Tumuachie Mungu atalipa


Chelsea ya Poch ni sawa na wale wadada wa baikoko wanaovaa dera na kulichomekea kwenye kyupi.😂😂😂😂😂😂Sema hatuna Kocha team ipo sema tuna bumunda limekaa pale halijui lifanye nini, linahisi mpira ni kukimbia tu
Nimerudi baada ya likizo ya mda kutokana wale vijana wa tetaball kunichani mikeka yangu🤠🤠...una ujinga mwingi sana kaka....Sasa hzi bikini zenye nembo ya watoto wa London unazipost hmu kutokana na matokeo yqo..hii ni sign ya disrespectChelsea ya Poch ni sawa na wale wadada wa baikoko wanaovaa dera na kulichomekea kwenye kyupi.
Ndugu yangu Cash Money Forever chelthii ikicheza mashabiki wake hua mnafanyaje? View attachment 2890582
Leo tunatakiwa kukaza tupate point 3 palepale Anfield ili tukikutana nao fainali waje na hasira tuwakande vizuri tena.
Daah ila kwa Broja na kina Madueke tuombe waamke vizuri leo
Caisedo ni takataka




Klopp ameshaaga anaondoka EPL, FA wamepanga kumzawadia kombe la kwaheri.
Leo tunatakiwa kukaza tupate point 3 palepale Anfield ili tukikutana nao fainali waje na hasira tuwakande vizuri tena.
Daah ila kwa Broja na kina Madueke tuombe waamke vizuri leo
Chelsea’s last 7 away games:
Liverpool 4-1 Chelsea (still counting)
Middlesbrough 1-0 Chelsea
Luton 2-3 Chelsea
Wolves 2-1 Chelsea
Everton 2-0 Chelsea
Man Utd 2-1 Chelsea
Newcastle 4-1 Chelsea
Komea hapo hapo, hakuna aliyemsifu huyu kichwa majiMzunguko wa kwanza mmecheza game nyingi za big 6 mkiwa home (vs Liverpool, Arsenal na City) na hizo mechi zote mlisuluhu (1-1, 2-2 na 4-4), mkawa mnamsifu sana Pochetino kwa mpira mliocheza..
Sisi kama wapenzi wa soka tukawaambia mpira siku hizi kuna home advantage, kwa maana mlipaswa kutumia home ground vizuri mpate ushindi. Nyie mkaona tunawaingilia na baadhi yenu mkathubutu kusema kuwa "Hao Liverpool, Arsenal na City tutawafunga huko huko kwao!"
Yalotokea ndio kama hivyo jana. Sasa niwaambie tu, mkija Emirates mnakula 3-0, mkienda Etihad mtachagua mle chuma 4 au 5.
Huwezi kublame mchezaji mwenye trend ya kucheza vizuri ambaye naye ni muadhirika wa kuwepo kwenye mikono ya kocha asiye na mbinu za mpira. Tumlete kwanza kocha mzuri then tutajua matakata na maflops ni akina naniCaisedo ni takataka
Sasa kwa rekodi hizi bado munalaumu Referee na VAR?
Mkuu wewe kuanzia mwanzo wa msimu ulikuwa unamtetea Poche kwamba ni bonge la kocha apewe muda ajenge project? Tulia hivyo hivyo mpaka mwisho wa msimu.
Na akawekwa chini ya kocha aliyemfanya Messi aonekana kama Bakayoko na Neymar kama Drinkwater. Ndio maana mimi naamini msimu ujao au unaofuata Enzo ataomba kuondoka ChelseaTarehe kama ya leo mwaka 2023 tulitangaza kumsajili Enzo Fernandez. Unluckly he play with shits like Madueke
Lionel Messi akiwa na PSG ndani ya misimu miwili kacheza mechi 75 kafunga magoli 32, katoa assist 34 yan ndani ya mechi 75 kahusika kwenye magoli 66. Katika hiyo misimu miwili kabeba ubingwa na ligi ya Ufaransa.Na akawekwa chini ya kocha aliyemfanya Messi aonekana kama Bakayoko na Neymar kama Drinkwater. Ndio maana mimi naamini msimu ujao au unaofuata Enzo ataomba kuondoka Chelsea