Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Poch anajua kuliko sisi woteTangu Chilwell acheze LW amekuwa akicheza hovyo tena sana. Anashambulia vizuri akicheza LB
Hakukuwa na haja ya kutumia hiyo kama kigezo wakati kwenye LW na RW tunao wengi. Chilwell ni LB mzuri kila mtu anajua hilo na kucheza LB haimzuii Chilwell kushambulia kama kawaida yake