Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pochettino points out that Villa played Saturday and we played on Sunday.

Msitegemee hiyo kesho huyu angekuta team inacheza UCL au Ueropa situngekuwa tunashika mkia
Tatizo la Poche linazidi kuwekwa wazi
Hayuko compitent kwenye eneo lolote
  1. Poor comunication skills
  2. Pooor coaching sklills
  3. Poor in tactical perspectives
  4. Poor in balancing the team
  5. Poor in player development
  6. Poor in public addressing
  7. Anaweza kuwa hovyo kuliko hata Potter
Press conference ya leo ni ya hovyo kuliko yote
Kumbuka tunacheza na Villa nyumbani kwake na katoa press conference ya kukatisha tamaa
 
Ripoti zinasema wachezaji wa Chelsea wana misimamo tofauti kuhusu mbinu na mazoezi ya Pochettino
 
1707246099259.png
 
Pat Nevin:

"Je, ununuzi wa wachezaji, aina ya wachezaji unaowapata, mpango mzima, umekuwa mpango mzuri?

Huyu ni meneja wa tatu [wamemteua], ikiwa utamjumuisha Frank Lampard pia, na hakuna hata mmoja hadi sasa ambaye amefikia na ameweza kupata tuni ya wimbo wa kawaida kutoka kwa timu hiyo.

Timu nyingi zina mfumo, mbinu, maadili, unajua zinahusu nini. Unaitazama Chelsea na wanaonekana kama timu iliyojengwa kwa kanuni."

@BBCSport
 
Tatizo la Poche linazidi kuwekwa wazi
Hayuko compuitent kwenye eneo lolote
  1. Poor comunication skills
  2. Pooor coaching sklills
  3. Poor in tactical perspectives
  4. Poor in balancing the team
  5. Poor in player development
  6. Poor in public addressing
  7. Anaweza kuwa hovyo kuliko hata Potter
Press conference ya leo ni ya hovyo kuliko yote
Kumbuka tunacheza na Villa nyumbani kwake na katoa press conference ya kukatisha tamaa
Ingependeza mkatuwekea maneno aliyosema leo
 
Kayasema wapi haya?
Press conference ya leo, kachapia kweli na source za karibu zinadai kuwa kasifia sana hiyo Press conference. Huyu kocha ni mwehu. Anatanguliza sasa visingizio ili kesho tukidundwa yeye kapoa zake tu
 
Pochettino:
“I told the players today in the meeting that I trust in you more than ever. I will support you more than ever”. “I am not a normal boss, I am the leader”.“I need to reflect in every action that I really trust”.


Pochettino:
“Niliwaambia wachezaji leo kwenye mkutano kwamba ninawaamini zaidi kuliko hapo awali. Nitakuunga mkono kuliko wakati mwingine wowote”.

"Mimi sio bosi wa kawaida, mimi ni kiongozi".

"Ninahitaji kutafakari katika kila kitendo ambacho ninakiamini sana".
1707252728176.png
 
Pochettino: “I received a very good text after the game against Wolves from the owners. We’re all together in this!”.

Pochettino: “Nilipokea ujumbe mzuri sana wa maandishi baada ya mchezo dhidi ya Wolves kutoka kwa wamiliki. Tuko pamoja katika hili!”
 
Press conference ya leo, kachapia kweli na source za karibu zinadai kuwa kasifia sana hiyo Press conference. Huyu kocha ni mwehu. Anatanguliza sasa visingizio ili kesho tukidundwa yeye kapoa zake tu
Mkuu naamini wewe ni smart kuliko hivi unavyofanya, acha kuendeshwa na hisia binafsi
 
Poch must go
Poch must go


Poch out
Poch out

Leo aston vila 5 vs Chelsea 1

I like this to happen

Poch must go
 
FA Cup Replay
Kikosi kinachoanza leo
Petrovic
Gusto Disasi Badiashil Chilwel
Galagher Caicedo Enzo
Madueke Palmer Jackson
 
Jackson kwenye LW anampita Sterling mara 5

1 Jackson = 5 Sterling
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom