computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Majirani mmezidi kukungutwa sasa this is too much for you guys
Na wachezaji nao kama marobot hayajiongezi kuweka ubunifu kutafuta magoli
Hata ile approach ya pre season angeenda nayo tungekuwa mbali. Kila mechi anakuja na mapya hadi wachezaji wanashindwa kumuelewaYani tulilkosea sana Kumuappoint Poch kulikuwa hakuna haja ya kwenda na pre season na huyu bumunda
Kwmba wamezidi kukung'utwa🤣🤣🤣...Hawa iende hivihivi kwakwli...Kimbukiko na Mkohoti ni wasumbufu sanaMajirani mmezidi kukungutwa sasa this is too much for you guys
Mpo kwny kujenga kikosi Bro...au siyo🤠🤠Na wachezaji nao kama marobot hayajiongezi kuweka ubunifu kutafuta magoli
Taratibu tutaongea tu lugha 1 hivi karibuni, niliwaambia sina imani kabisa na Pochettino sababu hana kombe lolote pia hanaga plan B timu ikishajichanganya.Yani tulilkosea sana Kumuappoint Poch kulikuwa hakuna haja ya kwenda na pre season na huyu bumunda
🤣🤣🤣Nendeni china mkamnunue manzoki
Kwmba wamezidi kukung'utwa...Hawa iende hivihivi kwakwli...Kimbukiko na Mkohoti ni wasumbufu sana






laana ya abrahamovih haitawaacha salama bluesnaona record ya potter ikivunjwaView attachment 2838882
Chelsea bado tunaimani na top 4 basi hatuna tofauti na paka



