Graph ipi unazungumzia Jamaa, Katika Game zote alizocheza Emery Arsenal ukilinganisha na Arteta anamzidi kila kitu. NTASUBIRI HAPA HIZO GRAPH UNAZUNGUMZIA ZA ARTETA KUMZIDI EMERY akiwa ARSENAL. Msimu wake wa Kwanza tu Emery kamaliza nafasi ya 5 na amekaa Miezi 18, ARTETA Msimu wa 5 huu timu imeingia TOP 4 mara 1,
Hizi ni takwimu kutokana na idadi ya Mechi sawa za Mwanzo. Nasubiri "
KUFELI KWAKE"
Played: Emery: 78 – Arteta: 77
Won: 43 – 42
Drawn: 15 – 14
Lost: 20 – 21
Goals scored: 156 – 136
Goals conceded: 105 – 86
Points (all comps): 144 – 140
PPG (all comps): 1.85 – 1.82
Premier League points: 88 – 78
Premier League PPG: 1.73 – 1.53
Overall win percentage: 55% – 54%
KANTE Umemzungumzia kama "
LONE DM" akiwa Leicester, sina Hakika kama ulikuwa unaangalia Mechi za Leicester!! Claudio Ranieri anatumia 4~4~2, Winga zake ALBRIGHTON na MAHREZ, Cm's zake DRINKWATER na KANTE, Fwd Okazaki na Vardy.
Sasa Mfumo wa 4~4~2 Unatumiaje "LONE DM" hasa kwa timu ambayo inacheza kwa kujilinda tu hapa tunawazungumzia LEICESTER!
KANTE Chelsea kaanza tumika kama "Lone 6" wakati LAMPARD anatumia mfumo wa 4~3~3. Na kiasili KANTE
B2B sio nafasi alokuwa anacheza Kwa TT, alikuwa anatumika kama Mvurugaji ama kama wao wanaovyoita "
DESTROYER/ HYBRID" hana nafasi maalum ya kukaba ama eneo. Na kama unakumbuka fainali ya UCL, Admin wa CITY alitania wakati wa HT kwamba wangekuwa na matokeo mazuri lakini KANTE yupo kila mahali!
mkorea hamis77 Castr