lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Nilikuwa najiandaa kumuuliza hilo swali na kuambatanisha alichokisema Arteta jana kuhusu wachezaji wa Chelseahamis77 ulisema hakuna mchezaji wa Chelsea anaingia kwenye kikosi chenu vipi sasa unaamini hivyo?
Arteta aipongeza Chelsea:
"Tulikuwa tunasogeza tu mpira bila kuwa na nia ya kuwatisha, na hilo ni jambo hatari sana kufanya dhidi ya timu bora kama Chelsea.
Hatukuweza hata kushinda mipira ya juu na kwenye maeneo yaliyobana sana tulipopata nafasi ya kufanya hivyo, walituepuka hapo, walishambulia maeneo ya wazi na ni hatari sana kwetu kwa kufanya hivyo, hivyo sifa kwao kwa sababu ni timu kubwa iliyojaa wachezaji wakubwa. inabidi kukiri hilo."

