




Sisi ni chelsea kitambo, asanteni kwa dro ya leoTuko na nyie kmy kmy.
Hawa Gunners wanahitaj humbling leo.. Maana wanajisahau sana wanaongea tu hata ujinga.
HahaaaaHuyu Sanchez kila mechi ananusulika kutoa boko leo boko limekubali , tutegemee kuyaona maboko mengi zaidi huko mbeleni
Ndo kiwango chenu kimeishia pale?Huyo Ghallagher ni kiraka ,mamaeeee ,nasema hivi tunatishaaaaaaaaaaa
Unaongea nini sasaTuna kocha wa hovyo kuwahi kutokea, bora hata Potter wetu, mamaee.
Unamaliza Derby first half kwa team kama arsenal?Game tulikiwa tushaimaliza, ila uzembe wa Sanchez ndio umesababisha hii draw.
Hii game tulikiwa tunashinda,
Sanchez tangu yuko Brighton anamakosa ya hovyo
Aliskia kilio chako akakuzawadia na mgoli wa kutolea mahar ukweniNataka kijana wangu mudi aanze hii game leoView attachment 2788196
Hawa mbanga leo tungewanywa supu mapema sema ndio ivyo wamebahatisha drooNakumbuka gem ya Baku ilikuwa hiv hiv arsenal alikuwa anaonekana bora sana
tangu mechi ya kwanza nilipomuona nilijua tu tumepigwa sanchez ile ilikuwa biashara haramuGame tulikiwa tushaimaliza, ila uzembe wa Sanchez ndio umesababisha hii draw.
Hii game tulikiwa tunashinda,
Sanchez tangu yuko Brighton anamakosa ya hovyo
Arse8 matakataka tu hakuna timu paleUnamaliza Derby first half kwa team kama arsenal?