lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Wazo zuri ila haikuleta matunda, form ya Chilwell ilikuwa low na Disasi hawezi kucheza vizuri kwenye RBKama sub ya Chilwell target ilikua kuanza kushambulia kutokea chini pembeni ndio maana ya ile sub. Hiyo ni ishara yalikua ni maelekezo ya kocha. Wachezaji hawawezi kujichezea tu ili mradi