Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii

Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii

Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii
Hata Mesi asingeweza kupiga chenga hapo, akili za bata

Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii

Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii
 
Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii
Yaani huyu kwa zile mechi 9 tu alizovuma Vilareal tukamsajili kweli!

Sanchez superman 😂

One season wonder
Wako wapi sasahivi Leicester city ya 2016

"Smart business" mind this word

One of the destroyer were you Rent boys you took Kante and Drink water to burry them.

Same will happen to Brighton! They've already lost MacCalister, Caisedo and more to come.
 
IMG-20231214-WA0005.jpg
 
Graph ipi unazungumzia Jamaa, Katika Game zote alizocheza Emery Arsenal ukilinganisha na Arteta anamzidi kila kitu. NTASUBIRI HAPA HIZO GRAPH UNAZUNGUMZIA ZA ARTETA KUMZIDI EMERY akiwa ARSENAL. Msimu wake wa Kwanza tu Emery kamaliza nafasi ya 5 na amekaa Miezi 18, ARTETA Msimu wa 5 huu timu imeingia TOP 4 mara 1,

Hizi ni takwimu kutokana na idadi ya Mechi sawa za Mwanzo. Nasubiri "KUFELI KWAKE"
Played: Emery: 78 – Arteta: 77
Won: 43 – 42
Drawn: 15 – 14
Lost: 20 – 21
Goals scored: 156 – 136
Goals conceded: 105 – 86
Points (all comps): 144 – 140
PPG (all comps): 1.85 – 1.82
Premier League points: 88 – 78
Premier League PPG: 1.73 – 1.53
Overall win percentage: 55% – 54%

KANTE Umemzungumzia kama "LONE DM" akiwa Leicester, sina Hakika kama ulikuwa unaangalia Mechi za Leicester!! Claudio Ranieri anatumia 4~4~2, Winga zake ALBRIGHTON na MAHREZ, Cm's zake DRINKWATER na KANTE, Fwd Okazaki na Vardy.
Sasa Mfumo wa 4~4~2 Unatumiaje "LONE DM" hasa kwa timu ambayo inacheza kwa kujilinda tu hapa tunawazungumzia LEICESTER!

KANTE Chelsea kaanza tumika kama "Lone 6" wakati LAMPARD anatumia mfumo wa 4~3~3. Na kiasili KANTE B2B sio nafasi alokuwa anacheza Kwa TT, alikuwa anatumika kama Mvurugaji ama kama wao wanaovyoita "DESTROYER/ HYBRID" hana nafasi maalum ya kukaba ama eneo. Na kama unakumbuka fainali ya UCL, Admin wa CITY alitania wakati wa HT kwamba wangekuwa na matokeo mazuri lakini KANTE yupo kila mahali!
mkorea
Emery alifeli vibaya Sana Arsenal ,Hana tofaut na ETH ,wanafanana vitu vingi

Emery Ni moja ya makocha wa ovyo kupita Arsenal ,

Ukitaka nikuelezee kuhusu Emery alivyoivuruga Arsenal naweza kutumia siku nzima
 
Nimejitahidi kumpa jamaa takwimu na ushahidi ya jinsi alivytoshindwa kuwasiliana na wachezaji, uongozi na kila mtu karibu yake jamaa mbishi kweli kweli
Unai ni Kocha mzuri ila Arsenal ulikuwa mfupa mgumu kwake
 
Lembu Hakuna Mahala nimekubishia Chochote! Umanambia EMERY alikuwa na Takwimu mbaya ARSENAL NA habari za Graph ambazo unazo wewe peke yako, Nimekuletea Takwimu zake kwamba Hakuwa Mbaya nikakuambia nasubiri za Kwako na Graph zako ulikuja kusema HUJUI sasa Kwa nini unadiriki kuhitimisha Mimi ni Mbishi!

Hili ni jukwaa la CHELSEA na mada ya EMERY haikupaswa endelea nikakuacha kama una takwimu zilete HAPA ama nitag Jukwaa LA UTD ama ARSENAL,

Usipendelee kauli yako kuwa Hitimisho kama huna HOJA ama Takwimu lembu ! Mi nasubiri hizo Graph zako wewe na hamis77 za kwamba EMERY alifeli Arsenal.
 
Vs Sheffield United
Petrovic
Disasi Thiago Badiashile Colwill
Caicedo Galagher
Sterling Palmer mudryk
Jackson
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom