Tulichokuwa tunakililia sasa hiv Poch anakifanya na matokeo yanaonekana
Mwanzon ilikuwa upuuzi wa hali ya juu kumchezesha Enzo 10 na Chilwell 11



Huku njee ukiwa na Palmer na Mudryk
Tangu ameanza kuchezesha wachezaj kwenye mafasi zao sahihi matokeo yameanza kupatilkana
Kitu cha kuimprove
1. Dhidi ya team zinazopark bus (low block) namna ya kuzifungua na kiwa clinical game dhid ya Brentford Palmer alitengeneza chance 3ambazo zilipaswa kuwa magoal
2. Mipira ya juu -Inatutesa sana kwenye kujilinda hasa hasa hiz free kick. Tunahitaji kuwa vizuri hapa