Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea dhidi ya timu 5 za juu Premier League msimu huu:
  1. Liverpool nyumbani: Sare
  2. Man City nyumbani: Sare
  3. Arsenal nyumbani: Sare
  4. Nyumba ya Villa (pamoja na wachezaji 10): Imefungwa
  5. Tottenham ugenini: Shinda
Jumla ya points ni 6
 
Tunahitaji atleast mwenye kutumia angalau 40% ya nafasi tunazotengeneza...siyo kama sasa.

Huwez pata dirisha hili labda uwe tayar kupigwa

Tutegemee summer kati ya hawa
Sesko
Osimhen
Gykores
Santi Gimenez
 
Timu hizi juu ya Chelsea zimedondosha pointi nyingi zaidi ya Chelsea katika mechi 5 zilizopita
  1. Chelsea 3
  2. Liverpool 4
  3. Tottenham 4
  4. Westham 4
  5. Arsenal 7
  6. Aston Villa 8
  7. Brighton 9
  8. Man U U 10
  9. Newcastle 12
 
Ni Man city pekee waliopata pointi zaidi ya Chelsea katika mechi 5 zilizopita
  1. Mancity 13
  2. Chelsea 12
 
1706709460084.png
 
Line up 4-2-3-1

----------------Palmer------------------

Sterling --------Gallagher---------Madueke

------Enzo --------------- Caicedo -------

Chilwell-----Silva-----Disasi ------Badiashile

---------------- Petrovic------------------
 
Tottenham huko kuna mchezaji kaingia dkk ya 46 then dkk ya 49 kafunga goli, njoo sasa kwa timu yangu pendwa Chelsea 😂 ni vituko
 
Kwani Nkunku hajarudi au? 😂

Mana kila mkifungwa lazima mumsingizie Nkunku!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom