Dakika ya 26 REECE JAMES out haya ni majeraha yanaendelea kumuandama hapa tutegemee kumuona mwakani
Kuna tofauti kati ya kumboresha mchezaji wenye experience na kumboresha mchezaji ambaye hana experience.
Poche kwa sasa haboreshi experience bali anafunga pampas.
Mchezaji gani hapo hana experince, au una maana gani kwa experienece, kuwa na wazee kwenye tim u kama akina Silva au? Wachezaji hao wote walikuwa waancheza vizuri, ni world class, timu zingine zinazofanyua vizuri wamechukua wachezaji toka ligi zingine. Kocha anawajibiuka kwa timu icheze vizuri au vibaya. Muda unapozidi kusonga mbele utaelewa haya manenoKuna tofauti kati ya kumboresha mchezaji wenye experience na kumboresha mchezaji ambaye hana experience.
Poche kwa sasa haboreshi experience bali anafunga pampas.
Hata hao wenye experience ameshindwa kuwaboresha. Kashindwa kwa Messi, Mbape Neymar, hawa wachanga atawezaKuna tofauti kati ya kumboresha mchezaji wenye experience na kumboresha mchezaji ambaye hana experience.
Poche kwa sasa haboreshi experience bali anafunga pampas.
Badiashile ni mzuri, katulia, ni mzuri hewani. Colwill anazo tallent tofauti na Badiashile na wote ni wazuriItanichukua muda kuamini Badishaile anaanza mbele ya Colwill ,naona POCH ananidanganya kabisa .






ila poch


