Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 299
- 518
Sema kuna aina ya makocha ni tofauti sana wapo ambao wanaitaji muda angalau msimu mmja upite, ule unaofuata ndo wanaonyesha walichonacho ila kwa uzoefu wa poch nashindwa kuamini ni kocha wa aina iyo kabisa.