Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fulham tuna Jambo letu leo cheltako mkipata hata goli la offside mniite mbwa
Fulam mechi ya kwanza tulimfunga 2-0 nyjumbani kwao
Hawajawahi kutufunga hapa nyumbani tangu 1979 (45 years)
Pochettino ailkuwa na miaka 7 wakati huo Fulam wanatufunga hapo Stanford Bridge
 
  • Hakuna mifumo ya kushambulia
  • Hakuna mfumo wa kujilinda
  • Inatumia vibaya wachezaji wengi
  • usimamizi mbaya wa mechi
  • Hakuna mbinu
  • Upangaji mbovu wa timu
  • Sub za kutisha
  • Hutoa visingizio 101
  • Hakuna uwajibikaji
  • Hakuna dalili za maendeleo
Na sasa anadanganya katika mkutano ya waandishi wa habari eti kwamba Brighton walipoteza msimu uliopita kwa Middlesbrough, wakati ukweli walishinda 5-1, lakini alisema hivyo kana kwamba ilikuwa sababu ya kupoteza kwetu.

View attachment 2870165

Poch yuko hapa kutuvuruga tu, Kwa standard ya tim yetu kupoteza kwa Middlesbrough halaf kocha aanze kuongea ngonjera zake kuona kama ni jambo la kawaida then haitaji uwe na PHD ujue hapa hamna kocha
 
Toddy anayo vision yake anayotembelea ambayo ni kujenga team kupitia vijana wadogo.

Mafanikio ya huu mpango ni ya muda mrefu.

Chini ya huu mpango Toddy ataendelea kuajiri makocha ambao watatembea na vision yake kulelea na kuwajenga vijana.

Matamanio ya mashabiki ni kuona THE BLUES inarudi kwenye njia za Ubingwa, kama enzi za Roman Abramovich

1. Aletwe kocha world class
2. Wasajiliwe exprienced players

Mashabiki wanaamini pesa za ovyo anazomwaga Toddy zinaweza kujenga team ya makombe endapo atafanya maamuzi sahihi.

Kwahiyo kwa sasa Vision ya Toddy inatofautiana na matamanio ya mashabiki.

Kwa sasa Makocha world class wanaiangalia project ya Chelsea hawafurahishwi jinsi inavyoondeshwa Toddy na wengi watakataa kandarasi ya kuja kuifundisha Chelsea.

Toddy ataendelea kuitisha interview za makocha uchwara.

Mkuu unafatilia mechi zetu kweli huwa unaangalia???

Watu wanataka progress

Naiman hata Potter angepewa Pre Season tusingekuwa na hali hii

Kocha ambae ameeanza Pre Season na hii team halaf tukuulize pattern yetu ya uchezaj ikoje sidhan kama unaweza toa hilo jibu

Poch anamiez 6 mpka sasa ila hakuna progress yoyote
 
Fulam mechi ya kwanza tulimfunga 2-0 nyjumbani kwao
Hawajawahi kutufunga hapa nyumbani tangu 1979 (45 years)
Pochettino ailkuwa na miaka 7 wakati huo Fulam wanatufunga hapo Stanford Bridge

Poch yuko hapa kuhakikisha Historia zinavunjwa
 
Wale Mnaohisi Poch ni mzuri naomba mtuambie katika kipindi cha Miezi 6 tangu awe kocha wetu Kipi Ameimprove???
 
Leta hiyo hotuba hapa kwa kiingereza, hajasema hivyo

Angalia kauli za wanaume wanaojua kufundisha soka

Jurgen Klopp before facing Chelsea in Sept 2016:

"We need to improve because they are so experienced. They can play a game where nothing works but always stay cool. No-one cares. We are much younger and we need good moments in a game to take the next good moment. That's how it is in life. Experience, when you use it right, makes you stronger and I'd say that's Chelsea's only real advantage is they are more experienced."

Pamoja na uchanga wa Liverpool waliifunga Chelsea kwenye hiyo mechi
View attachment 2866522
https://twitter.com/Blue_Footy/status/1744746903198183854/photo/1
Karibu chama kubwa Liverpool [emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa
Kila kocha unasema out😂
  • Hakuna mifumo ya kushambulia
  • Hakuna mfumo wa kujilinda
  • Inatumia vibaya wachezaji wengi
  • usimamizi mbaya wa mechi
  • Hakuna mbinu
  • Upangaji mbovu wa timu
  • Sub za kutisha
  • Hutoa visingizio 101
  • Hakuna uwajibikaji
  • Hakuna dalili za maendeleo
Na sasa anadanganya katika mkutano ya waandishi wa habari eti kwamba Brighton walipoteza msimu uliopita kwa Middlesbrough, wakati ukweli walishinda 5-1, lakini alisema hivyo kana kwamba ilikuwa sababu ya kupoteza kwetu.

View attachment 2870165
 
Mkuu unafatilia mechi zetu kweli huwa unaangalia???

Watu wanataka progress

Naiman hata Potter angepewa Pre Season tusingekuwa na hali hii

Kocha ambae ameeanza Pre Season na hii team halaf tukuulize pattern yetu ya uchezaj ikoje sidhan kama unaweza toa hilo jibu

Poch anamiez 6 mpka sasa ila hakuna progress yoyote
Huyo jamaa nahisi anaangaliaga live score, akiona ball possesion tunaongoza 99% kwa 1% anahisi huwa tunaupga mwingi. kumbe pass ni baina ya beki beki na kipa.

Anakwambia hao wachezaji kocha mwingine hawezi kwenda nao popote, wakati TT alichukua UEFA na kina Mount.

Bora tupate kocha ambae atakaeleta kwanza mpira wa kueleweka, hayo mambo ya ubingwa badae.
 
THE BLUES ndio timu inayoongoza kwa kumiss chance za wazi za kufunga magoli.

Nini maana yake?

Kinachofanyika uwanjani ni kizuri zaidi ya hizo Pattern ila wafungaji wana uwezo mdogo wa kufunga magoli.

Team ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo.

Ila kwa sasa mizigo ipo 50% (Kocha) kwa 50% (Wachezaji)
Aisee dah! Kipimo ni kwa kua tunaongoza missed chances.

Wengine hawaongoz sababu wanazitumia. Na siO kwamba zinatengenezwa chance after chance hapana chance zenyewe kwa kuvuta kwa manati, uwe unaangaliaga mpira basi siku moja moja. Achana na livescore.
 
Mkuu hizo sajili za makinda tunazoendelea kuzifanyika ni mapendekezo ya Poche au Directors? View attachment 2870454
Huyu sio wa fisrt team, nazunguzmia wale wa first team. Pochettino atasikilizwa kama akitaka striker mzoefu atapewa ila naona kakataa kwa sababu namshefaal in love na Broja na Jakcson, akitaka LB mzoefu atapewa ila naoan kakataa kwa sababu anona Colwill akicheza hapo ni bonge la LB. Bwege kabisa
 
THE BLUES ndio timu inayoongoza kwa kumiss chance za wazi za kufunga magoli.

Nini maana yake?

Kinachofanyika uwanjani ni kizuri zaidi ya hizo Pattern ila wafungaji wana uwezo mdogo wa kufunga magoli.

Team ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo.

Ila kwa sasa mizigo ipo 50% (Kocha) kwa 50% (Wachezaji)
Unapoelezea hizo misses ambazo kwangu ni kiashiria cha ujinga wa Kocha pia elezea hizi aspects hapa chini
  1. Hakuna mifumo ya kushambulia
  2. Hakuna mfumo wa kujilinda
  3. Inatumia vibaya wachezaji wengi
  4. usimamizi mbaya wa mechi
  5. Hakuna mbinu
  6. Upangaji mbovu wa timu
  7. Sub za kutisha
  8. Hutoa visingizio 101
  9. Hakuna uwajibikaji
  10. Hakuna dalili za maendeleo
 
Chelsea imemjumuisha Dujuan Richards kwenye orodha ya kikosi cha kwanza. Lazima wamevutiwa naye sana.
Huyu ni winga mzuri sana wa kulia na anacheza pia no 10, CAM, na striker
1705145485266.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom