Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 721
- 1,316
Kila siku tunasisitizwa tuwe na akiba ya maneno hatusikii. Na sio huyu tu wapo wengi waliobeza
Kila siku tunasisitizwa tuwe na akiba ya maneno hatusikii. Na sio huyu tu wapo wengi waliobeza
Wakuu matatizo ya Chelsea ni makubwa kuliko kocha.Ushindi wa jana, Usitufumbe macho kwa kuhisi Poch ni mzuri,
Sawa Jana tumecheza vizuri ila haitoshi kusema kuwa Poch aendelee kuwa kocha wetu.
Natumai mwisho wa msim watamuondoa tu
Poch hafai kuwa kocha wetu.
Hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa. Haya tuambie na wewe Caicedo ni namba ngapi?Angalia
=>timu inakosa balance kwa sababu hatuna namba 6,
Yan hafai na jana tulishinda kwa uwezo wa wachezaji. No coaching efforts at allUshindi wa jana, Usitufumbe macho kwa kuhisi Poch ni mzuri,
Sawa Jana tumecheza vizuri ila haitoshi kusema kuwa Poch aendelee kuwa kocha wetu.
Natumai mwisho wa msim watamuondoa tu
Poch hafai kuwa kocha wetu.
Ushindi wa jana sio kwamba Pochettino kabadilika, huwa anacheza vizuri mechi hii zitafuata zingine hovyo kwa saba bu sio tactical menmeja, akijaribu kufanya changes daima anaharibuUshindi wa jana, Usitufumbe macho kwa kuhisi Poch ni mzuri,
Sawa Jana tumecheza vizuri ila haitoshi kusema kuwa Poch aendelee kuwa kocha wetu.
Natumai mwisho wa msim watamuondoa tu
Poch hafai kuwa kocha wetu.
Ndg hauko kwenye uhalisiaWakuu matatizo ya Chelsea ni makubwa kuliko kocha.
Angalia
=>timu inakosa balance kwa sababu hatuna namba 6,
=>hatuna clinical striker,
=>Thiago is running out of energy na hatuna right substitution akiondoka,
=>Hakuna viongozi pale uwanjani kariba ya Lampard, Drogba, Terry, Peter Chec kwa kutaja wachache.
=> Wachezaji wengi wameanza kucheza pamoja kwa msimu wa kwanza sasa.
=>Watu waliosajiliwa kwa ajili ya kucheza first team wameshindwa kudeliver sababu ya kuumia kwa muda mrefu na wale tegemeo wamekuwa injured.(Nkunku, Lavia, James, Chilwel, Fofana)
=>Kocha amewakuta wachezaji hawa wote siyo yeye aliyewasajiri.
=> Wachezaji ni wadogo kiumri na wana little to no experience.
Sioni kocha wa kuja kuderiver akiwa na wachezaji wachanga kiumri na kiakili namna hii kama tulionao Chelsea. Iangalie Madrid ina watoto ila kuna killer/leaders and experienced players kama Rudiger, Mendy, Modric, Kroos, Courtois.
Sisi Chelse matajiri wameanza project kwa kuwaondoa experienced figures zote na kwa sababu ya matatizo ya Urusi wachezaji kama Chritensen, Rudiger walituacha baada ya mikataba yao kuisha.
Kwa hiyo sasa mimi naamini bila kudeal deeply na matatizo ya timu yetu hatutaimarika. Na kwa kuwa wachezaji wetu ni wadogo kiumri, tunavyowaongezea presha ndipo tunazidi kuwaua kabisa.
We are no longer the same Chelsea of Abramicich, let's stop living in fantasy
Wewe umeng'ang'ana na Caicedo sio namba 6 natural. DM natural wako wachache sana, viungo wengi wa kileo ni box to boxHapa ndipo ninaposhindwa kuelewa. Haya tuambie na wewe Caicedo ni namba ngapi?
Ninachopinga hapa ni taswira mnayomtetea Caicedo kuwa sio mkabaji, wakati kipindi cha usajili mlikua mkichuana na Liverpool kusajili kiungo mkabaji.Wewe umeng'ang'ana na Caicedo sio namba 6 natural. DM natural wako wachache sana, viungo wengi wa kileo ni box to box
Hapo Chelsea tunao weng
May be Lavia sijaona kiundani uchezaji wake
- Galagher box2box
- Enzo box2box
- Caicedo ni box2box
Leslye naye anaonekana kuwa ni box2box
Caicedo ni DMWewe umeng'ang'ana na Caicedo sio namba 6 natural. DM natural wako wachache sana, viungo wengi wa kileo ni box to box
Hapo Chelsea tunao weng
May be Lavia sijaona kiundani uchezaji wake
- Galagher box2box
- Enzo box2box
- Caicedo ni box2box
Leslye naye anaonekana kuwa ni box2box
Hizi ni record kabla ya mechi ya jana. Mmoja alikua na Koulibaly, Kovacic, Jorginho na Azpilicueta.
Pressure ni kubwa sana aseeh, mvua zimekata jua limewaka.
Caisedo anachezeshwa namba 6 ili siyo nafasi anayoimudu. Namba sita halisia ni mchezaji kama Rice au Rodri.Hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa. Haya tuambie na wewe Caicedo ni namba ngapi?