The guy really stinks .Hizi game za kushinda ushindi wa papatu papatu ndio zinawafanya waone waendelee kumpa muda ila kama wangekuwa wanaangalia performance huyu hakufaa hata game inayo kuwepo ilikuwa tu kesho asubuhi mnatupia virago
Sijawah kuona kocha mbishi kama huyu
Yaani kila nikimuona natamani kutapika