Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tumeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati,baada ya matokeo ya 1-1 ,ila naendelea kujifunza matumizi mabaya ya Enzo .Poch anaendelea kutukosea ,enzo namba 10 ni useless dogo anajua kupiga pass na controller wa mechi
Huyo alitakiwa acheze kama Sarri alivyomchezesha Jorgninho kwenye na. 6 awe regista, Enzo alicheza vizuri sana wakati wa Potter kwenye hiyo namba
 
MP sometimes anazingua zile sub ndio ziliturudisha mchezoni, hili la kumchezesha Disasi right back silielewi kabisa wakati una gusto hata meatsen kacheza vizuri sana upande ule wa kushoto.Lingine lilonishangaza mechi zote alizomchezesha Enzo no 10 imeonesha hiyo nafasi si bora kwake but jana bado jana kamchezesha kwenye hiyo nafasi tena
 
Matumizi mabaya ya rasilimali watu

Disasi = RB
Colwill =LB
Palmer no. 10
Jackson LW
Tuna Mudryk LW mzuri
Tuna Maatsen LB mzuri
Tuna Sterling alicheza namba 10 vizuri dhidi ya Shifield
Kwa nini Pochettino anapenda kukoroga timu na kujikoroga mwenyewe
Mechi nyingi tunazoshinda ni kwa kubahatisha
Mechi ya jana kwa tulivyocheza kama mpangilio ungekuwa mzuri tusingefika kwenye penalti tena tungemaliza mechi kwa mabao mengi

Nimefurahi kuona RB! Gusto alicheza kwa krosi nyingi ndani ya dakika 30 kuliko Colwill/Disasi msimu mzima!
Hii ndio faida ya kumchezesha mchezaji kwenye nafasi yake
 
unachanganya B2B na Attacking midfield, Lampard pure attacking midfield hata namba zinakuonyesha wazi , alipatikana 85-90 parcent box mpinzani kuliko la kwake , angalia recovery kafanya ngapi,? tackling ? blocks ?
Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.

LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.

Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.

Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
 
MP sometimes anazingua zile sub ndio ziliturudisha mchezoni, hili la kumchezesha Disasi right back silielewi kabisa wakati una gusto hata meatsen kacheza vizuri sana upande ule wa kushoto.Lingine lilonishangaza mechi zote alizomchezesha Enzo no 10 imeonesha hiyo nafasi si bora kwake but jana bado jana kamchezesha kwenye hiyo nafasi tena

Bado mtasema shida ni wachezaji

Wakat makosa ya kocha kila wiki yanaonekana
Kocha muoga kama nini sijui
 
Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.

LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.

Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.

Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira
 
Nilikuwa najaribu tu Waelewesha Mkuu mana kuna Mambo kadhaa wanachanganya kwenye Hilo suala la Box to Box na hata CM's zao kwa sasa hazina Uwiano wa wao kucheza Pamoja.

Kwa Mfano ENZO jamaa ni OCHESTRATOR ili kuwa na Ufanisi lazima awe na Lone DM wa asili ila kwa MD wako nazo ni kazi sana kuja Pata Ubora wake, Mshkaji kawa kawaida sana. Watu wako nao kati wanakimbia kimbia tu na sio wazuri Kiufundi. Msingi Mapafu.

Niliona wanahusishwa na Palhinha. Kama watampata yeye awe anafanya "SCREENING" ya 4CB's na Kuwa Mpiga Pasi Rahisi wataona ENZO kama Sajili mpya. Kuna wakati ONANA wa Everton dili lake lilishindikanaje sijui ila angewapa Kitu kikubwa sana. Kuna Mats Wieffer kama Chaguo Cheap wa Feyenoord. Hawa Connor, Caicedo, Lavia, hamna hata mmoja wa wa kuweza cheza Lone DM ili kutengeneza balance kwenye timu.

Ukitaka jua Umuhimu wa hii kitu kwa timu inayomiliki Mpira unamwangalia RODRI anapokosekana CITY hali inavyokuwa Mbaya.
 
Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.

LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.

Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.

Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Sifa ya kwanza ya box to box awe na uwezo wa kucheza kokote kwenye uwanja, awe na uwezo wa kusaidia mashabulizi na kuzaidia kukaba,
kuna roles na position, nafasi nyingi za uchezaji uwanjani ambazo sisi tunaziita nafasi inafact ni roles na sio nafasi ikiwemo B2B
Na B2B ya mchezaji huyu haiwezi kufanana na B2B ya mchezaji yule. Kila mchezaji ni unique
Tunaposema Kante na Caicedo wamefana sio kwa sura wala kwa urefu. Hawa ni wachezaji wawili tofauti na wamepitia changamoto tofauti
Wachezaji wanaweza kufananishwa kwa takwimu zinazoendana hata kama hazifanani
Saa nyingine unaweza kuwa rigid wa kumuelewa mwenzako kumbe ni lugha tu zimetofautiana, tunazungumzia kitu kile kile
Changamoto sisi tunazopitia Chelsea ukubwa wake uko kwa kocha na wala sio ugeni wala ukosefu wa uzoefu wa wachezaji kama wengine wanavyosema
Tangu Pochettino aje hajawaelewa wachezaji wake sawasawa na kama anawaelewa basi ni mbishi
Yeye anaona kabisa Enzo alicheza vizuri wakati wa Potter alivyotumika kama Jorgninho kwenye namaba 6 (Regista role), yeye mara ampe namba 8 mara ampe namba 10
Caicedo naye ni kiungo anayecheza vizuri akipewa uhuru na role pekee inayompa uhuru kiungo mwenye uwezo wa kukaba na kutengeneza mashambulizi ni B2B. Palmer akicheza RW anakuwa huru ila yeye anamlazimisha kwenye namba 10.
Mabeki wetu wazuri kabisa CB hodari waliotakiwa na timu kubwa kubwa kama Colwill anamlazimisha acheze LB huku Maatsen ambaye ndiyte mtaalamu wa hiyo nafasi yuko nje
Colwill anacheza LB huku Chilwell aking'ang'anizwa acheze winga huku wataalamu wa wings kama akina Mudryk au Sterling wako tu
So ndugu yangu tunaweza kuwa tuna tofauti ila kwa sehemu kubwa ni tofauti ya kuelezea
 
Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira
Mashabiki wengi wa timu gani wanazijua technical issues za mpira? Watanzania kwa kujisimu hatujambo.
Technical issues za mpira hauna ubingwa bali ni kutokana na maono ya mtu kwa wakati huo, ukitaka kuelewesha watu kwa kile ulichonacho kama unaona inaweza kuleta faida kwa mwingine itoe bila kukejeli kwani na wewe kuna kuna nyanja unaweza usiwe vizuri na watu wabobezi itabidi wakujuze.

Tofauti na hapo utafia na maarifa bila kukirithisha kwa wengine ukidhani unapoteza muda.
 
Pole kama umekua offended
 
Ila leo kuna kitu nimenote baada ya kutoka Enzo , Ghallagher na Caicedo (viungo punda ) walivyobaki wao pale kati kulikuwa na utulivu sana tangia muda ule ,na ulibondwa mpira mwingi sana , Newcastle hawakufurukuta tena na mpira hawakuugusa kabisa ,wote akina Guimares , Gordon ,Elmiron na wenzao , walipotea na kabisa
Bado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.

Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
 
Tulia ww...mpo nusu fainali Carabao🤠🤠...unataka nn tena.... Pochetino apewe mda kwakwli
 
Bado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.

Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
Hamna kitu kinanikera kama backpasses , ule ni ujinga sana
 
Bado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.

Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
So unaona asenyeto wanavyocheza mpira fresh ,sasa sisi kupoteza muda kwa backpasses za kipumbavu badala ya kucheza direct attacking football
 
😂😂 puchetino ni sawa na Arteta tu, uwezo mdogo. Huwezi kunielewa kwa sasa mpaka ikifika may ndio utaamini.
Usimfananishe Arteta na vitu vya ajabuajabu....Klopp ilimchukua miaka minne kufanya hiki anachokifanya Liverpool ingawa alitoka Dortmund akiwa amefanya jambo....pili Arteta ile kazi ya Arsenal ndo ya kwanza kwake kama kocha mkuu wakati Pochinene ameshazunguka klabu za kutosha....kwhyo pambaneni mfanye vile anavyotaka yy sio mnavyotaka nyny waungwana🤠🤠🤠
 
Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira
Punguza ujuwaji wa kishamba unataka nijue kila technical issues za mpira mimi ni kocha ?asilimia 25 tu (Basics )inanitosha kunipa awareness ,mengine naendelea kueleweshwa kama mwenye akili alivyo toa maelezo hapa ,hata makocha hawajui kila kitu,unyoandika mashabiki wengi wa Chelsea hawajui,kwa hiyo wa man u,arsenal , Liverpool wanajua tecnical issues.Huu ni USHAMBA .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom