Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

lembu ulini-Quote Mimi,
Hoja yangu kubwa kwako ni kukataa ufananisho wa Caicedo na Kante kiuwezo.
Kuwa "Box to Box MD" lazima namba zako ziwe na Uwiano Mzuri kwenye Box lako na Box la Mpinzani. Kila mtu anayefanya "Pressing" kila Pande ya Uwanja huwezi muita "Box to Box"

Timu nyingi zinazuia kulingana na "ZONES" za Uwanja wengine wanaanzia Juu wengine kati ya Uwanja na wengine wanazuia kwenye eneo lao.

Kuitwa B2B lazima namba zako Kiulinzi ziwe Nzuri na Vile vile kiushambuliaji ziwe Juu. Hilia Jina linatumika Vibaya. Niletee namba za KANTE na Caicedo Kwenye ushambuliaji.
Mfano wa B2B ni YAYA, LAMPARD, GERRARD, POGBA, BELLINGHAM, BARRELA, SAVIC, ILKAY, et al. Wenye uwiano mzuri wa Kushambulia na kuzuia. Unamwitaje CAICEDO "BOX TO BOX" na anakuwa na msaada mkubwa zaidi mbele ya Box lake kuliko la Mpinzani!!
NASUBIRI NAMBA ZAKE KWENYE KUSHAMBULIA!

USIZUNGUKE UKIWA NA HOJA NI-TAG ,
Takwimu zilingane kwani hao wachezaji ni marobot, unaonyesha jinsi usivyojua hata chemmbe ya soka
Tunaposema wachezaji hawa wanafanana ni vitu vichache tunaangalia
  1. Wote ni box to box
  2. wote wanajua kutackle
  3. wote wanauwezo mkubwa kufanya ball recoveri
  4. wote wanajua kuusoma mchezo
  5. Wote wana uweoz wa kusaidi safu ya ushambuliaji na hapo hapo kusaidia mabeki kukaba
Hizi za data kulingana ni uchizi uliopitiliza. Hao sio robot wanaoendeshwa na kompyuta kila kitu kifananne
Halafu usikwepe mada, wewe ulikuwa nalazimisha Caicedo ni DM, kitu ambacho nimekukatalia na nimeweka ushahidi hadi maoni ya nguli wengi wa soka. Mchezo na Shefield United ilionyesha pia wazi kuwa Caicedo anacheza vizuri akicheza kioungo advanced role na natumaini ninaposema Advance3d role unaelewa
Advanced role ni majukumu ya kusaidia mashambulizi kama kiungo
 
Sikwepagi Mada LEMBU, Nilikukatialia Kumfananisha KANTE na CAICEDO kwa kusema ni "Copy & Paste" Kila Kitu.

CAICEDO hakuna sehemu yeyote anatambulika namna nyingine zaidi kiungo wa kati Makujumu ya Ulinzi "DM" Sikulisema Mwanzo ukanambia nimesema ila Upo sahihi yeye ni DM.
Nadhani maana ya "BOX TO BOX" hujaijua bado, Huwezi itwa hilo jina kama huwezi kuwa na Mchango wa Namba nzuri kwenye Kushambulia.

CAICEDO ni "Destroyer ama Hybrid" Ndo kwenye kandanda tunawaita Viungo Punda Hii inakuwa ni Majukumu tu kulingana na Mahitaji ya Mwalimu, ila kiuhalisia ni Kiungo wa kati. Huna namba zake zinazoonyesha Madhara yake kwenye Box la Mpinzani unawezaje kumuita Box to Box!?
 
Moises Caicedo:

"N'Golo Kante na Paul Pogba walikuwa niliovutiwa nao katika soka."

"Kukutana na N'Golo Kante - ilikuwa ni siku ya kushangaza. Nilikuwa Brighton, kwenye benchi. Nadhani matokeo ilikuwa 1-1. Baada ya mchezo, nilikimbia moja kwa moja kwa Kante kubadilishana shati. Alisema 'ndiyo, bila shaka'.

"Alikuwa mkarimu sana kwangu. Ilikuwa wakati wa ajabu kwangu kwa sababu nilikutana na mchezaji ninayevutiwa naye sana kwenye soka." #CFC
1702959358929.png
 
lembu ulini-Quote Mimi,
Hoja yangu kubwa kwako ni kukataa ufananisho wa Caicedo na Kante kiuwezo.
Kuwa "Box to Box MD" lazima namba zako ziwe na Uwiano Mzuri kwenye Box lako na Box la Mpinzani. Kila mtu anayefanya "Pressing" kila Pande ya Uwanja huwezi muita "Box to Box"

Timu nyingi zinazuia kulingana na "ZONES" za Uwanja wengine wanaanzia Juu wengine kati ya Uwanja na wengine wanazuia kwenye eneo lao.

Kuitwa B2B lazima namba zako Kiulinzi ziwe Nzuri na Vile vile kiushambuliaji ziwe Juu. Hilia Jina linatumika Vibaya. Niletee namba za KANTE na Caicedo Kwenye ushambuliaji.
Mfano wa B2B ni YAYA, LAMPARD, GERRARD, POGBA, BELLINGHAM, BARRELA, SAVIC, ILKAY, et al. Wenye uwiano mzuri wa Kushambulia na kuzuia. Unamwitaje CAICEDO "BOX TO BOX" na anakuwa na msaada mkubwa zaidi mbele ya Box lake kuliko la Mpinzani!!
NASUBIRI NAMBA ZAKE KWENYE KUSHAMBULIA!

USIZUNGUKE UKIWA NA HOJA NI-TAG ,
unachanganya B2B na Attacking midfield, Lampard pure attacking midfield hata namba zinakuonyesha wazi , alipatikana 85-90 parcent box mpinzani kuliko la kwake , angalia recovery kafanya ngapi,? tackling ? blocks ?
 
Enzo ni aina ya Toni Kroos au gorgihno at his best ,kiufupi ni centra midfield na deep playmaking midfield ,anapaswa kuchukua mali nyuma mbele yake awe na DM na mbele yao awe na B2B ,ndivyo alivyokuwa anacheza benfica na anavyocheza Argentina.
 
Huwa naona Poch ni kama anabeef au chuki ya kuwaonesha watu Enzo hafai huwezi kuwa unamchezesha mchezaj katika position ambayo
Sio ya kwake nahauwezi pata ubora alionao kwa kumchezesha No 10

Yani Tuna Kocha ambae ni Clueless same mistake kila games.
Tangu lini Enzo akawa 10 yani ni kama kutaka kumfelisha mchezaj kwa maksudj
 
Tumeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati,baada ya matokeo ya 1-1 ,ila naendelea kujifunza matumizi mabaya ya Enzo .Poch anaendelea kutukosea ,enzo namba 10 ni useless dogo anajua kupiga pass na controller wa mechi

Nishasema hichi kitu Ila kuna watu hawataki kuelewa

Kingine ni matumizk mabaya ya RB huwez kuaa na Gusto halaf umuweke bench then Disas ndio acheze RB ni ujinga wa hali ya juu.

Tuko hapa Poch sio mtu sahihi
 
Ila leo kuna kitu nimenote baada ya kutoka Enzo , Ghallagher na Caicedo (viungo punda ) walivyobaki wao pale kati kulikuwa na utulivu sana tangia muda ule ,na ulibondwa mpira mwingi sana , Newcastle hawakufurukuta tena na mpira hawakuugusa kabisa ,wote akina Guimares , Gordon ,Elmiron na wenzao , walipotea na kabisa
 
Huwa naona Poch ni kama anabeef au chuki ya kuwaonesha watu Enzo hafai huwezi kuwa unamchezesha mchezaj katika position ambayo
Sio ya kwake nahauwezi pata ubora alionao kwa kumchezesha No 10

Yani Tuna Kocha ambae ni Clueless same mistake kila games.
Tangu lini Enzo akawa 10 yani ni kama kutaka kumfelisha mchezaj kwa maksudj
Jana ilijionyesha kuwachezesha wachezaji nje ya position
CB wanacheza kama fullbacks wakati fullbacks wazuri unao
Disasi hawezi kupandisha mashabulizi na hivyo hivyo Colwil huku unae Gusto na Maatsen wamekaa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom