Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Line up
4-2-3-1

-------------------Broja------------------------

Sterling -------------Galagher -------------Palmer

---------Enzo ---------------------Caicedo------

Colwill ---------Silva ---------Disasi --------Gusto

-------------------Petrovic------------------------

Sub
  1. Bettinelli
  2. Bergström
  3. Badiashile
  4. Mudryk
  5. Madueke
  6. Chukwuemeka
  7. Chilwell
  8. Deivid
  9. Gilchrist
 
Timu hiyo isiyobeba kombe, inacheza vizuri halafu mwisho wa siku timu nyingine inabeba kombe. Chelsea tungekuwa na ubora wenu tungewanyamazisha wote
Njoo ushuhudie namna tunanyanyua vikombe vyote


Mbona mmecheza fainali na sisi na tukabebq vikombe,ama vikombe gani Ostaz?
 
Unapoelezea hizo misses ambazo kwangu ni kiashiria cha ujinga wa Kocha pia elezea hizi aspects hapa chini
  1. Hakuna mifumo ya kushambulia
  2. Hakuna mfumo wa kujilinda
  3. Inatumia vibaya wachezaji wengi
  4. usimamizi mbaya wa mechi
  5. Hakuna mbinu
  6. Upangaji mbovu wa timu
  7. Sub za kutisha
  8. Hutoa visingizio 101
  9. Hakuna uwajibikaji
  10. Hakuna dalili za maendeleo
Wewe shabiki uliyopo Arusha ngaramtoni ndio unaona madhaifu elfu 50 ya Poche.

Ingekuwa mashabiki wa pale London wanaona madhaifu kama wewe wasingekuwa wanaingia Stanford bridge mpaka Poche aondoke.
 
Line up
4-2-3-1

-------------------Broja------------------------

Sterling -------------Galagher -------------Palmer

---------Enzo ---------------------Caicedo------

Colwill ---------Silva ---------Disasi --------Gusto

-------------------Petrovic------------------------

Sub
  1. Bettinelli
  2. Bergström
  3. Badiashile
  4. Mudryk
  5. Madueke
  6. Chukwuemeka
  7. Chilwell
  8. Deivid
  9. Gilchrist
Man of the match Willian.
 
Rent boys yani! 😂

Walimfukuza kocha mzuri Antonio Conte bila ya sababu ya msingi.

Wakamfukuza kocha mzuri Thomas Tuchel bila ya sababu ya msingi.

Sasa hivi wanalia na Pochetino 😂

In Poch we Trust 💪
 
1705148062667.png
 
Sterling, Broja na Colwill kama LB matokeo yanajulikana
Colwill hawezi kupeleka mashambulizi na ni mzito kukaba kwenye hiyo nafasi
Sterling inconsistent kama kinda wa miaka 18
Broja msanii anayejifanya mchezaji wa football
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom