hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,423
- 26,976
Nilishaelezea Project ya Chelsea inahitaji miaka miwili iive , wamepata kocha mzuri mwenye talent ID,mbinu na ufundi wakufundishaNyie jamaa mnaenda kutengeneza project ya kibabe sana pale EPL.
Mashabiki walimkataa Gallagher wakamtaka Joao Felix
Lakini hapo ndipo unaona utofaut wa 7 hag na Poch ,
Poch ameamua kufata misingi yakujenga timu shindani,
Kwasasa unajua kabisa wanaelekea wapi ,wapi waboreshe ,
Wangetaka matokeo ya zimamoto Kama mwafulani , Hali ingekuja kuwa mbaya Sana
Angalia msimamo utaona 7hag anafanya mambo ya Zimamoto ,baada ya muda atakuwa anapiga hatua moja mbele anarudi 10 nyuma .
ili uwe na timu imara ya kushindana mataji itakayokaa muda mrefu ,unahitaji kutoangalia matokeo Bali Jenga timu ya miaka 5-7 mbeleni