Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu umeshawahi kuwa kocha angalau hata timu ya Sunday school au madrasa?
Kabla ya HT wachezaji walicheza hovyo hovyo sana na hapo utawalaumu wachezaji
Baada ya HT baada ya kocha kufanya tactical changes, Sterling akatoka RW akahamia CAM/No. 10 na Palmer akahamia RW wachezaji wote wawili mpira wao ukawa mwingi sana na tukapata ushindi kwa sababu ya hiyo tactical chgange, aliyefanya hiyo ni Kocha. Tunaposema kocha ni bumunda tuna maana ya vitu vidogo kama hizi.
Pochettino atageuka kuwa kocha mzuri akiacha ufahidhina na pale anapoona mambo hayaendi vizuri akafanya mabadiliko ya haraka na yenye tija kama yale ya jana.
Kwa hiyo mkuu wa ngu Cash Money tunapomrushia mawe Pochettino ni kwa sababu ya makos amadogo madogo kama haya ya jana kabla ya HT
 
Hiyo mechi jana Kocha aliboa kipindi cha kwanza
Kumfanya Palmer acheze no. 10 ilimfunga kucheza wide. Sterling ameelezea kuwa HT walifanya mabadiliko ya yeye Sterling kuhamia no 10 na Palmer akaenda RW na ndio maana Chelsea walicheza vizuri baada ya half time na aliyefunguka kucheza vizuri ni Palmer na huku Sterling alijitoa kumsaidia
Nafurahi kama Kocha akiwa anashirikiana na wachezaji kuja na mkakati mzuri wenye kuzaa matunda
Natumaini hilki kosa halitajiridia kwenye mechi na Newcastle Jumanne
Newcastle si tumecheza nae inakuaje tucheze nae tena
 
Basi bhana hatimae jana tumeshinda.......lakn bado tumebaki wa kumi.......game inayofata ndo itaweza kutupandisha kwenye table kama tukishinda
 
Kuna jamaa nilimwambia Caicedo anacheza box to box na anafaa kucheza mbele kama alivyokuwa anacheza Kante akabisha kweli kama vile yeye ndie founder wa kandanda ulimwenguni
Angalia wengine wanavyosema. Huyu Vince ni moajwapo wa waandishi wa footbal na maoni yake hayo hapo.
Na jana Caicedo alipewa majukumu ya kucheza mbele kusaidia attack na kacheza vizuri tangu aje Chelsea

Caicedo is a very good footballer when he plays in advanced areas. Playing deep makes people think he is not good.
1702802980361.png

View: https://twitter.com/Blue_Footy/status/1736057626947944786
Sintahitaji kuendeleza issue ya Unai Emery na Arteta kwa sababu wewe una ubishi tu kwenye hili wakati takwimu ziko wazi kabisa kwamba Arsenal Unai ilimkataa kabisa kama Ten Hag Man U inavyomkataa. Bodi sio wajinga wamtimue kocha mwenye uzoefu lukuki, makombe ya ulaya manne halafu eti waje kumuamini mwanafunzi ambaye anaanzia ukocha Arsenal

Issue ya Kante na Caicedo iko hivi
Advance role ni kiungo box to box apart from CDM. Ni nafasi ya kiungo anayecheza mbele na hapo hapo ana uwezo wa kurudi nyuma na kukaba. aliyembadilishia hiyo nafasi na mashabiki wakalalamika hadi wakachoka ni Sari alipokuja na Jorginho ili ampe mtoto wake nafasi hiyo ya katikati kwenye single pivot role na Kante akapelekwa mbele.

Kante mwenyewe akiri kubadilsihiwa role badala ya DM sasa anacheza mbele
"It is something possible [to play Jorginho's role], but the manager decides. It's fine, it's fine. I like this [more advanced] position. Prefer it? It depends on the game, but I enjoy it. I'm with the manager, and I'm enjoying the way I'm playing now.
"It is a position I used to play when I was in France. I'm enjoying participating more in the offensive positions to change the game. I am enjoying it."

Tarehe 23 Feb 2019, Kante akiongea na Nizaar Kinsella wa Goal

Kante na Caiceod ni copy and paste take it or leave it kwa uchezaji wao. Wanatofautiano kidogo sana.
Kante kajipatia sifa kubwa kwenye ball recoveries, tackling na kusoma mchezo na Caicedo hivyo ana uwezo wa kuusoma mchezo na kujua mashambulizi ya adui inapitia mkondo gani, kuwepo ontime na kukaba au kuzuia au kunyang'anya mpira, wewe unawaseparate vipi kama kweli unawafuatilia hawa wachezaji wawili.
Hii touch MAP inaonyesha jinsi Caicedo anavyocheza box to box zaidi ya CDM
View attachment 2841857
Akiwa Brighton Caicedo kwenye ball recoveries alikuwa wa 8 kwenye ligi na umri wake wa 20-21
Amekuja Chelsea wanamlazimisha acheze CDM amekuwa wa 74, wastage of tallent kwa sababu ya Pochettino mfahidhina ameamua kumfanya mfungwa.
View attachment 2841856
Much like Kante, Caicedo’s recovery tackles and his ability to anticipate where the ball will go, sticking out a spidery leg to turn possession back over, are among his best qualities.
 
Kuna jamaa nilimwambia Caicedo anacheza box to box na anafaa kucheza mbele kama alivyokuwa anacheza Kante akabisha kweli kama vile yeye ndie founder wa kandanda ulimwenguni
Angalia wengine wanavyosema. Huyu Vince ni moajwapo wa waandishi wa footbal na maoni yake hayo hapo.
Na jana Caicedo alipewa majukumu ya kucheza mbele kusaidia attack na kacheza vizuri tangu aje Chelsea

Caicedo is a very good footballer when he plays in advanced areas. Playing deep makes people think he is not good.

View: https://twitter.com/Blue_Footy/status/1736057626947944786

Hili hata Mimi nililisema Caicedo anatakiwa apewe role ya kuwa huru ili hatibue mipango ya upinzani uchezaji wake unafanana sana na wa kante ila huwezi kumlaumu kocha kwasababu kwenye timu yetu hatuna no 6 ukimtoa Lavia ambaye ni injury ndio maana analazimika kumchezesha Caicedo kwenye hilo eneo
 
Enzo acheze 6 hadi Lavia awe mzima, Caicedo akicheza 8 anakuwa mzuri zaidi akicheza nyuma
 
Hata Enzo hiyo nafasi haimfahi
Afadhali kuliko Caicedo. Wakati wa Potter aliicheza vizuri kuliko sasa wakati wa Potter anacheza namba 8, hawezi kucheza mbele vizuri zaidi ya Caicedo. Kwa jinsi Caicedo jana alivyocheza vizuri tutegemee Pochettino atabadilishia roles hao wawili. Pivot nzuri ya Enzo na Cai ni Enzo=6 and Caicedo = 8
 
Kuna mjadala kule twitter unamvua nguo Pochettino
Lile goli la Palmer na ile move ya Sterling ni pure teaching za PEP
Pochettino yeye anafundisha nini haswa tuseme ukweli
Crosi ile ya Sterling ingepotea kama Sio Palmer kausoma mcheza kama alivyofundishwa
Jackson yeye alibaki mwisho wa mlingiti akibahatisha mp[ira uwapite mabeki au uje kama lile goli akiwa peke yake na goli
Tunaposema hakuna kitu Pochettino anafundisha tunarushiwa mawe
Pochettino anafundisha kandanda safi ila hawafundishi vijana mpira wa kisasa
Chances nyingi za Mudryk zinapotera kwa sababu hakuna mchezaji anamsoma Mudryk na kuwepo pale panapotrakiwa ontime
1702815017687.png

Basi bhana hatimae jana tumeshinda.......lakn bado tumebaki wa kumi.......game inayofata ndo itaweza kutupandisha kwenye table kama tukishinda
Game ijayo tunapgwa tubaki nafasi ya 10. Poch ni kama anaitetea nafasi yake ya 10. Mana tukipata nafas ya kuiondoka kwenda juu tunapgwa, tukipata nafasi y kuiondoka kurudi chini, tunashinda.
 
Afadhali kuliko Caicedo. Wakati wa Potter aliicheza vizuri kuliko sasa wakati wa Potter anacheza namba 8, hawezi kucheza mbele vizuri zaidi ya Caicedo. Kwa jinsi Caicedo jana alivyocheza vizuri tutegemee Pochettino atabadilishia roles hao wawili. Pivot nzuri ya Enzo na Cai ni Enzo=6 and Caice

Kuna mjadala kule twitter unamvua nguo Pochettino
Lile goli la Palmer na ile move ya Sterling ni pure teaching za PEP
Pochettino yeye anafundisha nini haswa tuseme ukweli
Crosi ile ya Sterling ingepotea kama Sio Palmer kausoma mcheza kama alivyofundishwa
Jackson yeye alibaki mwisho wa mlingiti akibahatisha mp[ira uwapite mabeki au uje kama lile goli akiwa peke yake na goli
Tunaposema hakuna kitu Pochettino anafundisha tunarushiwa mawe
Pochettino anafundisha kandanda safi ila hawafundishi vijana mpira wa kisasa
Chances nyingi za Mudryk zinapotera kwa sababu hakuna mchezaji anamsoma Mudryk na kuwepo pale panapotrakiwa ontime
View attachment 2845111

View attachment 2844979
Watu watakuja shtuka mda ushaenda kuwa Poch sio mtu maalum kwa huyu inshort anategemea uwezo binafs wa mchezaj na si mbinu zake
 
Afadhali kuliko Caicedo. Wakati wa Potter aliicheza vizuri kuliko sasa wakati wa Potter anacheza namba 8, hawezi kucheza mbele vizuri zaidi ya Caicedo. Kwa jinsi Caicedo jana alivyocheza vizuri tutegemee Pochettino atabadilishia roles hao wawili. Pivot nzuri ya Enzo na Cai ni Enzo=6 and Caicedo = 8
Njia pekee ya kuwatumia Enzo na Caicedo ni wote kucheza kama 8s huku nyuma yao akiwa Lavia ipa kwa akili za Poch hawezi fabya hivyo kwa sababu ya yule Galagher
 
Influence ya kocha niya muhim sana kwa mchezaji, Kocha huenda akamfanya mchezaj wa kawaida aonekane ni mzuri sana. Na mchezaji mzuri or world class aonekane ni mbovu

Colwil na Caicedo chini ya de zerbi walikuwa ni superb kila wik ila chini ya Poch ni maji kupwa maji kujaa

Mnaoendelea kumuamin Poch endeleeni
 
Klop naye kocha wa kawaida sana ameshindwa kumfanya Nunez afunge mabao mengi. Nunez kule Benefica alikuwa superb sana
 
Kuna jamaa nilimwambia Caicedo anacheza box to box na anafaa kucheza mbele kama alivyokuwa anacheza Kante akabisha kweli kama vile yeye ndie founder wa kandanda ulimwenguni
Angalia wengine wanavyosema. Huyu Vince ni moajwapo wa waandishi wa footbal na maoni yake hayo hapo.
Na jana Caicedo alipewa majukumu ya kucheza mbele kusaidia attack na kacheza vizuri tangu aje Chelsea

Caicedo is a very good footballer when he plays in advanced areas. Playing deep makes people think he is not good.
View attachment 2844819

View: https://twitter.com/Blue_Footy/status/1736057626947944786

lembu ulini-Quote Mimi,
Hoja yangu kubwa kwako ni kukataa ufananisho wa Caicedo na Kante kiuwezo.
Kuwa "Box to Box MD" lazima namba zako ziwe na Uwiano Mzuri kwenye Box lako na Box la Mpinzani. Kila mtu anayefanya "Pressing" kila Pande ya Uwanja huwezi muita "Box to Box"

Timu nyingi zinazuia kulingana na "ZONES" za Uwanja wengine wanaanzia Juu wengine kati ya Uwanja na wengine wanazuia kwenye eneo lao.

Kuitwa B2B lazima namba zako Kiulinzi ziwe Nzuri na Vile vile kiushambuliaji ziwe Juu. Hilia Jina linatumika Vibaya. Niletee namba za KANTE na Caicedo Kwenye ushambuliaji.
Mfano wa B2B ni YAYA, LAMPARD, GERRARD, POGBA, BELLINGHAM, BARRELA, SAVIC, ILKAY, et al. Wenye uwiano mzuri wa Kushambulia na kuzuia. Unamwitaje CAICEDO "BOX TO BOX" na anakuwa na msaada mkubwa zaidi mbele ya Box lake kuliko la Mpinzani!!
NASUBIRI NAMBA ZAKE KWENYE KUSHAMBULIA!

USIZUNGUKE UKIWA NA HOJA NI-TAG ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom