nabaki kucheka tu.
