Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Christopher Nkunku debut yake ya EPL Chelsea pia Ian Maatsen anapewa debut yake ya EPL baada ya kugandishiwa kwenye benchi kwa muda mrefu bila hata sababu
Moises Caicedo anarejea kutoka kwa kuugua virusi.

Kama kawaida Madueke anaendelea kula benchi bila sababu huku CB watatu bado wakilundikwa uwanjani. Maatsen angecheza LB na Madueke kwenye RW ingependeza zaidi

Good news ni Nkunku kuwahishwa kwa sababu ya majeruhi na suspension nyingi
 
Hata kama siipendi hii line-up ila nabashiri Pochettino atakuja leo kihivi
Formation 4-2-3-1

------------------Jackson-----------------------

Mudryk -----------Nkunku ---------------Madueke

--------Caicedo ---------------Gallagher---------

Colwill --------- Silva --------Disasi ---------Gusto

---------------------Petrovic--------------------
Kaweka beki namba tatu acheze winga badala ya madueke huyu kocha mlevi ,
 
Kaweka beki namba tatu acheze winga badala ya madueke huyu kocha mlevi ,
Wanasema mchezaji anachaguliwa kulingana na anavhofanya vizuri kwenye mazoezi. Hii ina maana Madueke na Maatsen walikuwa wanafanya vibaya wasichaguliwa, Hata Petrovic na hao wengine wanaosugua benchi
Kama hii ndio kigezo basi hayo mazoezi ya Pochettino yatakuwa ya hovyo sana kwa sababu ya jinsi wachezaji wanavyocheza uwanjani na makosa wanayofanya ya kijinga sana

Angalia Sub anaweka kila wakati makipa wawili wakati kuna wachezaji muhimu hata benchi hawawekwi
 
Chelsea leo imeweka kikosi kichanga kuliko nyakati zote kwenye EPL

Jackson 22
Mudryk 22
Nkunku 26
Maatsen 21
Caicedo 22
Gallagher 23
Colwill 20
Badiashile 22
Disasi 25
Gusto 20
Petrovic 24
Wastani ni 22.5
 
Chelsea leo imeweka kikosi kichanga kuliko nyakati zote kwenye EPL

Jackson 22
Mudryk 22
Nkunku 26
Maatsen 21
Caicedo 22
Gallagher 23
Colwill 20
Badiashile 22
Disasi 25
Gusto 20
Petrovic 24
Wastani ni 22.5
Tunachotaka wakimbie kwelikweli
 
Goli la Elise ni matokeo ya kumchezesha Colwill kwenye LB, hajui kufanya marking kama LB
 
Bado sijaona sababu ya kumfuta kazi Poch
Baadaye kidogo utaona
  1. Anavuruga upangaji wa timu
  2. Anafuga uzembe wa wachezaji
  3. Sub zake hazina manufaa kwa timu
  4. Kwaweka benchi wachezaji bila sababu,
kocha anaye stick na XI ile ile ni yule mwenye timu nzuri sasa yeye wachezaji wanafanya uzembe ule ule na anaendelea kuwapa nafasi huku wengine wakiozea benchi
 
Pasi nyingi zisizo na madhara yoyote, hii game Chelsea anaweza kupoteza kama ataendelea na huu ujinga wake.
 
Shabiki anayemtetea Pochettino angalau kwa sasa ana shida ya mahaba, Sorry kama nimewagusa wengi
Huyu ni kocha asiyetumia akili, mpangilio wa wachezaji uwanjani ndio inaua game na kuua vipaji
 
Kipindi cha pili kipa wa Palace yuko likizo pamoja na kukaa na mpira kwa 70%
Mabadiliko yaliyofanyika hayakusaidia kupeleka mashabulizi mbele
Maatsen angecheza LB na Gusto akabaki kwenye RB mashabmulizi yangekuwa bomba ila Pochetino ni mvuta bangi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom