Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 654
- 1,222
Naitwa Wesley Fofana nimesajiliwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.
THE BLUES ndio timu inayoongoza kwa kumiss chance za wazi za kufunga magoli.
Nini maana yake?
Kinachofanyika uwanjani ni kizuri zaidi ya hizo Pattern ila wafungaji wana uwezo mdogo wa kufunga magoli.
Team ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo.
Ila kwa sasa mizigo ipo 50% (Kocha) kwa 50% (Wachezaji)
Conte hawezi kukubali kufundisha wachezaji wanaofungwa pampas.
Mkuu subiria interview ya makocha mwisho wa msimu, jiandae kupokea maumivu makubwa zaidi.Mkuu jaribu kuangalia mpira.
Wachezaji wetu wanahitaji kocha mwenye mentality ya kutokubali kufungwa kizembe na excuse tele.
Acheni watoto wadogo waje THE BLUES kwa maana utajiri wa Toddy ni wao.Ila hii timu haina kocha kabisa, zero tactics (just pass the ball ) wachezaji wanautoto mwingi hakuna wa kuwakemea wala kuwaimprove.
Mkuu hivi unamfuatilia Pulisic na RLC huko Ac Milan? Wale jamaa ni panga pangua huko na wanaviwango vizuri tu. Lakini walipokua Chelsea kila baada ya 7 wanachechemea.Mimi binafsi simchukulii Nkunku kama ni Injury prone
rekodi yakle ya nyuma inaonyesha alikuwa na majeruhi kidogo na ya kawiada kama wachezaji wengine ila alipokuja Chelsea akakaribishwa na majeruhi kama ya James na Chilwell
View attachment 2869269
Hata Graham Potter alipokua Brighton alifanya mambo mazuri sana lakini nini kilimkumba alipokuja Chelsea? Unataka kuniambia sasa hivi Company ni kocha mzuri kuliko Poch? What a joke is this🤔Nipo naangalia Burnley Vs Luton, wapo mkiani ila wanacheza mpira wakueleweka kuliko chelsea. Vicent Company amempita vitu vingi sana Poch.
Nasikitika tulimtoa Ross Barley ambae anajitahidi kupga hata pass za maana tukabaki na kilaza Gallager ambae anatumia energy kubwa,wkt kupga hata pass moja ya maana hajui.
Poleni sana aseehPoch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Exactly na ndicho ambacho mimi nasema muda wote. Huwezi kumtupia lawama zote kocha na wakati inaonyesha kabisa kwa wachezaji kuna gape kubwa sana ki perfomanceTeam ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo