lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,489
Hata Chilwell kabla hajatokaBadiashile na Kocha wake wameikost timu....ili chuma ikomaa lazima ipite kwenye moto.
Poche pia na
Refa na VAR
Wote hao wameihujumu Chelsea leo
Hata Chilwell kabla hajatokaBadiashile na Kocha wake wameikost timu....ili chuma ikomaa lazima ipite kwenye moto.
Hata Chilwell kabla hajatoka
Poche pia na
Refa na VAR
Wote hao wameihujumu Chelsea leo

....Tuliza fuvu hilo umeshavurungwa na Tarehe 25 Tunawakanyaga tena Wembley Marasta Fc nyie.
Naona mlivyokaza mtu 😆😆😆Leo tunatakiwa kukaza tupate point 3 palepale Anfield ili tukikutana nao fainali waje na hasira tuwakande vizuri tena.
Daah ila kwa Broja na kina Madueke tuombe waamke vizuri leo
Ijumapili mnakufa tena hapo hapo kwenu kama tulivyowafanya kwenye FA Cup.Yaani katoto kadogo ka miaka 20 kamewafundisha soka, kanapanda mbele kanavyojisikia.
Jumapili wakapange tena na Martinel tuwamalize mapema.
Fc marasta visingizioHata Chilwell kabla hajatoka
Poche pia na
Refa na VAR
Wote hao wameihujumu Chelsea leo

tangu dakika 20 tu za mwanzo haikuhitaji uwe na degree kuona jins tayar tumeishaingia kwenye mfumo wa Liverpool, Hakuna chochote tulichokuwa tunafanya.Tumuachie Mungu atalipa
Hamjasema badoMakocha wote wa Chelsea huwa hawako hivi
Poch ashafanya kazi yake ya kukifanya kikosi kisettle ila if tunataka kuwa tunaenda toe to toe na hawa top six away from home, n na hawa wadogo wengine then Next season tunahitaj kocha mwingine
Kama Kocha aliwah mfanya hadi Messi aonekane ni Average Player then sisi ndio tumuone anafaa ni ukosefu wa akili

Na badoChelsea’s last 7 away games:
Liverpool 4-1 Chelsea (still counting)
Middlesbrough 1-0 Chelsea
Luton 2-3 Chelsea
Wolves 2-1 Chelsea
Everton 2-0 Chelsea
Man Utd 2-1 Chelsea
Newcastle 4-1 Chelsea
Hata refa angewabeba msingebebekatangu dakika 20 tu za mwanzo haikuhitaji uwe na degree kuona jins tayar tumeishaingia kwenye mfumo wa Liverpool, Hakuna chochote tulichokuwa tunafanya.
Na msitegeme kama Carabao Cup final tutamfunga Liverpool Poch tactically sio mzuri na kwa mpira wake he is not the manager kwa hawa wachezaji
Ukitoa makosa ya Wachezaji na Poch kiufundi, Hivi yale makosa ya Refa Poch alikuwa hayaoni mpaka atulie vile hadi kwenye press conference mpaka aseme hana cha kulalamika.
Angalia Klop,Arteta, Pep maamuzi yarefa yakowa hovyo huwa wanakuwaje ila yeye anaona ninsawa

Hata refa angewabeba msingebebeka
Kichapo ni kile kile
Hamna timu ya kutufunga nyie kenge
Refa mjinga sana na VAR nayo kuna muda ni takatakatangu dakika 20 tu za mwanzo haikuhitaji uwe na degree kuona jins tayar tumeishaingia kwenye mfumo wa Liverpool, Hakuna chochote tulichokuwa tunafanya.