Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu Sterling hata kama huwa hayuko consinstence ila match ya City alideserve 100% man of the match,

Alisumbua sana ile winger ya kushoto, Ilikuwa ni Nightmare kwa Walker na Rodri, Hata alipohamia kulia bado alikiwasha, nayakumbuka matukio mawili, Cross aliyimpa Broja na baadae ikazalisha penaly na Chance aliyompa Gusto akakosa.

Pia Callagher alifanya juhudi kubwa sana, kwenye goal la tatu, Yeye ndio alipokea mpira na kumpa mudryk kabla ya kuja kuupokea tena baadae na kushoot kabla ya keeper kucheza na Jackson Kumalizia.
 
Tangu waondoke Hazard, Willian na Pedro winga zilizofuata zilikuwa za ovyo sana.

At least Sterling ameanza kuonyesha uhai kwenye winga zetu.

Magoli yanatakiwa yapatikane kutoka pande zote mawinga na striker.

Mudyk tunaendelea kumpa nafasi ila Madueke mkopo unamuhusu.
Maduake bado kalala benchi litamuhusu sana
 
Huyu Sterling hata kama huwa hayuko consinstence ila match ya City alideserve 100% man of the match,

Alisumbua sana ile winger ya kushoto, Ilikuwa ni Nightmare kwa Walker na Rodri, Hata alipohamia kulia bado alikiwasha, nayakumbuka matukio mawili, Cross aliyimpa Broja na baadae ikazalisha penaly na Chance aliyompa Gusto akakosa.

Pia Callagher alifanya juhudi kubwa sana, kwenye goal la tatu, Yeye ndio alipokea mpira na kumpa mudryk kabla ya kuja kuupokea tena baadae na kushoot kabla ya keeper kucheza na Jackson Kumalizia.
Pace kubwa ya Mudryk ndio ilizaa goli la tatu, natamani Poche awe anamanage dakiak anazompa vizuri ili akomae
 
Utashangaa hapo ndipo tukapata points nyingi. Refer game ya Liverpool
Halafu kinachotuangusha ni silly individual mistakes plus defense yetu bado haiko stable
Silva msimu huu atatutobolesha sana
Colwill na Disasi bado wachanga. Kipa Sachez kimeo kuliko Kepa
Mbele hakuna no 10 creative, Jackson bado sana
Chukwumekea alishajua naman ya kuwachezesha wenzake hasa mbele
Nkunku ni mzoezu ila yuko kitandani
James Mr Captain yuko wodini
Hii Chelsea tukitoboa msimu huu basi tu

Sio rahisi Chelsea kupata alama 3 kwa sasa hivi mbele ya City, United, Arsenal, Newcastle, Brentford, Aston Villa au Brighton hata kama hizi timu zisipokuwa na form mzuri.

Kosa kubwa sana la kiufundi lilofanyika Chelsea ni kuondoa wachezaji wazoefu kwa mkupuo bila kuwa na mibadala sahihi. Vijana wadogo hawawezi kukufikisha popote pale.

Hakuna timu barani Ulaya imewahi kufanya vizuri na kikosi kilichosheheni vijani wadogo kwa zaidi ya asilimia 70%. Jaribu kufanya observation kipindi Manchester United ikiwa ya moto chini ya Fergie, Arsenal ya invicibles chini ya Wenger, Barcelona ya Rijkard, Guardiola na Enrique, Madrid ya Ancelotti na Zidane, Bayern, Liverpool hata Chelsea ya Mourinho pamoja na City ya sasa hivi ya Guardiola.
Bado wewe ni mfahidhina wa akili, kwa spurs, Arsenal na City tayari tuna pts 5 na hatujapoteza game
 
Kushuka daraja sasa kunaonekana kuwa tegemeo la kweli kwa wapinzani wa Manchester United, Man City na Chelsea! Kukatwa kwa pointi 10 kwa Everton kulikuwa kwa ukiukaji mmoja wa kanuni za Ligi Kuu, huku City wakishtakiwa kwa makosa 115. Kwa kuzingatia adhabu iliyopewa Everton, tishio la kupunguzwa kwa pointi 30 au kuteremka daraja moja kwa moja kutoka kwa Premier League lingeonekana kuwa la kweli kwa City na Chelsea iwapo mashtaka yatathibitishwa katika tume huru ya udhibiti
 
Ukishuka tunashuka nayo ikipanda tunapanda nayo
 
Wakifanya hivyo bora TFF mara 1000 kuliko hao FA, mpira unakuja kuzoroteshwa na sheria za kiduanzi. Bora wangeweka tu faini za pesa hata kama ni nyingi ili isije ikaaffect performance na ubora wa ligi. Najua City na Chelsea wakishushwa daraja ni msimu ujao tu tunarudi tena kwa hasira zaidi lakini EPL inapata doa kubwa sana kuliko hii iliyokwisha jijengea. EPL pia itakosa mapato kwa kuondoa timu shindani na kuzibakiza makanjanja
 
Why apew nafasi tu
Huyo kama ni mchezaji mzuri kashapewa nafasi za kutosha, Laiti hizo nafasi alizopewa broja including mkopo Southamptom na baadayae Chelsea kabla hajaenda majeruhi angepewaga Salah, saa hizi Salah angekuwa ni wetu
Broja kama atakuja kuwa mzuri labda akiwa na miaka 25 hadi 27
 
1700385165823.png
 
Wakifanya hivyo bora TFF mara 1000 kuliko hao FA, mpira unakuja kuzoroteshwa na sheria za kiduanzi. Bora wangeweka tu faini za pesa hata kama ni nyingi ili isije ikaaffect performance na ubora wa ligi. Najua City na Chelsea wakishushwa daraja ni msimu ujao tu tunarudi tena kwa hasira zaidi lakini EPL inapata doa kubwa sana kuliko hii iliyokwisha jijengea. EPL pia itakosa mapato kwa kuondoa timu shindani na kuzibakiza makanjanja
Bado nakataa Chelsea na City kwamba hawo wengine hawana ushawish wa kimapato? No

Timu ambayo ikishushwa daraja ligi itatikisikq ni man united. Asikuambie mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom