Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wapiga nyeto FC
20230901_180510.jpg
 
Mou aliona wivu huyo mdada Eva Carneiro alikuwa anatembea na Branislav Ivanovic

Kuelekea mwishoni mwa kibarua chake na The Blues, wakati huo chini ya Jose Mourinho, ripoti za mapenzi yake na Eva Carneiro ziliibuka. Uhusiano wa karibu kati ya Ivanovic na Carneiro ulionekana wazi kufuatia ushindi wa Chelsea dhidi ya Benfica kwenye UEFA Europa League 2013. Beki huyo alimnyanyua chini wakati wa sherehe na kumzungusha kabla ya kumruhusu kugusa ardhi.

Kwa sasa Eva hana kazi ya amaan kwa nini uongozi usimrudie na kumleta klabuni?
Nafikiri tunahitaji medical department nzuri kwa nn wachezaji wakitoka Chelsea wanakuwa hawana majeruhi
 
Arsenal and Chelsea Combined First eleven

Nyumbu walikuwaga wabishi wanadai Rashford anaingia kikosi Cha Arsenal

Baadae walikubali bado nyie
20231011_074637.jpg
 
Tukiweka ushabiki pemben Wala sio kejeri ,sioni mchezaji wa Chelsea anayeingia first eleven ya Arsenal hii

Ukibisha una matatizo ya Akili au ubishi tu

Naisubiri hii mechi sababu

Chelsea kwasasa Ni timu inayocheza open Sana

Hadi Sasa Arsenal tunakutana na timu zakupaki Basi tu ,

So itakuwa mechi nzuri sababu tunapenda kucheza kwenye space

Msipokuwa makini Hadi half time inaweza kuwa ubao unasoma 3-0

Naongea haya sababu nimeziangalia mechi za Chelsea msimu huu

Bado beki zenu Sion zikistahimili ile misako pembeni

Wanabisaka anasifika kwa kukaba na tackling ,mechi vs Arsenal alisababisha Kona 8 out of 12

FB_IMG_1697253206783.jpg
 
View attachment 2783868
Ushabiki ni mwingi sana kinachofanya useme hakuna mchezaji wetu yoyote anayeingia kwenye kikosi yenu ni kwasababu mnabebwa na team performance wakati sisi team inajitafuta Ile ukiangalia kwa mchezaji mmoja hamna mchezaji mwenye quality kama Caicedo, hamna mchezaji mwenye uwezo zaidi ya Reece James, hakuna mwenye quality kama ya Enzo Fernandez, hakuna left back zaidi ya Ben chilwell, hakuna player mwenye uwezo zaidi ya nkuku, hamna winger ambaye ameprove ubora zaidi ya sterling
 
Ukweli usemwe ,hakuna mchezaji wa Chelsea anaingia kikos Cha Arsenal hao uliotaja wanaanza mbele ya Nani ?

Enzo anamtoa Nan aingie

Sterling anayehitaji nafasi 10 afunge

Nimepata taarifa, Reece James amepona majeraha na kunauwezekano akacheza vs Arsenal.

Upande wa kushoto wa Arsenal ni Martinelli vs Reece James ndugu zetu Chelsea kabla ya mechi mle chakula kabisa kunakila dalili ya kukosa appetite yanii.. [emoji205][emoji205]
20231014_083834.jpg
 
Erik Njiru mchambuzi mwenzangu na mwanahabari mwenye beji ya FIFA anasema haoni mchezaji wa Chelsea wa kuingia kikosi Cha Arsenal

Lembu mmasai wa loliondo anakwambia Levi Colwill,na kina Cucurela wanaingia kikosi Cha Arsenal ,

Screenshot_20231016-203036_1.jpg
Screenshot_20231016-202937_1.jpg
 
Mnaongea na kidomodomo sana sikuhizi ninyi mashabiki wa asenyeto ,sasa jumamosi tutawakumbusha nyie ni nani .
Ninyi ni underdogs midteam Tu pale Epl na mtabaki kuwa hivyo .
Uzi wenu ule mtaukimbia
Tutawanyoa kwa vigae vya chupa ,we ngoja
Naipongeza kenge fc kwa kushinda mechi mbili mfululizo kwa mara ya kwanza ndani ya miez 7 iliyopita mara ya mwisho ilikua March
 
Chelsea Arsenal Combined 11 Team
View attachment 2783845
Kweli ushabiki ukizid ni hatari zaidi ya hatari yenyewe.
Sanchez over raya/Ramsdale?
Midfield ni ulitaka namba ya Chelsea players iwe kubwa ama umeangalia ubora maana Sion midfield player wa kumfikia Odegaard (sio Chelsea tu Bali team zote za epl kwa Sasa)
Yaani kweli martineli ahame namba kisa sterling (what a joke 🤣).
Toa sterling hapo weka martineli pemben alafu jivutie mwanao wako jacko hapo.
Unless hicho kikosi umekiweka kuwatoa pangoni akina hamis77
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom