Timu inacheza kama imekutana road, hakuna game plan, wanapoteza mipira hovyo...Ila Chelsea ni viazi sana basi tu yani
Jamaa wapuuzi kweli,hawapo serious.Hata kupiga pasi chelsea hawawezi.....hata pasi tano hamfikishi...wachezaji w paund 100m.....shame on you
Pita tuHodi humu ndani... MI mgeni, ILA na pita tu
Katika madirisha yajayo kama moja au mili kuna wachezaji wataomba kuhama kama uongozi utaendlea na huu mradi wa muda mrefu
Zoezi la kuwaleta wachezaji wazoefu liendane na kumleta kocha mwenye akili, aliyethibitika kuwa na akili ya soka
- Enzo Fernandez
- Reece James
- Cole Palmer
- Christopher Nkunku
- Maikhailo Mudryk
- NK










Hillo goli aliwapa refa na VAR, Fould alitendewa mchezaji aliyetakiwa kwenda kukabaYaani katoto kadogo ka miaka 20 kamewafundisha soka, kanapanda mbele kanavyojisikia.
Jumapili wakapange tena na Martinel tuwamalize mapema.