Sintahitaji kuendeleza issue ya Unai Emery na Arteta kwa sababu wewe una ubishi tu kwenye hili wakati takwimu ziko wazi kabisa kwamba Arsenal Unai ilimkataa kabisa kama Ten Hag Man U inavyomkataa. Bodi sio wajinga wamtimue kocha mwenye uzoefu lukuki, makombe ya ulaya manne halafu eti waje kumuamini mwanafunzi ambaye anaanzia ukocha Arsenal
Issue ya Kante na Caicedo iko hivi
Advance role ni kiungo box to box apart from CDM. Ni nafasi ya kiungo anayecheza mbele na hapo hapo ana uwezo wa kurudi nyuma na kukaba. aliyembadilishia hiyo nafasi na mashabiki wakalalamika hadi wakachoka ni Sari alipokuja na Jorginho ili ampe mtoto wake nafasi hiyo ya katikati kwenye single pivot role na Kante akapelekwa mbele.
Kante mwenyewe akiri kubadilsihiwa role badala ya DM sasa anacheza mbele
"It is something possible [to play Jorginho's role], but the manager decides. It's fine, it's fine. I like this [more advanced] position. Prefer it? It depends on the game, but I enjoy it. I'm with the manager, and I'm enjoying the way I'm playing now.
"It is a position I used to play when I was in France. I'm enjoying participating more in the offensive positions to change the game. I am enjoying it."
Tarehe 23 Feb 2019, Kante akiongea na Nizaar Kinsella wa Goal
N'Golo Kante was subbed off after 76 minutes after a job well done in the Europa League against Malmo, as attentions rapidly turned to the Carabao Cup final against Manchester City.
www.goal.com
Kante na Caiceod ni copy and paste take it or leave it kwa uchezaji wao. Wanatofautiano kidogo sana.
Kante kajipatia sifa kubwa kwenye ball recoveries, tackling na kusoma mchezo na Caicedo hivyo ana uwezo wa kuusoma mchezo na kujua mashambulizi ya adui inapitia mkondo gani, kuwepo ontime na kukaba au kuzuia au kunyang'anya mpira, wewe unawaseparate vipi kama kweli unawafuatilia hawa wachezaji wawili.
Hii touch MAP inaonyesha jinsi Caicedo anavyocheza box to box zaidi ya CDM
View attachment 2841857
Akiwa Brighton Caicedo kwenye ball recoveries alikuwa wa 8 kwenye ligi na umri wake wa 20-21
Amekuja Chelsea wanamlazimisha acheze CDM amekuwa wa 74, wastage of tallent kwa sababu ya Pochettino mfahidhina ameamua kumfanya mfungwa.
View attachment 2841856
Much like Kante, Caicedo’s recovery tackles and his ability to anticipate where the ball will go, sticking out a spidery leg to turn possession back over, are among his best qualities.
Alex Keble says new Chelsea midfielder has the attributes to emulate departed Frenchman
www.premierleague.com