Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea yaani mmenikwaza sana, game ya kushinda kabisa ile, nafasi kibao mmepata halafu Wacko Jacko anaishia kufanya upuuzi tu kule mbele.
Game ya jana Arsenyau alikua anakula hata goli 5, mngetusaidia sana kupunguza makelele ya Masingeli na Co-wokers wake kwenye jukwaa lenu na jukwaa letu.
Hivi mna uhakika Sanchez jana alikua hajawabetia Arsenyau?
 
Sanchez ana ukichaa Yule , kuna muda akili zipo kuna muda akili zinapotea , dish linayumba .
Anakera
 
Ifike kipindi huyu Sanchez awekwe benchi anatugharimu mno yale makosa binafsi anayokuwa anafanya Ndio tumeazibiwa jana ni nafasi sasa apewe Yule kipa wa serbia tuliomsajili
Sachez ni kipa mzuri, Kocha ndio kazi yake ya kumfanya awe serious aache madharau
Poche amemtetea jana kuwa plana yao ilikuwa Chelsea icheze kuanzia nyuma. Sasa Sachez anatakiwa kujifunza Ball distribution kama anavyofanya Becker
 
Madueke na Jackson ni wachezaji wa Timu ndogo au mechi ndogo. Uwezo wao ndio umeishia hapo, Nkunku nafasi yake kikosini inamsubiria.

Dogo Palmer anatisha sana, akili kubwa ya mpira, bonge la usajili, umri wake hauendani na mambo makubwa anayofanya uwanjani, anazidi kuwa hatari day after day kadri timu inavyozidi kuimarika.

Mudyk ana kitu mguuni ila kuna rythim flani ya uchezaji anaikosa, hope atazidi kuimarika huko mbeleni.

Sterling amekuwa mdudu washa washa ameongeza kitu katika utulivu na maamuzi yake uwanjani.

Changamoto kubwa ya the blues bado ni kule mbele uwezo mdogo wa kuweka magoli wavuni, lazima dirisha la usajili January tuendelee kuliboresha.

Eneo la katikati na nyuma linaendelea kuimarika sana. Ila kwa kipa Sanchez hapana aisee either tumrudishe keppa au tufanye usajili wa kipa mwingine wa caliber ya the blues.

Hongera sana kwa Poch anaendelea kuimarisha timu kimbinu na kiuchezaji.
Halafu Jackson hayuko serious. Haonyeshi hata juhudi ya kufunga. Kujiposition ili apewe huduma afanyi
 
Chelsea team B ya akina Cucu na Gusto wao wanasema tunashangilia droo

------------Nkunku-------------

Sterling ----Gallagher -----Palmer

-----Caicedo --------Enzo--------

Chilwell ----Colwill ---Fofana ---James

-------------Sachez---------------

Sub
  1. Petrovic
  2. Gusto
  3. Disasi
  4. Badiashile
  5. Silva
  6. Cucurella
  7. Lavia
  8. Lesley
  9. Chukwuemeka
  10. Mudryk
  11. Madueke
  12. Maatsen
  13. Jackson
 
Chelsea yaani mmenikwaza sana, game ya kushinda kabisa ile, nafasi kibao mmepata halafu Wacko Jacko anaishia kufanya upuuzi tu kule mbele.
Game ya jana Arsenyau alikua anakula hata goli 5, mngetusaidia sana kupunguza makelele ya Masingeli na Co-wokers wake kwenye jukwaa lenu na jukwaa letu.
Hivi mna uhakika Sanchez jana alikua hajawabetia Arsenyau?
Wewe Nyumbu tulikubonda ,unataka vilema kenge fc wakusaidie

Upo sawa kweli[emoji1787][emoji1787]
 
Sare ya Jana isiwasahaulishe mpo nafas ya 11 na mnaelekea nafas za 12-15

Tuwekane kumbukumbu sawa
 
Madueke na Jackson ni wachezaji wa Timu ndogo au mechi ndogo. Uwezo wao ndio umeishia hapo, Nkunku nafasi yake kikosini inamsubiria.

Dogo Palmer anatisha sana, akili kubwa ya mpira, bonge la usajili, umri wake hauendani na mambo makubwa anayofanya uwanjani, anazidi kuwa hatari day after day kadri timu inavyozidi kuimarika.

Mudyk ana kitu mguuni ila kuna rythim flani ya uchezaji anaikosa, hope atazidi kuimarika huko mbeleni.

Sterling amekuwa mdudu washa washa ameongeza kitu katika utulivu na maamuzi yake uwanjani.

Changamoto kubwa ya the blues bado ni kule mbele uwezo mdogo wa kuweka magoli wavuni, lazima dirisha la usajili January tuendelee kuliboresha.

Eneo la katikati na nyuma linaendelea kuimarika sana. Ila kwa kipa Sanchez hapana aisee either tumrudishe keppa au tufanye usajili wa kipa mwingine wa caliber ya the blues.

Hongera sana kwa Poch anaendelea kuimarisha timu kimbinu na kiuchezaji.
Yupo Petrovic ni bonge la kipa sijui kwanini hapewi nafasi tangu amesajiliwa dirisha Hili la usajili.Jamaa anatosha hatuitaji hata kuwa na kepa
 
Sachez ni kipa mzuri, Kocha ndio kazi yake ya kumfanya awe serious aache madharau
Poche amemtetea jana kuwa plana yao ilikuwa Chelsea icheze kuanzia nyuma. Sasa Sachez anatakiwa kujifunza Ball distribution kama anavyofanya Becker
Huyo Sanchez hamgusi Petrovic kwa vitu vingi kwenye kudaka mpaka kwenye footwork kwanini kocha hataki kumpa nafasi?
 
Arteta aipongeza Chelsea:

"Tulikuwa tunasogeza tu mpira bila kuwa na nia ya kuwatisha, na hilo ni jambo hatari sana kufanya dhidi ya timu bora kama Chelsea.

Hatukuweza hata kushinda mipira ya juu na kwenye maeneo yaliyobana sana tulipopata nafasi ya kufanya hivyo, walituepuka hapo, walishambulia maeneo ya wazi na ni hatari sana kwetu kwa kufanya hivyo, hivyo sifa kwao kwa sababu ni timu kubwa iliyojaa wachezaji wakubwa. inabidi kukiri hilo."
 
Huyo Sanchez hamgusi Petrovic kwa vitu vingi kwenye kudaka mpaka kwenye footwork kwanini kocha hataki kumpa nafasi?
Labda kocha anataka kumjaribu kwenye mechi ndogo japo sioni hiyo dalili
Labda Petrovic hafanyi vizuri kwenye mazoezi!
 
Sare ya Jana isiwasahaulishe mpo nafas ya 11 na mnaelekea nafas za 12-15

Tuwekane kumbukumbu sawa
Pamoja na ubora walionesha Chelsea sema tu ni bahati imewabeba kupata draw but wachezaji wengi walio na injury wameanza kurudi James, bashichile, lavia mpaka tukija kukutana tena utatukuta tupo full mzee hatujazungumzia christopher nkuku mkuu
 
Labda kocha anataka kumjaribu kwenye mechi ndogo japo sioni hiyo dalili
Labda Petrovic hafanyi vizuri kwenye mazoezi!
Sio kweli kuna wakati makocha wanakuwa na choice zao mfano mzuri maguire na Southgate na ukizingatiwa pia amekuja ikiwa tayari kashachaguliwa Sanchez Ndio no 1 wetu so inakuwa ngumu kumbadili.Nafasi ni ngumu sana kufanyiwa mabadiliko ukilinganisha na nafasi nyingine za uwanjani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom