Si Ndio ambazo zinatusumbua labda kama kocha awe amepata solutionMechi zilizobaki hadi mwaka uishe ni timu ndogo tu!
Si Ndio ambazo zinatusumbua labda kama kocha awe amepata solutionMechi zilizobaki hadi mwaka uishe ni timu ndogo tu!
Itategemea na mfumo atakaochezesha but kama ni striker mmoja Nkuku atachukua nafasi ya Jackson kule pembbeni sterling na Palmer wanakiwasha sana but kwa upande wa Laiva ana kazi kubwa sana ya kuchukua namba ya Kati ya Enzo au Conor Gallagher na CaicedoRomeo Lavia na Christopher Nkunku watakuwa full fit baada ya international break. Nini maoni yako
Unafikiri ni wachezaji gani watakosa namba baada ya wao kurudi?
View attachment 2813093
Kwa Nkuku naona anaingia moja kwa moja kwenye kikosi jamaa analijua sana goal sio mtu ambaye akakosa ovyo ovyo kama Jackson, ana skills za ufungaji kwa kiwango mkubwa, ana kasi, ana jicho la kushambulia half space na ni mzuri pia kwenye kufanya movement ndani ya 18Pengine hawa ndio wanaweza kukosa namba kwa kikosi cha sasa.
Gallagher hatoki tena 1st eleven anakiwasha balaa na tunahitaji zaidi energy yake.
Jackson anaendelea kufunga mechi after mechi, sterling ameanza kutumikia rasmi jezi ya THE BLUES hataki masihara tena.
Ila kurudi kwa Lavia na Nkunku ni Habari njema kikosi kinaendelea kupanuka na ushindani utaongezeka katika kugombania namba hence matokeo mazuri uwanjani.
Ubora wa kila mchezaji uwanjani ndio utaamua nani aanze nani sub. Lavia na Nkunku warudi kwanza watuonyeshe ubora wao dhidi Enzo, Gallagher, Jackson, Sterling.
Hawa waingie taratibu dk 15 za mwisho kama mechi tano wasije kuumia Tena .Romeo Lavia na Christopher Nkunku watakuwa full fit baada ya international break. Nini maoni yako
Unafikiri ni wachezaji gani watakosa namba baada ya wao kurudi?
View attachment 2813093

Huyo Sterling alikuwa na malengo mawili, kumsalimia PEP na Southgate wa timu ya Taifa. Hayo mambo yakipita Sterling will be back to defaultKwa Nkuku naona anaingia moja kwa moja kwenye kikosi jamaa analijua sana goal sio mtu ambaye akakosa ovyo ovyo kama Jackson, ana skills za ufungaji kwa kiwango mkubwa, ana kasi, ana jicho la kushambulia half space na ni mzuri pia kwenye kufanya movement ndani ya 18
Tunamiliki mpira hadi 80% halafu tunatoka tumedunguliwa kagoli kamojaSi Ndio ambazo zinatusumbua labda kama kocha awe amepata solution
Naona akiichukua nafasi ya Sterling na Mudryk, hao watakuwa Sub kuanzia JanuaryItategemea na mfumo atakaochezesha but kama ni striker mmoja Nkuku atachukua nafasi ya Jackson kule pembbeni sterling na Palmer wanakiwasha sana but kwa upande wa Laiva ana kazi kubwa sana ya kuchukua namba ya Kati ya Enzo au Conor Gallagher na Caicedo
Hao akina Enzo ni Rahisi sanaItategemea na mfumo atakaochezesha but kama ni striker mmoja Nkuku atachukua nafasi ya Jackson kule pembbeni sterling na Palmer wanakiwasha sana but kwa upande wa Laiva ana kazi kubwa sana ya kuchukua namba ya Kati ya Enzo au Conor Gallagher na Caicedo
Sterling msimu huu yupo vizuri sio kwasababu tu ya Southgate na Pep game nyingi tu katubeba au umesahauHuyo Sterling alikuwa na malengo mawili, kumsalimia PEP na Southgate wa timu ya Taifa. Hayo mambo yakipita Sterling will be back to default
Mchezaji mwenye consistency nzuri kwenye LW atakuwa ni Nkunku, Sterling atabaki azibe viraka na Mudryk hadi akomae
Alianza kucheza vizuri wakati amegundua kaachwa na SouthgateSterling msimu huu yupo vizuri sio kwasababu tu ya Southgate na Pep game nyingi tu katubeba au umesahau
Kwanini huna imani naeMabao wana imani na Broja wapite hapa
Mimi sina imani naye kabisa
Mtumishi hewa huyuKijana anakula pension tuu. View attachment 2813802
Atengeneze mfumo wa rotation Tu kama city wanavyofanya ,haitakiwi mtu mmoja kuhodhi nafasiNaanza kupata wasiwasi na ugomvi kati ya wachezaji na kocha kuhusiana na muda wa kucheza. Kocha itabidi awe makini sana namna ya kuwapa hawa wachezaji nafasi ya kucheza..Lesley, Enzo, Caisedo, Mudryk, Lavia, Palmer, Ghalagher
Atakayevurunda benchi na ayakayechoka nje .Naanza kupata wasiwasi na ugomvi kati ya wachezaji na kocha kuhusiana na muda wa kucheza. Kocha itabidi awe makini sana namna ya kuwapa hawa wachezaji nafasi ya kucheza..Lesley, Enzo, Caisedo, Mudryk, Lavia, Palmer, Ghalagher
Yule dgo mkuu anaujua mpira sana mfatilie utaona alichonacho ndaniAtakayevurunda benchi na ayakayechoka nje .
Na kuwe na rotation
Wakifanya hivyo hata Lesley atapata Chance ,cha muhimu aonyeshe ana stahili hiyo nafasi ,nina mashaka kwa yule Santos