Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nipo kiongozi ,as Mchambuzi nguli tunakutana na changamoto ngumu katika kazi yetu


Moja ya kazi ngumu Ni kuichambua manjesta ya tapeli 7hag

Tupo na jopo la wachambuzi hapa tunahangaika kujua manjesta wanacheza brand gani ya football


View attachment 2790116
We kuna siku man u wakikujua watakumwagia tindi kali wallah 😂😂😂😂😂 sio kwa hizo spana. wamekukosea nn?
 
We kuna siku man u wakikujua watakumwagia tindi kali wallah sio kwa hizo spana. wamekukosea nn?
kwa ule mpira wa manjesta against kina Sheffield, Burney unaona Kuna mwaga?

Niliwaambia hata humu Poch Ni kocha mzuri anahitaji muda ,anaweka playing style ,anahitaji GK, CF aanze kupambania mataji ila sio 7hag ,nikaandamwa Sana

7hag ana mwaka wa pili, pre season 2 lakin timu inabutua butua na ana matured players compared na Poch

Mpe 7hag hii Chelsea anaishusha daraja

Mpe Poch ile manjesta anagombea ubingwa
 
Nipo kiongozi ,as Mchambuzi nguli tunakutana na changamoto ngumu katika kazi yetu


Moja ya kazi ngumu Ni kuichambua manjesta ya tapeli 7hag

Tupo na jopo la wachambuzi hapa tunahangaika kujua manjesta wanacheza brand gani ya football


View attachment 2790116

sawa sawa ndugu mchambuzi vipa mechi yenu ya kesho hujaleta jinsi Martineli atakavyowaua sevila pamoja na partey na Ode watakavyo wanyanyasa mido ya Sevila
 
Hatimaye Mungu ametufuta machozi, ametupatia fundi mwingine darajani. View attachment 2789923
Palmer ndiye alitangazwa MOTM game na Arsenal
Tunaye huyu na Chunwuemeka ni fundi wa pasi fupi fup0i tena za build up, kabla hajapata injury alikuwa onfire
Kule kulia tuna Angelo Gabriel na kule kushoto tunaye Mudryk
Tatizo liko kwenye striker tu simuamini Jackson na kabisaa simuamini Broja
 
Wapende wasipende, baada ya january, wapinzani wetu itabidi wachague wakutane na timu ipi

1698065715529.png
 
Bao la Mudryk dhidi ya Arsenal lilikuwa maalum kwake na kwa mashabiki na haswa bao dhidi ya Arsenal ambayo mashabiki wake walikuwa wakijiandaa kumzomea huko Emirate. Mashabiki wa Arsenal sasa watakuwa na heshima kubwa kwake.

1698068217735.png
 
Sijafurahi kbs kusuluhu, ila nimefurahi kijana mudryk kuwafunga hao kondoo, washike adabu yao. Sasa ndio mwendo kila tukikutana kijana mudi awachezee makalio.
Mwezi october
F9IeYWkacAA2m8s.jpeg
 
Sijafurahi kbs kusuluhu, ila nimefurahi kijana mudryk kuwafunga hao kondoo, washike adabu yao. Sasa ndio mwendo kila tukikutana kijana mudi awachezee makalio.
Mwezi october
View attachment 2790753
Kwamba Nketiah, Nunez, Rashford, mitoma hawajafunga goli msimu huu? Hivi Mashabiki wa kenge mnavutaga bhangi gani?
 
Kocha boya asingetakiwa afanye sub, kama jackson alimuingiza ya nini kupress hapress, madueke pia aliingia wa nini? Kutuonyesha rasta au?
Lakini hilo ndio soka. Muda mwingine Kocha unafanya sub ukiamini utabadili kitu. Muda mwingine unafanikiwa muda mwingine haufanikiwi, wachezaji wanatakiwa kuwa tayari muda wote.

Madueke angetoa pasi na Jackson kufunga ungemsifu sana kocha. Timu inaonekana kuelekea vema, tungoje majeruhi wote warudi tuone.
 
Kwamba Nketiah, Nunez, Rashford, mitoma hawajafunga goli msimu huu? Hivi Mashabiki wa kenge mnavutaga bhangi gani?
kondoo usipaniki, najua inauma kijana aliyewakataa ameanza kurudisha chenchi ya hela. tena dhidi yenu.
Soma vizuri hiyo ni kwa muda gani.
 
Wanaume wanapambana kwenye usiku wa UEFA, nyie mmekalisha makalio chini kazi kukuna nazi!

Kenge nyie!
 
Nikiangalia mpira anaofundisha Pochetino na vitoto vyake ,Kisha nikiangalia na mpira anaofundisha 7hag na kikosi chake Cha wachezaji wengi matured , ndipo nagundua hata ulaya Kuna makocha wabovu

Najiuliza 7hag alisomea chuo gani Cha ukocha


Nani alimfanyia vetting process Hadi kupewa aifundishe timu Kama manjesta
 
MANCHESTER UNITED MANAGERS SINCE 1986

1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. Jose Mourinho
5. Ole
6. Rangnick
7. Erik Ten Hag
TOTAL Premier League trophy =20

ARSENAL MANAGERS SINCE 1986

1.Gerge Graham
2.Bruce Rioch
3.Arsene Wenger
4.Unai Emery
5.Arterta
TOTAL Premier League trophy = 13

CHELSEA MANAGERS SINCE 1986
1.Bobby Campbell
2.Jan Borterfield
3.David Webb
4.Glenn Hoddle
5.Ruud Gullit
6.Gianluca Vialli
7.Ray Wilkins
8.Claudio Ranieri
9.Jose Mourinho
10.Avran Grant
11.Felip Scolari
12.Ray Wilkins
13.Guus Hidink
14.Carlos Ancelotti
15.Andrew Villas Boas
16.Robert Di Matteo
17.Rafael Benitez
18.Jose Mourinho
19.Guus Hidink
20.Antonio Conte
21.Sarri
22.Lampard
23.Paul Ngei
24. Emmanuel Ogbeche
25.Achieng Oneko
26.Jomo Kenyatta
27. Hon Henry Ophori
28.Bildad Kagia
29.Mwene Mutapa
30. Dele Baba Dee
31.Mekatilili Wamenza
32.Jehova Wanyonyi
33.Lwanda Magere
34. Omo'ba Leke Adegbite
35.Otto Von Bismarck
36.Vasco Da Gama
37.Christopher Columbus
38. Iyke Ekwensu Papiwater
39.David Livingston
40.Chimulilenji
41. Kondwani Nankhumwa
42. Grezelder Jeffrey
43. Dirisu Yakubu
44. Frank Lampard
45. Thomas Tuchel

TOTAL Premier League trophy = 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom