Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80. Walikuwa wanambeza Conor Gallagher wako wapi?
 
Kitu
1699815390765.gif
 
Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80
Nadhan alijua Atapigwa na city so akaamua kumlinda Kwa ajili ya mechi zijazo.
 
Maoni yangu Yule Palmer sio wa nchi hii hivi tungemsajili jao Felix huyu mtu tungempataje? next time kocha awe anampanga bachiashile over disasi pia kocha alifanya mapema sana kumtoa James hata kama anamlinda dhidi ya injury angalau angemtoa dk ya 75-80. Walikuwa wanambeza Conor Gallagher wako wapi?
Nimemuinulia mikono Ghallagher. Anacheza kama timu mali ya baba yake ,
Hamna anayevuja jasho kama yeye pale Chelsea
Tungemuuza Spurs au Newcastle wangeenda kumfanya kuwa beast na wangesumbua sana epl ,kwa pumzi ya yule dogo
Big up sana ,
 
Nilichogundua wengi hawafuatilii mpira kiundani wanaangalia juujuu tu hasa magoli. Ndio maana comments za kumponda Gallagher zilikua nyingi. Ila kama wengi tungekua tunafatilia mechi in deep lawama zisinfekua nyingi kwa Gallagher.

Dogo ni mchezaji mzuri sana toka alipokua kwa mkopo Crystal Palace chini ya Vieira. Alipata mechi nyingi na dakika za kutosha so mpaka mkopo wake unaisha alikua kashatosha ila kinachowaathiri wachezaji wengi ni badili ya makocha haimpi mchezaji nafasi ya kuonesha alichonacho. Ndicho kilichomkuta Gallagher. Sasahivi confidence anayo, energy, na uzuri anajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom